bunge la ulaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Serikali: Tupo huru na Hatuingiliwi na maamuzi ya Bunge la Ulaya

    Ndugu zangu Watanzania, Soma Serikali ya Tanzania imetoa ufafanuzi kuhusu azimio lililopitishwa na Bunge la Umoja wa Ulaya (EU) Novemba 26, 2025, ambalo lilizungumzia madai ya ukiukwaji wa haki za binadamu nchini na kusababisha Kamisheni ya EU kusubirisha kwa muda utiaji saini wa Programu ya...
  2. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Media za ndani hazijaripoti habari za Bunge la Ulaya lakini Media za Kimataifa zimeripoti

    Vyombo vyote vya ndani havijaripoti habari za bunge la ulaya hata hivyo wananchi, na vyombo vya kimataifa na jirani vimeripoti habari hizo. Je, serikali ya Tanzania inaendeleza ukandamizaji na ukoloni kwa wanahabari wa kitanzania ?
  3. Heparin

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rasmi, Bunge la Ulaya lapiga kura zote 539 za NDIYO kuzuia misaada Tanzania, wahusika wa kadhia ya Oktoba 29 kuwekewa vikwazo

    Bunge la Ulaya limeitaka Halmashauri Kuu ya Umoja wa Ulaya kusitisha msaada kwa serikali ya Tanzania na kuwawekea vikwazo wahusika wa ukandamizaji uliofanywa baada ya uchaguzi mkuu. Wabunge wa Ulaya wamelaani vikali vitendo hivyo na kutaka kuachiwa kwa wapinzani waliokamatwa. Wamesisitiza kuwa...
  4. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Power Breakfast wakifanya maombi baada ya bunge la Ulaya kusitisha misaada kwa serikali ya Tanzania

    Watangazaji wa Clouds FM wa kipindi cha Power Breakfast wakifanya maombi baada ya Bunge la Ulaya kusitisha misaada kwa Serikali ya Tanzania kutokana na madai ya ukiukwaji wa haki za binadamu. Pia Soma: Bunge la Ulaya lapitisha maazimio 9 kwa Tanzania. Lakata misaada na kutangaza Uchaguzi...
  5. A

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Badala ya kutoa matamko ya ghiliba, waliojisimika na waliosimikwa madarakani kiharamu matamko yao sasa yajibu Maazimio ya Bunge la Ulaya

    Ili kuanza kuitibu nchi majeraha iliyopata kabla ya Uchaguzi na baada ya uchaguzi. Hivyo hizo kauli za wanasiasa na za kisiasa zikome. Sana sasa Makatibu wakuu ndio washughulukie shughuli zote za kiutendaji kuelekea katika kuiponya nchi. Hivyo haya matamko kuanzia aliyesimikwa uwaziri mkuu...
  6. Pakome

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Si sahihi Bunge la Ulaya kusitisha misaada nchi ya Tanzania, mapendekezo hayo yanafaa kupingwa kwa nguvu zote

    Msaada wa Kimataifa ni kwa Manufaa ya Wananchi, Siyo Serikali Peke Yake Kusitisha misaada hakumuumizi kiongozi yeyote katika ofisi ya juu, bali kunawaathiri watoto wanaohitaji chanjo, lishe na elimu, wajawazito wanaohitaji huduma za afya ya uzazi, vijana wanaohitaji ufadhili wa elimu na...
  7. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Baada ya Bunge la Ulaya kutufurahisha sasa kituo kinachofuta ni kususia bidhaa na biashara za watesi wetu

    1. Ukiweza kukwepa kodi kwepa hakuna uzaledo katika nchi hii 2.Bidhaa yoyote za wahuni usinunue kabisa kwao 3.Usifanye biashara yoyote na wao, magari yao,sheli zao ,vinywaji vyao,vyakula vyao , hoteli zao ,migahawa yao yote susuia
  8. Heparin

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Bunge la Ulaya lapitisha maazimio 9 kwa Tanzania. Lakata misaada na kutangaza Uchaguzi haukuwa huru na haki. Waliohusika na ukiukwaji kuwekewa vikwazo

    Azimio la Bunge la Ulaya kuhusu mauaji baada ya uchaguzi na kuzorota kwa hali ya haki za binadamu nchini Tanzania, ikijumuisha kesi ya kiongozi wa upinzani aliye kifungoni Tundu Lissu Bunge la Ulaya, – likizingatia Kanuni za 150(5) na 136(4) za Kanuni zake za Utaratibu, A. ikizingatia kwamba...
  9. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio sababu kwanini serikali ya Tanzania haina uhalali wowote wa kusikilizwa na bunge la ulaya

    Hizi ndio sababu kwanini serikali ya Tanzania haina uhalali wowote wa kusikilizwa na bunge la ulaya. 1, serikali iliyopo imejisimika yenyewe na kupora haki wa watanzania na uchaguzi haukuwa halali hivyo Haitokani na matakwa ya wananchi haina uhalali wa kuwakilisha nchi kimataifa na kwenye...
  10. Heparin

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tanzania yadai Bunge la Ulaya halitendi HAKI kujadili mauaji ya Oktoba 29 na kufungwa kwa Lissu bila kuipa nafasi ya kusikilizwa

    Tanzania imetuma malalamiko kwa Bunge la Ulaya kuhusu mpango wa kufanya kikao cha kujadili mada inayohusu mauaji ya baada ya uchaguzi, kuzorota kwa haki za binadamu nchini, pamoja na kesi inayomkabili kiongozi wa Chama cha Upinzani, Tundu Lissu bila kuipa Serikali ya Tanzania nafasi ya kutoa...
  11. Replica

