bora

Borá is a municipality in the state of São Paulo in Brazil. The population is 838 (2020 est.) in an area of 119 km². The elevation is 582 m.
Borá is the least populated Brazilian municipality.

View More On Wikipedia.org
  1. Nomadiq

    JamiiForums Tanzania Kipi bora uwe na kitu, ukipoteze? Au bora usiwe nacho kabisa!

    Kwema bandungu! KUPOTEZA KITU kunaumiza sana, kutokuwa nacho kunauma zaidi. Kwa upande wako unadhani kipi bora, uwe na kitu ukipoteze au usiwe nacho kabisa? HESHIMA MBELE karibuni kwa maoni na mjadala.
  2. Equation x

    JamiiForums Tanzania Ndoa na kazi ipi bora?

    Kumekuwa na malalamiko ya wanandoa wengi walioajiriwa kuwa mbali na wapenzi wao, ambapo mke/mume anakuwa mbali na mwenzie kutokana na mazingira ya kazi. Mmoja anaweza kuwa mbali ki wilaya, mkoa au nchi tofauti na mwenzie na kupelekea ugumu wa kuonana mara mara na mwenzake. Hii imekuwa...
  3. FEBIANI BABUYA

    JamiiForums Tanzania JIPATIE SIMULIZI BORA ZA KIJASUSI

    UJASUSI, UPELELEZI NA MAPIGANO 1. ULIMWENGU WA WATU WABAYA...4000 2. I WANT TO DIE JUDGE...4000 3. GEREZA LA HAZWA...5000 4. INNOCENT KILLER (THE REVENGE)/ MUUAJI ASIYE NA HATIA (KISASI)...5000 5. NYARAKA NAMBA 72/ DOCUMENT NUMBER 72...4000 6. ELECTION SAGA MONEY IN BLOOD (SAKATA LA...
  4. FEBIANI BABUYA

    JamiiForums Tanzania JIPATIE SIMULIZI BORA ZA KIJASUSI

    UJASUSI, UPELELEZI NA MAPIGANO 1. ULIMWENGU WA WATU WABAYA...4000 2. I WANT TO DIE JUDGE...4000 3. GEREZA LA HAZWA...5000 4. INNOCENT KILLER (THE REVENGE)/ MUUAJI ASIYE NA HATIA (KISASI)...5000 5. NYARAKA NAMBA 72/ DOCUMENT NUMBER 72...4000 6. ELECTION SAGA MONEY IN BLOOD (SAKATA LA UCHAGUZI...
  5. Setfree

    JamiiForums Tanzania Lucas Mwashambwa ni mfano bora wa kuigwa!

    Hapa JF kuna watu wana maneno yanayochoma kama mkuki, hata hivyo bado kuna watu wanaobaki kuwa na mioyo ya upendo, subira na busara hata wakirushiwa mikuki ya dhihaka na kejeli. Mmoja wa watu hao ni Lucas Mwashambwa — mtu ambaye licha ya kupingwa vikali, kushambuliwa hoja zake, na kukosolewa...
  6. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Toka ujiunge JF ni upi uzi wako bora?

    Wakuu habari zenu? Kama mada tajwa hapo juu inavyojieleza. Mimi binafsi toka nijiunge JF nina nyuzi mbili, japo nimesema mmoja imeniwia vigumu kuzitenganisha hizi nyuzi kisha nichague mmoja. Hizi nyuzi za hawa memba wenzetu waliotangulia mbele za haki, folk, Mpauko, zimeelezea hali halisi ya...
  7. T

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wakikuzingua susa, bora mkose wote mama

    Mama Wakikuzingua wazingue pia. hawakujui vizuri Kwani una kipi cha kupoteza, bora mkose wote kuliko ukose mwenyewe Ni ushauri tu.
  8. Wickama

    JamiiForums Tanzania Pima Udongo

    Wakuu, Kuwekeza mamilioni kwenye kilimo pasipo kufuatilia afya ya udongo wako ni kama ku-bet. Vifaa vya kujipimia udongo siku hizi ni vingi kwa bei rafiki na maelezo yake yamejaa You Tube. Huhitajiki kufunga masafari marefu kama enzi zileeee. Take care
  9. leroy

    JamiiForums Tanzania Wanamuziki 5 Bora wa Kike wa Rumba kutoka Kongo wa Muda Wote

    Ndugu wanajamii, Leo nimekuja na mada inayoweza kuzua mjadala lakini yenye umuhimu mkubwa katika historia ya muziki wetu wa Rumba kutoka Kongo. Tunapozungumzia Rumba, mara nyingi tunawaona wanamuziki wa kiume wakipewa kipaumbele, lakini ukweli ni kwamba wanawake wamekuwa na mchango mkubwa sana...
  10. Jbst

    JamiiForums Tanzania Kati ya haier na hisense ipi bora?

