bunge la ulaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Emmanuel Mwakasaka: Wanaenda mpaka Bunge la Ulaya, tusiwasikilize na Mama anendelee kukaa kimya

    Mbunge wa Tabora Mjini kupitia tiketi ya chama cha mapinduzi (CCM) Emmanuel Adamson Mwakasaka, akichangia bajeti la wizara ya maliasili na utali amegusia pia kuhusu wapinzani wao kisiasa, ambao ni Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kuhusu kukimbilia Bunge la Ulaya.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Ninakusudia kuliandikia barua nzito sana Bunge la Ulaya kulieleza kwa kina kazi kubwa iliyofanywa na Rais Samia katika kuimarisha Demokrasia na haki

    Ndugu zangu Watanzania, Nimegundua hawa ndugu zetu wazungu wanafanya mambo au kutoa matamko au kuzungumza jambo au mambo au kitu. Au kutoa taarifa au kujadili jambo au taarifa au kufanya maamuzi kwenye jambo fulani kwa taarifa au habari za kusikia tu au kuambiwa tu au kulishwa na kupotoshwa tu...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mataifa ya Ulaya kwani hayana wakosoaji? Wanawezaje kuongoza kwa amani bila kutekana na kuuwana ilihali bado nako kuna upinzani?

    Inawezekana kabisa shida ya viongozi wetu walivyo, kwao kukosolewa ni sawa na kunyofolewa ngozi na ama kiungo kimojawapo cha mwili na au kujihisi wanakosa akili pindi wanapokosolewa Kumbe akili zao zipo palepale na ngozi au viungo vyao vipo pale pale Lakini kwa nini inawauma hivyo hadi kufikia...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wakili Mwabukusi: Bunge la Tanzania limekimbia majukumu yake ndio maana Bunge la Ulaya linatujadili

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, ameonyesha kushangazwa na kimya cha Bunge la Tanzania katika kushughulikia masuala nyeti ya kitaifa, akilituhumu kuwa limekimbia majukumu yake ya msingi. Akizungumza jijini Arusha hii leo Mei 8, 2025 katika mkutano wa TLS...
  5. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tulia Ackson: Kwanini Ulaya waone Mahakama zetu hazina uwezo?

    Wakuu, Akiwa anazungumza kwenye kipindi cha Goodmorning cha Wasafi, Tulia Ackson amekosoa vikali azimio la Bunge la Ulaya kuhusu kutaka Serikali ya Tanzania imuachie Tundu Lissu "Baadhi ya sheria kama Uhaini, mapenzi ya jinsia moja yote yalianzishwa enzi za ukoloni, sasa hivi wamebadilisha...
  6. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Maswali 8 ya kuwauliza Bunge la Ulaya

    Ikiwa Bunge la Ulaya wanajiona wanahuruma na wapo tayari kubeba misalaba ya mataifa mengine, basi eem, tujiulize yafuatayo: 1. Ni nani hasa wameizuia CHADEMA kushiriki uchaguzi mkuu wa Tanzania? Je, kuna ushahidi wa kisheria au ni maneno ya kisiasa yasiyo na msingi wa kikatiba? 2. Kwa kutumia...
  7. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Bunge la EU lazitaka nchi wanachama wa EU kusitisha misaada kwa Tanzania. CCM wabuni propaganda ya USHOGA kujipooza na kujifariji

    https://youtu.be/y9z3-27Xmto?si=M-gCdeXeZoxzZogf Ni kwa Tanzania kukiuka mikataba na matamko ya kimataifa kuhusu haki za binadamu, Uhuru na demokrasia.. Wazitaka nchi wanachama wao kuiwekea vikwazo Tanzania ikiwemo kusitisha misaada ya kimaendeleo ktk sekta mbalimbali kama nishati, afya, ulinzi...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Bunge la Ulaya wanatuonea wivu SGR & Comedy awards!

    Hilo Bunge la Ulaya wanatuonea wivu SGR yetu na Tuzo za Comedy. Tumestuka. Msaada tutapata Dubai na Morocco
  9. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Tanzania yatoa majibu na msimamo wake kwa Azimio la Bunge la Ulaya la Mei 8, 2025

    TAMKO LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KUHUSU AZIMIO LA BUNGE LA ULAYA Dar es Salaam, 8 Mei 2025 Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imepokea taarifa ya azimio lililopitishwa na Bunge la Ulaya tarehe 8 Mei 2025 kuhusu mwenendo wa mashauri ya kisheria yanayoendelea nchini Tanzania. Wakati...
  10. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais wa TLS Boniface Mwabukusi: Ni aibu kesi ya Tundu Lissu kujadiliwa na Bunge la Ulaya. Inaonesha Watanzania wote hamnazo

    https://youtu.be/zJJTDTAdmMA?si=2-OHtOWYBhnzGLZk Anasema; • Ni aibu sana kwa kesi ya Tundu Lissu kujadiliwa Bunge la EU kwa sababu Bunge la Tanzania ndilo lililopaswa kujadili jambo hili na kuhakikisha linaisimamia serikali kuhakikisha haki, sheria na taratibu za kidemokrasia zinazingatiwa na...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Je, EU imeingilia Tanzania, kujadili Bungeni ukiukwaji wa haki za Binadamu? Mchambuzi wa Siasa na Diplomasia anafunguka mazito

    Baada ya Bunge la Ulaya (EU) kujadili masuala mbalimbali yanayohusu ukiukwaji wa haki za Binadamu Nchini Tanzania ikiwemo mashtaka yanayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu na kutoa azimio kuwa aachiwe huru bila masharti Suala hilo lilijadiwa jana Mei 7, 2025, ambapo Wabunge mbalimbali...
  12. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Misaada yao mnapokea kwa mikono miwili na kutunisha misuli ! Wakitoa maoni yao mnasema wawakome! Mtu mzima huwa anachutama nguo ikianguka!

