boss

  1. Nilimuomba boss wangu aniongezee mshahara na hakufanya hivyo japo nilimfuata mara 3 ndani ya huu mwaka 2020

    Maisha yanaenda kasi sana mara paah...huu mwaka ndiyo unaishia. Turudi kwenye mada wakuu, unajua hawa maboss wa kibongo ni vichomi sana! Unamuomba akuongeze mshahara kutokana na kazi unayofanya, kazi inaonekana si rahisi na hujawahi kuharibu kazi hata siku moja. Anakujibu vizuri tu...
  2. Dunia Duara: Kofi kudhaminiwa na Diamond?

    Hakika dunia duara leo hii Mopao analetwa nchini na kupewa dili na mwanae? Tuheshimiane tu ndugu zangu dunia SI yetu
  3. J

    Kwenye Bunge la chama kimoja, NEC ya CCM ina nguvu kuliko Bunge, na DED ni boss wa Mbunge

    Mzee Mgaya ananikumbusha namna bunge la Spika Adam Sapi Mkwawa lilivyokuwa linaendeshwa kwamba lilikuwa chini ya Halmashauri Kuu ya CCM. Maamuzi muhimu hufanyika katika ngazi za NEC na CCM na kwamba bunge hutimiza process ya kikatiba tu ndio maana Waziri fulani aliwahi kuwaambia wabunge " Gi to...
  4. Q

    Hata baada ya kupigwa ‘stop’ na boss wake Kigwangalla bado anaendeleza bifu na ‘MO’

    Hizi twita ni za leo za Kigwangalla. “Bilionea hawezi kuwa na roho ya kichawi namna hiyo; mkopo umemnyima mtu halafu unamtangaza, why? Kwani yeye huwa hakopi?” Hamis Kigwangalaah. “Waambie waache kunifuata fuata kwenye kurasa zangu! Mjadala wa Simba tumeuahirisha mpaka November kupisha...
  5. GE2020 Bernard Membe ni kachero mtiifu kwa 'boss' wake Magufuli

    Kachero ni kachero tu! Najua sitavunja sheria wala kanuni hapa. Bernard Membe, Mgombea Urais wa JMT kwa tiketi ya ACT Wazalendo 2020. Historia yake ya kisiasa na utumishi inajulikana. Itoshe tu kusema ni Mtanzania ambaye amewahi kushika nyadhifa mbalimbali za kisiasa na kitaifa. Tangu...
  6. Unaweza kuacha kazi kwa sababu Kama hii!( Kisa mke wa Boss).

    Hii nimeikuta sehemu fulani huko, hivi Kama ni wewe unaweza kuacha kazi kwa sababu Kama hii. Kiukweli ningekuwa mimi hii kwangu ingekuwa ni fursa kazi na dawa. 🤣 🤣 !!
  7. Watanzania kushangilia kuangushwa kwa Makonda katika kura za maoni Jimbo la Kigamboni kunaashiria nini?

    Kuangushwa katika kura za maoni za CCM, katika jimbo la Kigamboni, kwa Paul Makonda na Faustine Ndugulile, kumepokelewa kwa shangwe kubwa sana na watanzania wa nchi nzima Hivi hali hiyo inaweza ikawa inaashiria nini? Hivi inawezekanaje kwa mkuu wa mkoa, ambaye mara kwa Mara amekuwa akisifiwa...
  8. Je, Kampeni Meneja wa huyu si kila mara atakuwa anacheka tu kwa Vituko vya Uchekeshaji alivyobarikiwa navyo Boss wake?

