Ni Mtanzania Mwendawazimu tu hatoweza Kuishangilia Yanga SC iliyo Bora kuliko Simba SC ikicheza na Mamelodi Sundowns FC leo Usiku

Kuna Diarra kuna Baka kuna Aucho kuna Aziz K kuna Pacome na kuna Musonda na Guede yaani GENTAMYCINE nitaachaje Kuwashangilia na nimshangilie Nuksi Kapombe na Mpuuzi Onana?

Kila la Kheri Yanga SC baadae leo.
Yanga ni timu bora kuliko Simba 😂😂
 

Attachments

  • Screenshot_20240329-083622.png
    Screenshot_20240329-083622.png
    369.2 KB · Views: 1
Huku anyang'anywe simu. Anaandika ushuzi kila dakika.
Nakuja na Nyuzi zingine Saba muda si mrefu hivyo kaa tayari Kuzisoma sawa? Akili Kubwa GENTAMYCINE najua kweli Kuwaburuza na kuwafanya Fools kama Wewe muda wote muwe Mnanifuatilia na Mnanisoma sana hapa JamiiForums.

Kudadadeki....!!
 
Baada ya Simba kupigwa, sasa unakuja na nyuzi za kuisifia Yanga. Si ulisema mwezi mtukufu kuna timu itapoteza mechi zote, majini yanagoma. Sasa unaishangilia ya nini.
 
Back
Top Bottom