bunge la ulaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mi mi

    Marekani ni silaha na walioshika silaha ni Israel na Wayahudi, bunge la ulaya wacharukiana

    Mbunge katika bunge la ulaya kaibua hoja kuwa taifa la Marekani ni silaha na walioshika silaha hiyo ni Israel na Wayahudi kauli hiyo imezua mtafaruko katika bunge la ulaya. “Marekani ni bunduki, Wayahudi wanaishika”: Machafuko katika Umoja wa Ulaya huku Mbunge wa Ulaya akituhumiwa kwa chuki...
  2. Waufukweni

    Bunge la Ulaya: Uchaguzi wa Uganda ulikuwa ‘Operesheni ya Kijeshi’—EU yapendekeza vikwazo vya viza, kufungia mali

    Bunge la Ulaya limeuita uchaguzi wa Uganda uliofanyika Januari 15, 2026 kwa jina la 'Operesheni ya Kijeshi' ya kukandamiza upinzani pekee wenye nguvu ya ushawishi. Vyombo vya usalama vilitumika si kulinda wapiga kura, bali kutisha, kuua, kuwakamata na kuwaweka kizuizini, kutesa, na kunyamazisha...
  3. Mshana Jr

    Bunge la ulaya laikemea vikali Tanzania

    Mwenyekiti wa Kamati ya Haki za Binadamu ya Bunge la Marekani, Chris Smith, amekemea vikali vitendo vya uvunjifu wa haki za binadamu na mateso dhidi ya waumini wa dini mbalimbali duniani. Katika hotuba yake, Smith ameorodhesha nchi zinazokandamiza uhuru wa kidini kuwa ni China, Urusi, Nikaragua...
  4. R

    Mwanasiasa Bunge la Ulaya ahoji uwezo wa Marekani kumkamata Maduro lakini kushindwa kumuwajibisha Netanyahu wa Israel

    Mwanasiasa wa Bunge la Ulaya amehoji uwezekano wa Marekani kumkamata Rais wa Venezuela, Nicolás Maduro na kumfikisha katika Mahakama , lakini imeshindwa kumkamata na kumuwajibisha Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu anayesimamia vikosi vyake kuishambulia Palestine
  5. funaku

    Bunge la Ulaya lituletee azimio la kulaani vifo wakati wa ukoloni Tanzania

    Tanzania inahitaji fidia kutoka kwa mabeberu yaliyochota mali na kuchukua watu utumwani. Hii ni sambamba na kutoa idadi kamili ya maafa yaani waliouawa kwa mijeledi na kunyongwa nyakati za ukoloni
  6. Inside10

    PostGE2025 Bunge la Ulaya laishutumu Tanzania kwa machafuko na kukiuka hakika za Binadamu baada ya uchaguzi

    Parliament raises the alarm on human rights in Tanzania 🚨⁣ ⁣ Members of the European Parliament adopted two resolutions on the human rights situation in Tanzania following October’s elections. ⁣ ⁣ • Members condemn the violent post-election crackdown, which left thousands dead or injured, with...
  7. L

    PostGE2025 Serikali: Tupo huru na Hatuingiliwi na maamuzi ya Bunge la Ulaya

    Ndugu zangu Watanzania, Soma Serikali ya Tanzania imetoa ufafanuzi kuhusu azimio lililopitishwa na Bunge la Umoja wa Ulaya (EU) Novemba 26, 2025, ambalo lilizungumzia madai ya ukiukwaji wa haki za binadamu nchini na kusababisha Kamisheni ya EU kusubirisha kwa muda utiaji saini wa Programu ya...
  8. Genius Man

    Media za ndani hazijaripoti habari za Bunge la Ulaya lakini Media za Kimataifa zimeripoti

    Vyombo vyote vya ndani havijaripoti habari za bunge la ulaya hata hivyo wananchi, na vyombo vya kimataifa na jirani vimeripoti habari hizo. Je, serikali ya Tanzania inaendeleza ukandamizaji na ukoloni kwa wanahabari wa kitanzania ?
  9. Heparin

    PostGE2025 Rasmi, Bunge la Ulaya lapiga kura zote 539 za NDIYO kuzuia misaada Tanzania, wahusika wa kadhia ya Oktoba 29 kuwekewa vikwazo

    Bunge la Ulaya limeitaka Halmashauri Kuu ya Umoja wa Ulaya kusitisha msaada kwa serikali ya Tanzania na kuwawekea vikwazo wahusika wa ukandamizaji uliofanywa baada ya uchaguzi mkuu. Wabunge wa Ulaya wamelaani vikali vitendo hivyo na kutaka kuachiwa kwa wapinzani waliokamatwa. Wamesisitiza kuwa...
  10. DuaZaMama

    PostGE2025 Power Breakfast wakifanya maombi baada ya bunge la Ulaya kusitisha misaada kwa serikali ya Tanzania

    Watangazaji wa Clouds FM wa kipindi cha Power Breakfast wakifanya maombi baada ya Bunge la Ulaya kusitisha misaada kwa Serikali ya Tanzania kutokana na madai ya ukiukwaji wa haki za binadamu. Pia Soma: Bunge la Ulaya lapitisha maazimio 9 kwa Tanzania. Lakata misaada na kutangaza Uchaguzi...
  11. A

    PostGE2025 Badala ya kutoa matamko ya ghiliba, waliojisimika na waliosimikwa madarakani kiharamu matamko yao sasa yajibu Maazimio ya Bunge la Ulaya

