bora

Borá is a municipality in the state of São Paulo in Brazil. The population is 838 (2020 est.) in an area of 119 km². The elevation is 582 m.
Borá is the least populated Brazilian municipality.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Bila fedha , No reform, no katiba mpya , No kikomo ufisadi, Bora CHADEMA watoe ahadi ya kukabidhi Madini yote kwa marekani , Ili msaada upatikane.

    Kwasababu sasa nchi ishakuwa na inequality, watu wachache wanakandamiza wengi, katiba mbovu, ufisadi wa kuwanufaisha watu wachache wa CCM, Kutumia dola kuumiza raia, utawala wa kiimla, kujiweka madarakani, hii Tanzania sasa imekuwa ni nchi ya kikundi cha watu wachache. Na kwasababu wameshikilia...
  2. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Tatu Bora Mawaziri 2020-2025

    Mimi binafsi nimefuatilia nimeamua kuja na Tatu Bora yangu ya Mawaziri Bora kwa mwaka 2020-2025. Hawa jamaa uwa ni wafanya kazi sana na hawana makando kando linapokuja swala la kazi, na hawanaga kulamba miguu mtu. Waziri Huseein Bashe Amehudumu kama Waziri wa Kilimo tangu alipoteuliwa kama...
  3. Desierto

    JamiiForums Tanzania Bora tu simba hatujachukua kombe

    Hebu tafakari kama tungechukua kombe kila kiongozi wa serikali angeanza na neno gani kwenye huo ushindi. Nafikiri hata wachezaji wangesahaulika kupongezwa.
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Cherehani Asema Tumbaku Bora Huanzia Shambani

    MBUNGE CHEREHANI ASEMA TUMBAKU BORA HUANZIA SHAMBANI Wakulima wa zao la Tumbaku hapa Nchini wameaswa kuzingatia kanuni bora za kilimo cha zao hilo ili kuzalisha kwa tija na kupata soko la uhakika kutokana na kuendelea kuimarika kwa bei katika masoko. Rai hiyo imetolewa na Mbunge wa Jimbo la...
  5. sam sanity 01

    JamiiForums Tanzania Chakula bora cha Nguruwe wa kisasa

    Mimi natumia gharama kubwa kupata mchanganyo kwaajiri ya nguruwe ambao ni:- Pumba mahindi 700kg Concentrate 50kg Mashudu 200kg OlaQuindox 500mg Bokhash 10kg Dcp 10pkt Pig booster 10pkt Toxic binder 1kg Jumla tani 1 ya chakula. Napata matokeo lakini faida inakuja ndogo sana. Je wanajamii...
  6. Fateema

    JamiiForums Tanzania Nimeanza kufanya content YouTube. Kipi bora nipromote video mimi mwenyewe ama nimlipe mtu apromote

    Na ili niweze kuwa na access ya kupromote hiyo video natakiwa kuwa na vitu gani? With much thanks in advance
  7. nipo online

    JamiiForums Tanzania Samahan wakuu, kati ya kuongeza Salon ya pili na Library ya movie bora kipi?

    Ni salon ya kiume, tayarii nina computer imebaki tu kununua storage bas, Lakin kuna mawazo yamenijia Leo usiku kua kwanini nisiongeze saloon ya pili ambayo kwa eneo naloishi kwa wiki napata 75000-85000. lengo nisogeze kama mita 200 hivi kutoka hii salon ya hapa iliyopo, nikaona nije kwanza...
  8. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Kwa huu Upuuzi mliopanga Simba mnaenda poteza hii Match. Wallah Wabillah mtaniambia

    Yaani mnataka leta siasa za kiduanzi sana. Tunajua mnachofanya na tayari watu tumeamua kama mbwai mbwai. Yaani mumpongeze mama yenu kwa hili? Nyie mna akili kweli? Sasa mnaenda poteza hii match. Wallah Wabillah labda si mimi mjukuu wa mtume. Yaani mnaleta siasa kwenye mambo ambayo si ya...
  9. Royal Son

    JamiiForums Tanzania KIPAZA SAUTI BORA NA RAHISI KUBEBEKA

    Unatafuta kipaza sauti bora kwa✅ mahojiano, vlog, podcast, au ✅ matangazo ya moja kwa moja?✅ Lavalier Microphone Recorder ni suluhisho lako kamili!💯 Ubora wa sauti wa hali ya juu Rahisi kubeba na kutumia Inaendana na simu, kamera, na kompyuta Inazuia kelele za mazingira (noise reduction)...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Mchezaji bora chipukizi

