Kulikoni Maimartha Jesse na Konde boy, matusi nje nje

Slowly

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
10,488
34,791
Huku kukiwa bado kuna fukuto kubwa la kuvunjika Kwa penzi lake na Kajala, Harmonize amejikuta kwenye vita nzito na mwanadada presenter Maimartha Jesse.

Eeh bhana eeeh mwanadada presenter Maimartha Jesse inasemekana ametishia mpaka kumpeleka mahakamani Konde boy , Kwa kile kinachodaiwa kumtishia kumuua.

Katika pita pita zangu nikiwa nafanya utalii Instagram nikakutana na clip yenye majibizano makali Kwa njia ya simu Kati ya Maimartha Jesse na Konde boy. Nini kimetokea , wajuzi mtujuze

 
Huyu dogo bado kama haja kuwa,alafu mtu maarufu kuandamwa na waandishi wa udaku ni kawaida cha msingi ni kuwapuuzia.

Juma Nature na Sinta waliandamwa na magazeti ya Shigongo lkn nature pamoja na usela wake aliwa potezea.

Diamond nae kaandamwa kwenye magazeti ya Shigongo,Team Wema,Kiba na Joketi kwenye tuzo za kili,Shilawadu na Soudy na baadhi ya acc za social networks,watangazaji wa redio aliokinzana nao.Ila hajawahi kutukana matusi makubwa.

Kwa kufanya hivyo kampa kichwa Maimatha na Maimatha anaweza hata kumshtaki,mwisho wa siku yeye ndiye atakaye poteza sababu ya matusi yake makubwa huku akisahau yy ni balozi wa Sayona na CRDB.Yaani hapa kmmk Konde kalitumia kama kiunganishi.

Cha msing yeye angekula buyu kwani mpaka sasa yeye ndiye aliye haribu image yake huku akimpa kiki Maimatha.
 
Huku kukiwa bado kuna fukuto kubwa la kuvunjika Kwa penzi lake na Kajala harmonize amejikuta kwenye vita nzito na mwanadada presenter Maimartha Jesse..
Eeh bhana eeeh mwanadada presenter Maimartha Jesse inasemekana ametishia mpak kumpeleka mahakamani Konde boy , Kwa kile kinachodaiwa kumtishia kumuua.

Katika pita pita zangu nikiwa nafanya utalii Instagram nikakutana na clip yenye majibizano makali Kwa njia ya simu Kati ya Maimartha Jesse na Konde boy .... Nini kimetokea , wajuzi mtujuze

View attachment 1748071
haya majitu ni ya kupiga fimbo
 
Back
Top Bottom