demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,254
- 15,128
Kanjibahi ni mkiritimba kinoma aisee! Kumbe bhana aliwaforce key players wa Simba wamposti na kumpongeza kwa lengo la kuonekana kama ni mtu muhimu sana kwenye simba.
Jamaa aliwahadaa sana watu aliposema hakuna mkubwa kuliko simba, kumbe alimaanisha hakuna mkubwa kuliko yeye.
Jamaa atawatesa sana yaani. Na inavyo onekana ndio kwanza ana anza yaani, mpaka akimaliza watakuwa wamechoka sana.
Za chini chini pia inasemekana kuwa wachezaji hawana furaha kabisa, hali iliyopelekea hata Miquisone kurahisisha uamuzi wake wa kuondoka simba.