    Ili kuanza kuitibu nchi majeraha iliyopata kabla ya Uchaguzi na baada ya uchaguzi. Hivyo hizo kauli za wanasiasa na za kisiasa zikome. Sana sasa Makatibu wakuu ndio washughulukie shughuli zote za kiutendaji kuelekea katika kuiponya nchi. Hivyo haya matamko kuanzia aliyesimikwa uwaziri mkuu...
  12. Pakome

    PostGE2025 Si sahihi Bunge la Ulaya kusitisha misaada nchi ya Tanzania, mapendekezo hayo yanafaa kupingwa kwa nguvu zote

    Msaada wa Kimataifa ni kwa Manufaa ya Wananchi, Siyo Serikali Peke Yake Kusitisha misaada hakumuumizi kiongozi yeyote katika ofisi ya juu, bali kunawaathiri watoto wanaohitaji chanjo, lishe na elimu, wajawazito wanaohitaji huduma za afya ya uzazi, vijana wanaohitaji ufadhili wa elimu na...
  13. M

    PostGE2025 Baada ya Bunge la Ulaya kutufurahisha sasa kituo kinachofuta ni kususia bidhaa na biashara za watesi wetu

    1. Ukiweza kukwepa kodi kwepa hakuna uzaledo katika nchi hii 2.Bidhaa yoyote za wahuni usinunue kabisa kwao 3.Usifanye biashara yoyote na wao, magari yao,sheli zao ,vinywaji vyao,vyakula vyao , hoteli zao ,migahawa yao yote susuia
  14. Heparin

    PostGE2025 Bunge la Ulaya lapitisha maazimio 9 kwa Tanzania. Lakata misaada na kutangaza Uchaguzi haukuwa huru na haki. Waliohusika na ukiukwaji kuwekewa vikwazo

    Azimio la Bunge la Ulaya kuhusu mauaji baada ya uchaguzi na kuzorota kwa hali ya haki za binadamu nchini Tanzania, ikijumuisha kesi ya kiongozi wa upinzani aliye kifungoni Tundu Lissu Bunge la Ulaya, – likizingatia Kanuni za 150(5) na 136(4) za Kanuni zake za Utaratibu, A. ikizingatia kwamba...
  15. Genius Man

    Hizi ndio sababu kwanini serikali ya Tanzania haina uhalali wowote wa kusikilizwa na bunge la ulaya

    Hizi ndio sababu kwanini serikali ya Tanzania haina uhalali wowote wa kusikilizwa na bunge la ulaya. 1, serikali iliyopo imejisimika yenyewe na kupora haki wa watanzania na uchaguzi haukuwa halali hivyo Haitokani na matakwa ya wananchi haina uhalali wa kuwakilisha nchi kimataifa na kwenye...
  16. Heparin

    PostGE2025 Tanzania yadai Bunge la Ulaya halitendi HAKI kujadili mauaji ya Oktoba 29 na kufungwa kwa Lissu bila kuipa nafasi ya kusikilizwa

    Tanzania imetuma malalamiko kwa Bunge la Ulaya kuhusu mpango wa kufanya kikao cha kujadili mada inayohusu mauaji ya baada ya uchaguzi, kuzorota kwa haki za binadamu nchini, pamoja na kesi inayomkabili kiongozi wa Chama cha Upinzani, Tundu Lissu bila kuipa Serikali ya Tanzania nafasi ya kutoa...
  17. Replica

    PostGE2025 Wafadhili waanza kung'ata: EU wapiga kura na kuzuia Euro Milioni 156 kwa Tanzania

    Kamati ya Bunge ya mambo ya Nje ya Bunge la Ulaya imepiga kura ambapo kura 53 zimeunga mkono pendekezo la kusitisha Euro Milioni 156 kwenye mpango kazi wa Tanzania kwa mwaka 2026 huku kura mbili pekee zikiamua kwenda tofauti. Mwenyekiti wa kamati hiyo, David McAllister amesema Tanzania imeamua...
  18. BigTall

    European Lawmakers Condemn Lissu’s Treason Trial, Demand Immediate Release

    Six Members of the European Parliament have strongly condemned the politically motivated trial of Tanzanian opposition leader and CHADEMA Chairman Tundu Lissu, calling it part of a broader campaign to silence dissent. In a formal letter, signed by Barry Andrews, Robert Biedroń, Udo Bullmann...
  19. chiembe

    Mliosema Uchaguzi Mkuu hauna uhalali kimataifa, Umoja wa Ulaya umeomba kuwa Waangalizi wa uchaguzi

    Umoja wa Ulaya umeomba uwe shuhuda wa uchaguzi mkuu. Ingekuwa hawaridhiki na uhalali wa uchaguzi wasingekuja na kuomba kibali kwa unyenyekevu. Wale wa No Election mpo?. Gari la election limekata breki kwenye mteremko
  20. rushanju

    Bunge la Ulaya latishia kuinyima misaada Tanzania

    Bunge la ulaya laijadili Tanzania leo , lasema kama uchaguzi utafanyika na baadhi ya washiriki kuzuiliwa kushiriki kwa sababu za kisisa , eu wasitoe hata kumi kati dolla milioni 8 walizo omba tanzania kwa ajili ya uchaguzi👍 #NO REFORMS NO ELECTION NDANI YA EUROPEAN UNION 💪
Back
Top Bottom