Hivi tukiacha ushabiki, Diamond Platnumz anamuweza kweli Hamornize (Konde Boy)?

ubarinolutu

JF-Expert Member
Oct 22, 2012
1,964
3,895
Inshu nzito, waliopo Konde Gang wote walikuwa WCB, sasa sielewi huyu Dogo live anaimba kuliko Diamond, ana hit nyingi resently kuliko Mond, amezidiwa fame na Diamond, amezidiwa hela na Diamond lakini nadhani kimziki amemzidi faza, labda ndio maana akamsaliji coz alikuwa anajua huyu ana kauwezo flani kauwezo ambacho kanamuumiza Mond Platinum.

All in all Mond ni mkali sana, ningekuwa Mond ningefurahi sana kuona Konde ana shaini ningefurahi mno maana najua ametokea kwapani kwangu ni kama mama na mtoto mama hawezi sikia wivu kwa mwanae hata siku moja.

Yaani ningekuwa Diamond ningekuwa happy na Harmonize mno, si mwanangu.

1647424407393.png

Harmonize na Diamond​
 
Konde kalelewa wasafi kwenye majungu,fitina na ushirikina so Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo yeye alitegemea awe Malaika huyo bro kutoka Chitoholi.Nje ya Mada Diemond ule weupee vepeee
 
Konde kalelewa wasafi kwenye majungu,fitina na ushirikina so Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo yeye alitegemea awe Malaika huyo bro kutoka Chitoholi.Nje ya Mada Diemond ule weupee vepeee
Una ushahidi wa haya?

Naamini katika kazi ili hali naona kazi za mtu na jitahada zake nina sababu gani kuamini sana haya uliyosema?

Nafikiri hata huyo Konde anapiga kazi, kama kuna jambo katoka nalo pqle basi ni kujibidiisha na haya ndio matokeo yake.

Ukiwekeza kwenye jambo basi tegemea itakulipa chance ya kufeli ni ndogo sana.
 
Ukitoa kukurupuka kwa Konde, ila kuna ngoma zake nazielewa kama jeshi, mtaje, bedroom, hata angela yuko vizuri.
 
una ushahidi wa haya?

Naamini katika kazi ili hali naona kazi za mtu na jitahada zake nina sababu gani kuamini sana haya uliyosema?
Nafikiri hata huyo Konde anapiga kazi, kama kuna jambo katoka nalo pqle basi ni kujibidiisha na haya ndio matokeo yake.
Ukiwekeza kwenye jambo basi tegemea itakulipa chance ya kufeli ni ndogo sana.
Nina ushahidi ndio
 
Hapa Kuna vita kati ya mashabiki wanaojua ladha ya mziki wa mmakonde na wale wanufaika wa wasafi
 
Diamond ni Manchester United halafu konde boy ni Manchester city mmoja kabaki historia na kuangalia viewer's YouTube
 
Back
Top Bottom