    Nimeona mangimeza kutoka ukuryani mlevi mwenzangu wa konyagi na mchezaji maarufu wa litungu mdogo wangu huyu ndugu mwita waitara akijaribu kuchomoa mishipa ya shingo na kuliambia bunge la ulaya eti wawakome !!! Hao wanaowanyoshea vidole kwamba nyinyi ni madikteta ndiyo wanaoamua mpate Nini na...
  13. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wasione wivu Bunge la Ulaya Kuwasemea Wananchi Kwani wao Wameshindwa Kujishughulisha

    Kwa Mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977 na Sheria ya Haki, Kinga na Madaraka ya Bunge (Sura ya 296) 1. UTANGULIZI Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni chombo cha kikatiba chenye wajibu wa kisheria wa kutunga sheria, kuisimamia Serikali na kuwakilisha wananchi...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Tanzania hatuongozwi na hatuwajibiki kwa Bunge la Ulaya. Tutalinda uhuru na heshima yetu kwa nguvu zetu zote

    Ndugu zangu Watanzania, Kuna uwezekano wazungu Wameanza kupoteza uwezo wa kufikiri na kupambanua Mambo, wameanza kudumaa kiakili, wameanza kufikiri wapo bado enzi za ukoloni,wameanza kufikiri labda sisi ni Makoloni yao. Napenda kuwaambia ya kuwa Tanzania ni Nchi huru na Taifa huru...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa CCM acharuka maazimio ya Bunge la Ulaya, adai ni dharau kwa Tanzania

    Mbunge wa Biharamulo Eng. Ezra Chiwelesa acharuka na kupinga vikali moja ya maazimio ya Bunge la Ulaya, adai ni dharau kwa Tanzania huku Mwita Mwikwabe Waitara akitoa msimamo kuwa kama hoja yao ni kutoleta Maji basi watakunywa hata ya Kisima na Chifu wa Kikurya hawezi kuolewa habari ya Ushoga na...
  16. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Mambo Makuu 18 yaliyoongelewa na Bunge la Ulaya Kuhusu Tanzania haya hapa

    Bunge la Umoja wa Ulaya limezitaka mamlaka za Tanzania kufanya mambo yafuatayo: Kukomesha msako unaoendelea dhidi ya wakosoaji wa serikali, Kukomesha ukamatwaji holela wa raia, Kukomesha vurugu za kisiasa zinazofanywa na vyombo vya dola, Kukomesha mashambulizi na unyanyasaji dhidi ya wanachama...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Mbunge Bunge la Ulaya: Pesa zetu za Umoja wa Ulaya zinatumika kusaidia Serikali kandamizi Tanzania

    MAZITO YAJADILIWA KATIKA BUNGE LA ULAYA, TUNDU LISSU KESI YA UHAINI, ALI KIBAO KUUAWA,,WATU KUPOTEZWA N.K https://m.youtube.com/watch?v=4QH2juya5sk Wabunge wa Bunge la Ulaya wasema kuwa zile 4R za rais Samia Hassan zimetuhadaa Misaada mfano €160,000,000 na mingine mingi ya EU inatumika...
  18. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Maazimio ya Bunge la Ulaya kuhusu Tanzania; kuna hoja ya USHOGA pia

    Wazungu husema "Nothing is free in this world." Kwanini Wakoloni watumie nguvu nyingi kumtetea Mtanzania??. Something is for something and nothing for nothing Angalia azimio namba F2 hapa:- TAFSIRI:- 2. Inasisitiza mamlaka za Tanzania kukomesha msako unaoendelea, ukamatwaji kiholela, vurugu...
  19. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Rais wa Bunge la Ulaya kuja Tanzania kuleta azimio kwa Serikali na bunge la Tanzania kuhakikisha haki inapatikana ikiwemo uchaguzi huru na wa haki

    Rais wa bunge la ulaya kuja Tanzania kuleta azimio kwa serikali na bunge la Tanzania kuhakikisha haki inapatikana ikiwemo uchaguzi huru na wa haki. Bunge la ulaya limelaani mauwaji ya kiholela, ukamataji watu hovyo wasio na hatia unaofanywa na jeshi la polisi, matukio ya utakaji na uhalifu kwa...
  20. President of China

    JamiiForums Tanzania Hangover ya Colonialism bado inawasumbua nchi za Ulaya - Bunge la Ulaya likiongozwa na Ujerumani walioua Babu zetu na kuwatesa

    WABUNGE WA UJERUMANI NI: Michael Gahler David McAllister Hangover ya ukoloni bado inaonekana wazi kwenye siasa za kimataifa—hasa kwa mataifa ya Ulaya. Licha ya kuondoka Afrika kwa miongo kadhaa sasa, bado wanashindwa kukubali kuwa mataifa kama Tanzania ni huru, huru kujiamulia na kuendesha...
Back
Top Bottom