boss

  1. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Boss Chest Freezer BE-200L WHT- Bunju B

    Wadau Salaam, NAUZA Boss Chest Freezer BE-200L WHT KAMA ILIOPO KWENYE PICHA HAPO CHINI. IMETUMIKA MUDA MFUPI. BEI TZS. 500,000 (Dukani kwa sasa ni 750,000). IKO BUNJU, NIPIGIE 0754 34 36 42
  2. Suley2019

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Aliyekuwa bosi wa Msalaba Mwekundu Uganda afungwa miaka 7 jela kwa ufujaji wa pesa

    Picha: Richard Michael Nataka Mahakama ya Kupambana na Ufisadi Kampala, Uganda imemhukumu Richard Michael Nataka, aliyekuwa katibu mkuu wa Chama cha Msalaba Mwekundu Uganda (URCS) kifungo cha miaka 7 jela kwa ubadhirifu wa zaidi ya Sh 1 bilioni. Mahakama hiyo, ilimpatia Nataka adhabu hiyo...
  3. Nigga What

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Boss hataki nifunge ndoa

    Msaada kwa mdau rafiki yetu Nimejikuta njia panda baada ya meneja wa kampuni yetu (Mwanamke) kuniwekea mazingira magumu kwenye swala langu la kuoa. Hivi karibuni niliitisha michango ofisini kwetu kwa ajili ya ndoa ambayo nakaribia kuifunga soon, wafanyakazi wote walifurahi na kuahidi kutoa...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nape acha 'Kukurupuka' hili la 'TCRA' laweza 'Kukuharibia'. 'Boss' wako 99% anategemea hizo 'Tozo' ili nchi iende

    Umeanza kwa Pupa sana Kamarada ( Comrade ) sijui bado 'appointment hangover' inakusumbua pamoja na Ujana ulionao? Jeuri ya Boss wako ( Mama ) ipo katika hizi Tozo mbalimbali sasa leo hii unavyotaka TCRA ipunguze kwa kutafuta Kwako Sifa kwa Watanzania huku ukimkosesha Mama Mapato ya Kuongezea...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Stephen Masele kuwa spika mpya wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania?

    Kuna tetesi kuwa aliyekuwa Makamu wa raisi wa Bunge la Pan African, Mh.Stephen Masele kuwa spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hii imekaaje wadau?
  6. W

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Spika Ndugai ni boss wangu lakini namshangaa sana, ajiuzulu haraka sana

    Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima amemshauri Spika wa Bunge, Job Ndugai ajiuzulu kutokana na mpasuko ambao amesema anauona Gwajima amesema anaona Ndugai anataka kuchonganisha wananchi na serikali kwa kauli yake ya kusema '2025 mkimuweka mwingine sawa' Aidha amesema suala la...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Shiboub amekuja tu Kutalii Mapinduzi Cup ila Simba SC hatuna mpango wa Kumsajili..Kasema Boss Try Again

    Ningewashangaa sana Simba SC kama kweli wangemsajili Shiboub kwani ameshaishiwa Uwezo na wapo Wachezaji wa Kumzidi Kikosini kwa sasa. "Hii Michuano ya Mapinduzi Cup ni kama tu Bonanza na kwa Uhusiano wetu mzuri na Shiboub alituomba tu Simba SC aje Kutalii na Kuwasalimia Wachezaji wenzake...
  8. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Kwa hali hii; Je, Job anaweza kumuwahi boss wake kwa ile kura ya veto?

    Hali si shwari kwa wanaofuatilia siasa za nchi hii toka camarada Legendary Pombe alipotoweka dunia. Pamoja na kuwa katika wakati mgumu kufuatia kushusha siraha nchini na kuonyesha udhaifu kwenye mhimili mwingine. Kwa nafasi aliyonayo dhidi ya ule muhimili anaousimamia japo tayari yupo under...
  9. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania SOLD: Friji mpya ya Boss BS 70 SVR inauzwa

    Friji/Jokofu mpya Inauzwa Model: BS 70SVR Location: Mbezi luis Bei: 290,000/= Mawasiliano: 0768776716
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ni bahati mbaya sana Viongozi "Think Tank' kama huyu Angetile Osiah aliyewahi kuwa Boss TFF hawatakiwi Tanzania

