bunge la ulaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Bunge la Ulaya limeshamaliza, maneno mmebaki nayo ninyi msiokuwa na kiasi

    Bunge la Ulaya limeshamaliza, maneno tumebaki nayo sisi tusiokuwa na kiasi Kwa wito uliotolewa na Bunge la Ulaya haukuwa na haja ya kusindikizwa na maneno mengi ya Watanzania kilichobaki ni utekelezaji hatuna tena muda wa kutembeza ndimi
  2. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Hoja ya azimio la Bunge la Ulaya kuhusu kukamatwa na hatari ya kunyongwa kwa Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chadema

    Mnamo tarehe 6 Mei 2025, Bunge la Ulaya liliwasilisha azimio kuhusu kukamatwa kwa Tundu Lissu, Mwenyekiti wa CHADEMA, chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania. Azimio hilo linaelezea wasiwasi mkubwa kuhusu hali ya haki za binadamu na demokrasia nchini Tanzania, hasa kuelekea uchaguzi mkuu wa...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kinachojiri katika Bunge la Ulaya," na Wakili msomi Dickson Matata

    Ameandika wakili msomi: Kikao cha dharura kinafanyika leo, Mei 7, 2025, kujadili suala la Kukamatwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA MH.WAKILI MSOMO Tundu Lissu Wabunge wamewasilisha mapendekezo ya miswada ya maazimio yenye msimamo wa pamoja: 1. Kushutumu vikali kukamatwa kwa Tundu Lissu na mashtaka...
  4. Mtunza siri zako

    JamiiForums Tanzania Taarifa za uongo zinavyoenea haraka mtandaoni - A case of Tundu Lissu na Bunge la Ulaya

    Watu wengi tunafurahia kujadiliwa kwa kesi ya Tundu Lissu Bunge la Ulaya, binafsi nafikiri ni hatua nzuri kwa ajili ya check and balance za uwajibikaji wa Serikali. Ila taarifa hii kwa namna ilivyowasilishwa si kweli na imepotoshwa (nikimaanisha sehemu ya yale yaliyoripotiwa ni kweli na...
  5. Glenn

    JamiiForums Tanzania Bunge la Ulaya: Tunasikitishwa na kukamatwa kwa Tundu Lissu sambamba na kuenguliwa kwa CHADEMA kwenye uchaguzi wa 2025

    Fuatilia mjadala wa Bunge la Ulaya kuhusu sakata la Tundu Lissu unaoendelea mchana huu, Mei 7, 2025 Pia soma Pre GE2025 - Bunge la Ulaya kufanya kikao cha dharura Mei 7, 2025 kujadili suala la Tundu Lissu, baadae kupiga kura Mei 8, 2025 Bunge la Ulaya kwa kuzingatia Kanuni ya 150(5) ya Kanuni...
  6. N

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bunge la Ulaya kufanya kikao cha dharura Mei 7, 2025 kujadili suala la Tundu Lissu, baadae kupiga kura Mei 8, 2025

    Bunge la Ulaya linatarajia kufanya mjadala wa dharura tarehe 7 Mei kuhusu kesi ya Tundu Lissu, Mwenyekiti wa CHADEMA, chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania. Lissu anakabiliwa na mashtaka ya uhaini ambayo yanaweza kupelekea hukumu ya kifo, baada ya kukamatwa kabla ya uchaguzi mkuu wa Oktoba...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Bunge la Ulaya lataka kusitishwa kwa msaada wa EU kwa Rwanda kuhusu mzozo wa Kongo

    Kama kawaida waafrika ni watu wanaopenda kutafuta visingizio kwa matatizo yanayowakabili ambazo mara nyingi wanajiletea wenyewe. Mfano mzuri ni mgogoro uliopo nchini Congo unaohusisha serikali ya nchi hiyo na waasi wa M-23 ambao wengine wamekuwa wakidai kwamba huchochewa na wazungu japo hawatoi...
  8. X

    JamiiForums Tanzania Chama cha Rais Macron na Chancellor Scholz vyapata matokeo mabaya uchaguzi wa Bunge la Ulaya

    Chama cha Marine LePen kimepata kupata karibu 30%, wakati upande wa chama cha Macron kimepata kura kwa karibu 15%. Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ametangaza kuvunja bunge la kitaifa na kutoa wito wa uchaguzi wa haraka Juni 30 na Julai 7. Chama cha AfD cha Ujerumani kilipanda hadi nafasi ya...
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Bunge la Ulaya lapiga kura ya kutowaondoa wamaasai Ngorongoro

    Tangu mwaka 2022 serikali ya Tanzania imekuwa ikijaribu kuwahamisha kwa nguvu Wamasai wapatao 150,000 kutoka wilaya ya Ngorongoro, ikidai kwamba ongezeko lao linawaweka katika ushindani na wanyama pori; huku Wamasai wakidai kwamba kuwahamisha kunalenga kutoa nafasi kwa watalii, wanyama pori, na...
  10. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Mfalme Abdullah II wa Jordan amwaga darasa la "Nini Maana ya Kuwa Muislam" kwenye Bunge la Ulaya