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wafadhili waanza kung'ata: EU wapiga kura na kuzuia Euro Milioni 156 kwa Tanzania

    Kamati ya Bunge ya mambo ya Nje ya Bunge la Ulaya imepiga kura ambapo kura 53 zimeunga mkono pendekezo la kusitisha Euro Milioni 156 kwenye mpango kazi wa Tanzania kwa mwaka 2026 huku kura mbili pekee zikiamua kwenda tofauti. Mwenyekiti wa kamati hiyo, David McAllister amesema Tanzania imeamua...
  12. BigTall

    JamiiForums Tanzania European Lawmakers Condemn Lissu’s Treason Trial, Demand Immediate Release

    Six Members of the European Parliament have strongly condemned the politically motivated trial of Tanzanian opposition leader and CHADEMA Chairman Tundu Lissu, calling it part of a broader campaign to silence dissent. In a formal letter, signed by Barry Andrews, Robert Biedroń, Udo Bullmann...
  13. chiembe

    JamiiForums Tanzania Mliosema Uchaguzi Mkuu hauna uhalali kimataifa, Umoja wa Ulaya umeomba kuwa Waangalizi wa uchaguzi

    Umoja wa Ulaya umeomba uwe shuhuda wa uchaguzi mkuu. Ingekuwa hawaridhiki na uhalali wa uchaguzi wasingekuja na kuomba kibali kwa unyenyekevu. Wale wa No Election mpo?. Gari la election limekata breki kwenye mteremko
  14. rushanju

    JamiiForums Tanzania Bunge la Ulaya latishia kuinyima misaada Tanzania

    Bunge la ulaya laijadili Tanzania leo , lasema kama uchaguzi utafanyika na baadhi ya washiriki kuzuiliwa kushiriki kwa sababu za kisisa , eu wasitoe hata kumi kati dolla milioni 8 walizo omba tanzania kwa ajili ya uchaguzi👍 #NO REFORMS NO ELECTION NDANI YA EUROPEAN UNION 💪
  15. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Tundu Lissu yaunguruma Bunge la Ulaya. Democratic Union of Africa (DUA) nao watoa wito wa kuachiwa kwake haraka bila masharti

    Huko nyumbani Tanzania, danadana za kisheria zikiendelea mahakamani juu ya kesi iliyopewa jina la "Uhaini waTundu Lissu", katika duru na anga za kimataifa nako mambo ni moto, mwamba anapiganiwa vilivyo... Bunge la Ulaya [EU - Parliament] na Umoja wa vyama vya kidemokrasia Afrika - Democratic...
  16. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Michael Gahler: Serikali ya Tanzania lazima iwajibishwe. Wanaohusika na ukiukwaji Haki za binadamu wawekewe vikwazo na Bunge la Ulaya

    Moto unazidi kuwaka. Mr.Michael Gahlev, mratibu wa mambo ya nje katika Bunge la ulaya, amewasilisha mapendekezo kwenye Umoja wa ulaya, kuhusu Hali ya Tanzania. Mapendekezo hayo ni pamoja na viongozi wanaojihusisha na uminywaji wa demokrasia na Hali za binadamu kuwekewa vikwazo vikali na Umoja...
  17. Ileje

    JamiiForums Tanzania Bunge la Ulaya kuijadili Tanzania siyo jambo la afya!

    Sikiliza hapa wanajadili kesi za Tundu Lissu. https://twitter.com/EduTalkTz/status/1934829754852491305?t=TiZp-zvXELlD5i62LV7I2Q&s=19
  18. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Bunge la Ulaya laionya Serikali ya CCM , Uchaguzi Mkuu bila Chama cha upinzan chenye Nguvu (CHADEMA) hautakua uchaguzi wa Harali na wa Kidemokrasia!

    Sasa ninawaonya CCM na Machawa wenu , Njia mnayoelekea mbeleni ni Giza kubwa. Warusi na Wachina na Wakorea wasiwadanganye !!. UKWELI NI KUA, UCHAGUZI 2025 BILA CHADEMA, HAUTATAMBULIWA NA BARA LA ULAYA, WALA MAREKANI !!. Nadhani Athari ya Jambo Hilo juuu mnaijua vizuri kabisa !!. Tunaenda na...
  19. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Bunge la Ulaya lataka Lissu aachiwe mara Moja. Lamshangaa Rais Samia

    "Vita dhidi ya TUNDU LISSU , ni vita dhidi yetu, ni vita dhidi ya Wanademokrasia , ni vita dhidi ya Interests za Ulaya na Dunia ya kidemokrasia ".... Bunge la Ulaya !!. Kuna wajinga ,wajinga, machawa darasa la Saba, watakuja wawaambie Serikali na Dola ya watu wajinga "Sisi ni Nchi huru...
  20. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tunatakiwa kulisukuma tena Bunge la Ulaya kujadili hali kisiasa nchini, Gwajima katoa maoni anashambuliwa na wananchi kuitwa kenge!

    Ni aibu kubwa kwa taifa bunge zima tangu utekaji umetamalaki wanakaa kimya amejitokeza mmoja wao Askofu Joseph Gwajima akatoa ushauri tena nje ya bunge kuhusu utekaji unaoendelea ameonekana kukosea pakubwa na wengine kufikia kuita wananchi kenge. Pia soma: Pre GE2025 - Askofu Gwajima: Wakuu wa...
Back
Top Bottom