    Kutoka Nchini Cameroon 🇨🇲, Mchezaji wa klabu ya Victoria United, Wilfried Nathan Douala ambaye ni Kiungo mwenye umri wa miaka 19, ameshinda Tuzo ya Mchezaji Bora Chipukizi wa msimu huu Nchini Cameroon. Ikumbukwe kwamba Mchezaji huyo alikuwa miongoni mwa Wachezaji waliokuwa wakiunda kikosi cha...
  11. Mayu

    JamiiForums Tanzania Picha BORA kabisa ya Mwaka

    A picture that speak louder than words Wakati ukifika ambapo ukombozi kamili wa Taifa hili ukikamilika picha kama hizi zitapamba Makumbusho ya taifa na zitaishi vizazi kwa vizazi kutambua mchango mkubwa wa watu walio weka rehani maisha yao kwa sababu ya kupigani haki na misingi yake NO REFORM...
  12. Tanzanian kid

    JamiiForums Tanzania Vyuo Bora vya IT Tanzania (Upande wa Practical Skills)

    1/ Katika kipindi hiki cha maendeleo ya kiteknolojia, tunahitaji kujadili kwa kina: Ni chuo gani nchini Tanzania kinachofanya vizuri zaidi katika kufundisha IT kwa vitendo na kuzalisha vijana wenye ujuzi? 2/ Ninazungumzia practical skills — sio tu vyeti. Tunazungumzia mafunzo yanayowaandaa...
  13. Tanzanian kid

    JamiiForums Tanzania Vyuo Bora vya IT Tanzania (Upande wa Practical Skills)

    1/ Katika kipindi hiki cha maendeleo ya kiteknolojia, tunahitaji kujadili kwa kina: Ni chuo gani nchini Tanzania kinachofanya vizuri zaidi katika kufundisha IT kwa vitendo na kuzalisha vijana wenye ujuzi? 2/ Ninazungumzia practical skills — sio tu vyeti. Tunazungumzia mafunzo yanayowaandaa...
  14. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Yesu ndio anabaki kuwa "religious figure" bora kuwahi kutokea. Katika safari yake hakuagiza damu yoyote wala hakufanya figisu kuufikia umashuhuri.

    Sijali kama utamuita Mwana wa Mungu, Nabii au Mwalimu. Ila katika maandishi ya vitabu na simulizi hatujaona mahara alisema mchukie wayahudi kwa kunikataa, muaue waroma kwa kunisurubu na muangamize wote wasiotaka kufata kile nilichowafundisha. CHRIST IS KING
  15. dogman360

    JamiiForums Tanzania Bora kusomea Degree nyumbani Tanzania halafu Masters Nje kama una uwezo?

    .
  16. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Bora Simba Sc wafungwe maradufu ili CCM wakome Kuvuna wasipopanda

    GT Mimi ni simba ila kitendo cha maCCM kuzichukulia timu zetu kama sehemu ya propaganda na campaign kuelekea uchaguzi mkuu kinanikera sana. Kwa maana hiyo basi ili kuwakomesha hawa maCCM na kuwaziba midomo maana siwapendi acha tu simba sc wafungwe tu na wasichukue kombe kabisa. Kama maCCM...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Bora chadema ife tu

    Haya mambo ya utekaji yataondoka Unaona ilipokufa cuf Zanzibar imetulia? Ikifa chadema haya mambo ya watu kupotea yataondoka.
  18. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania REA YAENDELEA NA UHAMASISHAJI MATUMIZI BORA YA NISHATI YA UMEME, NA UUNGANISHAJI WATEJA MKOA WA MOROGORO

    📌Wananchi wapewa elimu matumizi bora ya nishati ya umeme 📌Wahimizwa kujiunganisha na huduma ya umeme 📌Wananchi wahamasika na UMEME TAYARI ( Ready Board) Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umeendelea kuhamasisha matumizi sahihi na endelevu ya umeme kwa Watanzania ikiwa pamoja na kutoa elimu...
  19. bibliatimes

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume bora ni yupi?

    Leo nataka niwasaidie wadada kwenye mahusiano. Na ukinielewa leo hauwezi ukaingia kwenye hizi kesi ambazo zimetesa wanawake wengi, wadada wengi sana. Unaingia kwenye mahusiano na mwanaume anakupa mimba anakuacha. Nataka niwaambie wanaume wanaofanya hivi wanakosea sana na ni uovu mbele za Mungu...
  20. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuaje Baba miaka 30 unahangaika kwenye nyumba za upangaji?

    Hivi inakuaje baba Zima miaka 30 unahangaika kwenye nyumba za upangaji huwa nawashangaa majitu kama haya aisee Tanzania ilivyokua na ardhi kubwa hivi watu tunajimegea tu aisee nyie wazee acheni ujinga jengeni muishi na familia zenu sio mnakaa mnanig'inia kwenye nyumba za kupanga nyie Sasa ni...
Back
Top Bottom