    Nimeshangaa kusoma kwamba eti kiongozi wa klabu ya Biashara anasema anachojali “ni fedha tu za Udhamini wa GSM, na hayo mambo mengine hayawahusu”. Hicho ni kiwango kikubwa cha kutojua wajibu wake kama kiongozi wa klabu ya Ligi Kuu, haki za klabu hiyo na vyanzo vya mapato. . Kwa kiongozi kama...
  11. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Zari Hassan (The Boss Lady) ataja sababu zilizovunja mahusiano yake na Diamond Platnumz

    Zari amefichua miongoni mwa sababu zilizomfanya kumwacha staa wa bongo Diamond Platnumz ni kwa sababu ya kutokuwa mwaminifu mfululizo. Anasema wasichana walikuwa wengi na katika baadhi ya matukio, kulikuwa na mimba zinazohusika. Akizungumza wakati wa mahojiano ya wazi na Toke Makinwa, Zari...
  12. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Vitz new model kwa bei ya boss mwenyewe

    Vitz new model in good condition Bei yake 6million (njoo na laki 2 ya dalali) x'tics cc 1290 mileage: 100,000kms piston 3 haijawahi pata ajali LOCATION: Lugalo, Dar es salaam mawasiliano 0713096076 tumalize kazi
  13. Equation x

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maana ya neno 'Boss' katika mahusiano kazini

    Wengi wanapenda kuitwa 'boss' makazini, bila kujua uzito wa hilo jina. Wengine wanalazimisha waitwe hivyo, na wengine inatokea tu wanaitwa hivyo kutokana na wanavyotatua kero za wafanyakazi wao hasa kimaslahi. Wenye kulipenda hilo jina wengi wao wanafikiri kuitwa 'boss' ni kuwa na uwezo wa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mambo ya Udhamini wa NBC na TFF nawaachieni nyie Mimi naomba tu kujua je, Boss wa NBC ni Simba au Yanga?

    Ninasubiri majibu yenu ili nitiririke sasa.
  15. Ndikwega

    JamiiForums Tanzania MaBoss Wetu na Uongozi wao

    Nimefungua Uzi huu Mahsusi kwa ajili ya Kujadili na Kujadili baadhi ya Changamoto za Maboss wetu hususani wa Afrika. Yeyote uliwahi ama unapitia na Kukumbwa na Uonevu ama Kusingiziwa na Maboss aidha kwa kuamua wenyewe ama Kulishwa Majungu na Wale Watu ambao siyo wazuri kwako. Tunaomba pia...
  16. Hell is real

    JamiiForums Tanzania Jitahidi kuwa mpole unapokosewa na boss wako

    Habari wakuu!! Mara nyingi wanadamu hatufanani, kitabia, kimtazamo, na hata kimawazo!! Hivyo usishandane na mtu ambaye tiyari ana hasira juu yako kwa maana anaweza kufanya limpendezalo kwako(Mhubiri 8:3 Usifanye haraka kutoka mbele ya uso wake; usiendelee kufanya lililo baya; maana yeye hufanya...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Boss wako akikuangalia hivi si unaweza ukatetemeka?

  18. demigod

    JamiiForums Tanzania Wachezaji Wote Waliambiwa Wampost Boss

    Kanjibahi ni mkiritimba kinoma aisee! Kumbe bhana aliwaforce key players wa Simba wamposti na kumpongeza kwa lengo la kuonekana kama ni mtu muhimu sana kwenye simba. Jamaa aliwahadaa sana watu aliposema hakuna mkubwa kuliko simba, kumbe alimaanisha hakuna mkubwa kuliko yeye. Jamaa atawatesa...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Boss wenu Yuko Gerezani, Hukumu inakarabia na waliokuwa Washirika wameanza 'Kuparurana' Mitandaoni, kwanini CCM isizidi Kutawala tu?

    Kuna Watu Wawili ambao nilikuwa nikiwaheshimu na kudhani kuwa wapo 'very smart' na kwamba hawataingia katika 'Mtego' wa Kufarakanishwa (Kugombanishwa) lakini bahati wameuongia huo 'Mtego' tena vizuri sana tu. Leo hii GENTAMYCINE nasikitika kuona kuwa Mtu ambaye kwa Miaka takribani Miwili Mitatu...
  20. bernadbonny

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Friji/ jokofu (refrigerator) Tsh. 350,000 net

    Friji/Jokofu linauzwa Tsh.350,000/= NET! ______________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________ Linatumia 0.8 units tu za umeme kwa masaa 24. Tena hapo ukiwa ume'seti namba KUBWA...
Back
Top Bottom