    Kwa wataalamu wa au waliotumia hizi TV 2 naomba ushauri kati ya haier na hisense TV gani nzuri na mara. Nilikua na samsung imekufa sasa huku kwa samsung naona parefu sana. nimeshuka hapa kati kabla sijafika huko chini kwa wachina kina vitron na kina Alitop. Msaada wakuu.
  11. M

    JamiiForums Tanzania ARUSHA TZS Bilioni 99 kwa Elimu Bora!

    ARUSHA TZS Bilioni 99 kwa Elimu Bora! Rais ametumia TZS99bn kujenga shule mpya 34, madarasa 834 mabweni 60 na maabara 78. Rais Samia amejenga shule mpya 27 za sekondari, shule mpya saba (7) za msingi na kujenga vyumba vya madarasa 843 na mabweni 60 ya wavulana na wasichana. Hata hivyo Mama Samia...
  12. Z

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole kachemka, bora angemtafuta msemaji mwingine kusema maneno yale

    Inahitaji akili ya juu unapopanga jambo kama hilo. Kama Polepole angerudisha band nyuma kidogo (2020-Uchaguzi wa wabunge), na kumuona Polepole wa wakati ule akajilinganisha na Polepole wa 2025, kweli asingesema maneno hayo. Kitu sahihi cha kufanya katika hali hiyo ni kuingiza maneno hayo katika...
  13. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Nasikia sasa wamesema bora tukose wote na tuanze upya!

    Wakuu kinachoendelea ni ule utaratibu wa bora tukose wote . Jamaa wa ubungo maziwa eti pale kwake Bukoba kijijini analindwa Kama sio yeye . Yule jamaa muhaya akili nyingi ana hasira za kupishana na tonge, karatasi pia alinyimwa . Na yeye anaona kurudi kupiga madesa anaona haiwezekani Je...
  14. posian el

    JamiiForums Tanzania Flac file Vs MP3 320kbps ipi bora

    Wakuu kama title inavyoeleza naomba kujua tofauti iliyopo kati ya audio flac file na mp3 320kbps ....... Na sehemu website au apps gani naweza download hizo flac file zenye quality nzuri..... Natanguliza shukrani....
  15. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Shout out kwa Godfrey Steven kwa kuendelea ku-prove yeye ndio msanii bora wa gospel ya kisasa

    Ahitaji kumix sebene na gospo au kuvaa kama muimba singeli, ila muziki flani tulivu wenye ubunifu bil kukimbia nadharia nzima ya uzima https://youtu.be/gtVvOnjovEs?si=c1KaQ_JVY1XQbppI
  16. chiembe

    JamiiForums Tanzania Bati za Sundar ni bora? Kwa wenye uzoefu tafadhali

    Swali langu
  17. Z

    JamiiForums Tanzania Kati ya diploma ya medical laboratory na radiology ipi Bora ?

    Habari za muda huu wakuu, Naomba mnisaidie kujibu swali tajwa hapo juu, ipi ni kozi nzuri kusoma Kati ya hizo kwenye nyanja ya kuajiriwa pamoja na kuajiriwa. Japo lengo langu kubwa ni kujiajiri. Karibuni kwa michango yenu
  18. T

    JamiiForums Tanzania Vifaa bora vya shuleni na ofisini

    Habari wadau .... Je unahitaji vitu bora vizuri vya shule na ofisini??? Basi usisite kutafuta Trumark Stationery & Books. Tupo Kimara Stopover delivery services Tanzania nzima Just Call 0765 76 76 96
  19. N

    JamiiForums Tanzania Kuna Maisha baada ya Elimu, Diploma una chance kubwa kupata ajira baada ya chuo, Form 6 ni shortcut lakini ni ngumu sana kupata ajira baada ya chuo

    Kila mwaka idadi ya wanafunzi wa kidato cha sita inaongezeka sambamba na ufaulu. Mwaka huu pekee, zaidi ya wanafunzi 125,000 wamepata sifa za kujiunga na masomo ya shahada ya kwanza (Degree), Kati ya hawa, wanafunzi wanaoweza kujiunga na vyuo kwa mikopo au kwa kujilipia wanakadiriwa kufikia elfu...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo sio watu wahuni ni mifumo bora

    Huwezi kumaliza wahuni kwenye nchi au chama weka mifumo bora Polepole anakosea kwa kujali wahuni badala ya mfumo mzima wa nchi wa uhuru na haki
Back
Top Bottom