    Mchekeshaji Kingwendu amesema leo Julai 6, anarudisha fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Ilala, na tayari amepata wadhamini wa kumsaidia kwenye kampeni zake na hataweza kufilisika, kuuza nyumba au gari kama ilivyomtokea mwaka 2015 kwenye shughuli za kuendesha kampeni DarMpya Kwangu Mimi...
  9. G

    Msaada kati ya TV Hasence na TV Boss

    Tafadhali msaada kujua ubora wa TVs tajwa hapo juu ipi ina ubora mzuri. Ubora wa picha, uimara, bei, n.k nimeitoa LG na Samsung kulingana na bajeti yangu. Nataka kuchukua nchi 43. NB: Don't mind about uandishi plz
  10. Siri ya dada wa kazi na mume wa boss wake ni nzito

    Fanta Baba yake alikuwa balozi, makazi yake yote alisoma kwenye shule za kimataifa. Kwa kuwa alikuwa na uwezo mkubwa darasani chuo kikuu alipata ufadhili Harvard Marekani kwa utaratibu wa shule yao. Alihitimu shahada ya Mawasiliano na Uhusiano wa Kimataifa. Alipata ajira Umoja wa Mataifa kama...
  11. F

    Kwanini wanawake wa Kitanzania siku hizi wanamwita Zari the boss lady "Bibi Tukinao"?

    Halo JF celebrities. Nimekuwa nikiona mitandaoni, Zari The Boss Lady akiitwa Bi Tukinao! Wanaomwita hivyo ni wanawake. Sasa hili jina maana yake nini na kwanini kabatizwa hivyo?
  12. H

    Nampongeza Zari The Boss kwenye hili

    Hivi karibuni Mwanamama zari the boss lady ametoa povu kubwa kwa baadhi ya watanzania wanaomfuatilia Sana maisha yake ingawa Zari ana mapungufu yake binafsi lakini kwa Hili povu aliyotoa nimemuunga mkono kwa asilimia 100 Na hii imekuja baada ya tetesi ya yeye kurudiana na diamond lakini pia kwa...
  13. J

    Anataka tuzae wakati hali yangu bado ngumu

    Wadau nipeni ushauri Nina mpenzi wangu ananisisitiza kuwa anataka mtoto na mimi ila ni single mother. Mimi life langu gumu mbaya, nahisi nitaelemewa na majukumu
  14. Happy Birthday to our Tanzanian hero Maxence Melo

    Leo tarehe 9 May ni siku kubwa ya kuzaliwa mtu anayewezesha uwepo wetu humu. Maxence Melo Tunapata nafasi ya kufanya yote kwa kuwa amesimama na kutupatia uhuru wa kutoa yetu ya moyoni. Tunakuombea Mwenyezi Mungu aendelee kukupigania na uzidi kutupigania sisi na Uhuru wetu wa kujieleza...
  15. Outrage As Saudi Arabia Executes Indonesian Maid For Killing Boss While He Was Raping Her

    An Indonesian maid identified as Tuti Tursilawati has been executed in Saudi Arabia for killing her boss while he was raping her. Mum-of-one, Tuti Tursilawati was executed after she killed her boss who was raping her, and this sparked outrage in Jakarta. Tuti Tursilawati was killed on Monday...
  16. Alichokisema Mo kuhusu uamuzi wake jana nimemuelewa, hata mimi hasira zikizidi nalipuka

    Mengine yanaumiza hayasemeki. Nafurahi kuona boss Mo is back na amekiri yaliotokea jana n bahati mbaya yameisha back to league. Yule ni mtu mzima ana moyo wa binadamu jamani; hana moyo wa plastick. Majuzi tu bilioni nne zimekwenda lazima aumie. Naomba niseme kwa maneno haya hajakana kujiuzulu...
  17. Harmonize: A request of a boss is an order

    Wana JF Heri ya mwaka mpya. Usiku wa kuamkia mwaka mpya 2020 msanii Harmonize alikuwa na show kubwa katika mkoa wa Mtwara pale Tandahimba. Pamoja na kupiga show kali iliyojaza watu wengi msanii huyo alisikika akisema Mwakani atafungua radio station "Tandahimba FM". Atakuwa mwenyekiti wa timu...
  18. GE2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

    Habari za muda mabibi na mabwana! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nawashauri wanachama wenzangu na wananchi kwa ujumla. Mwaka 2020 tusipoteze tena kama ilivyotokea mwaka 2015. Haya yote ni kwa sababu hatukutulia vizuri katika mchujo wa kumpata kiongozi bora. Karibuni kwa maoni yenu. ====
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…