    Mfalme Abdullah wa pili wa Jordan amwaga darsa la "Nini Maana ya Kuwa Muislam" kwenye bunge la Ulaya kwa ufupi wenye kina. Darsa hili ni fundisho na faida kwa Waislam na wasio Waislam. Tusikilize👇🏾 Tutaleta tafsiri ya Kiswahili baadae.
  11. comte

    JamiiForums Tanzania Kashfa ya rushwa kwenye Bunge la Ulaya na marafiki wa CHADEMA

    Baadhi ya wabunge wa bunge la Ulaya wamekamatwa kwa tuhuma za rushwa waliyo lipwa na Qatar kwa sababu ambazo hazijajulikana. Huko ndiko CHADEMA huwa wanaenda kutuchafua wakati wao nao kumbe ni wachafu kama CHADEMA TU. Mtuhumiwa mkuu ni Eva Kaili
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Yoweri Museven: Wabunge wa Bunge la Ulaya wapunguze ujuaji

    Rais wa Uganda Yoweri Museveni amelikosoa bunge la Umoja wa Ulaya baada ya kuitaka serikali yake kusitisha mradi wa kimkakati wa bomba la mafuta na nchi jirani ya Tanzania. Wiki mbili zilizopita wabunge wa Umoja wa Ulaya walipitisha azimio la onyo la ukiukwaji wa haki za binadamu na hatari ya...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Bunge la Ulaya kuihoji TotalEnergies kuhusu athari za Bomba la Mafuta Hoima - Tanga (EACOP)

    Kampuni hiyo ya uzalishaji mafuta imetakiwa kufika mbele ya jopo la Wabunge wa Umoja wa Ulaya Oktoba 10, 2022 kujieleza kuhusu athari za Kimazingira na Ukiukaji wa Haki za Binadamu kwenye utekelezaji wa Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP). Mtendaji Mkuu wa Kampuni...
  14. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Bunge la Ulaya na Neo Colonialism-kiini cha kupinga bomba la mafuta toka Uganda hadi Tanzania

    Bunge la Ulaya limeazimia kuufuta mradi wa bomba la mafuta toka Uganda hadi Tanga Tanzania. Sababu za kitoto wanazotoa ati ni uharibifu wa mazingira na haki za binadamu!! Huu ni uhujumumu wa moja kwa moja kwa uchumi wa nchi za kiafrika zinazotaka kujikomboa katika umasikini kwa kutumia...
  15. kavulata

    JamiiForums Tanzania Bunge la Ulaya kutuamulia Tanzania na Uganda nini Cha kufanya ni kutudharau?

    Bunge la Ulaya limesema kuwa ni marufuku Tanzania na Uganda kujenga bomba la mafuta na gesi kutoka Uganda kwenda Tanga Tanzania kwakuwa mradi unachafua mazingira na unadhulumu watu linakopita ni sawa? Maswali hapa ni: 1. Wazungu wanapata wapi nguvu hii ya kutuamulia sisi nini kizuri na nini...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaweka msimamo mradi wa bomba la mafuta baada ya kauli ya Bunge la Ulaya (EU)

    Serikali ya Tanzania imesema hakutakuwa na athari zozote za kimazingira wakati wa utekelezaji wa Mradi wa ujenzi wa bomba la kusafirisha Mafuta ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kutoka Hoima Uganda hadi Chongoleani Tanga kwani tahadhari zote zilizingatiwa kitalaamu. Waziri wa Nishati, Januari...
  17. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Kwanini Bunge la Ulaya halitaki Afrika Mashariki kutekeleza mradi wa mafuta na gesi?

    Tuna mradi mkubwa kutoka Uganda hadi Tanga jambo la kushangaza bunge la Ulaya halitaki kabisa mradi huo utekelezwe kwa minajili ya uharibifu wa mazingira cha kujiuliza yale mabomba ya gesi ya Urusi kwenda Urusi yenyewe mbona hayakuzuiliwa? Marekani inaongoza kwa kuwa na mabwawa makubwa ya...
  18. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Bunge la Ulaya kupiga Kura kuhusu matumizi ya Bitcoin

    Leo Jumatatu bunge la Ulaya litapiga kura kuhusu matumizi ya bitcoin na sarafu nyingine. Matokeo ya kura hiyo yataamua kuhusu matokeo ya baadae ya bitcoin. Wanatumia kigezo cha mazingira kwakuwa uchimbaji wa bitcoin unatumia nishati kubwa ambayo uzalishaji wake unachafua mazingira. Hii kura...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Wasifu wa David McAllister, mwanasheria na mwanasiasa wa Ujerumani anayemtetea Mbowe Bunge la Ulaya

    Wengi mtakuwa mmeona picha na video za David McAllister (pichani) ambaye ni Mbunge wa Bunge la Ulaya na Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya Nje ya Bunge hilo, akielezea kukerwa kwake na hali ya upinzani nchini Tanzania, mathalani kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe...
  20. Guselya Ngwandu

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amwagiwa sifa kwenye Bunge la Ulaya

    Moja kati ya mijadala iliyojadiliwa kwenye Bunge la Ulaya ni hali ya Tanzania hususan katika eneo la Demokrasia. Mbunge wa Bunge hilo David McAllister alionekana kupotosha Bunge hilo kwa makusudi baada ya kueleza mambo ambayo alionekana hana ufahamu nayo. David McAllister, alipotosha kwamba...
Back
Top Bottom