bongo

Neno lisilo rasmi / la mtaani likimaanisha Tanzania. Linatumika badala ya neno Tanzania.
  1. Akilihuru

    List ya wasanii wa Bongo ambao walipata umaarufu na mafanikio makubwa, lakini leo wako juu ya mawe

    1) Mr Nice - huyu Afrika mashariki nzima na baadhi ya nchi za kusini kama vile Malawi, Msumbiji na Zambia hakuna mtu ambae alikuwa hamjui. Mpaka watoto wadogo huko vijijini Malawi walikuwa wanaimba kidali poo. Miaka ya 2002 mpaka 2005 alipiga hela sana lakini akaishia kushusha zipu, leo hii...
  2. F

    Aliyemshauri Rais Samia kuingia katika soka la Bongo kwa kununua magoli ana akili nzuri sana!

    Mchezo wa soka (mpira wa miguu) ni mchezo unaopendwa na watu wengi sana Duniani. Kwa hapa Bongo ni kama ndo epicenter ya soka! Soka linapendwa hapa Bongo balaa! Kuna wakati niliwahi kumwambia rafiki yangu mmoja kwamba kwa "uwazimu" huu wa upenzi wa soka hapa Tanzania hasa katika mechi za Simba...
  3. M

    Walimu kupiga mwanafunzi bongo

    Yuko kijana mvulana alizua vurugu shuleni kujaribu kumpiga mwalimu. Mwalimu akaamua kuita wenzake kijana alipigwa na walimu watatu. Niliona ni bora kwa vile alikua amekosa nidhamu. Lakini wako baadhi ya watu walikua wakimtetea kijana huyo
  4. M

    Vijana wa Bongo jifunzeni kwa CR 7

    "When I speak about my father, I don't have the words. The sadness is for me to be the number one and for him to have never seen it. All my family saw, but my father didn't see any of it." Cristiano Ronaldo talking about his dad who passed away September 6 of 2005 when he was just 20 years old...
  5. Landrover 109

    Moja ya njia rahisi ya kuipeleka Bongo Hip-hop international

    Peace to brothers and sisters! Najua ziko njia kadhaa zinazoweza kuwapush wasanii wetu wa Hip-hop kuvuka mipaka hata nje ya Afrika,kutegemeana na strategies na plans za msanii husika. Nchi yetu imebarikiwa vipaji vingi sana vya ma Mc na Rappers wakali,japo hutumia lugha mama pendwa ya...
  6. Saad30

    Msanii wa Hip Hop Bongo Boshoo asaidiwe uwandishi

    Boshoo kama upo humu hii ni yako.. Style yako ya kurap na uwandishi bado ni moja tu. Tangu....atoke Tanga hadi kwenda dar kutafuta tobo bado ni hivyohivyo tu.. Clouds Media wanambeba lakini wapi.. Eti naye kamchana Dizasta Vina 😂😂😂😂 dogo kazingua.... Nendeni kaskilizeni track yake mpya EL...
  7. M

    Chemsha Bongo

    Nishawahi kusikia au kasoma kuwa; Ujaama ni imani, CHADEMA ni imani, dini ni imani, taifa halina dini bali lina imani, 1. Nini tofauti kati ya KUAMINI na KUJUA 2. Kujua na kuamini je ni kitu kimoja au tofauti. 2. Je, Ujamaa, chadema, dini tunapaswa kujua au kuamini 3. Je, mama yako...
  8. Rawahy

    Movie za bongo background music unakera

    Mimi ni mpenzi sana wa bongo movies ingawaje mimi sio mtanzania wala siishi Tanzania. Kuna moja linanikera sana katika movie hizo; ni background music. Inakuwa hata vigumu kusikia wanachosema waigizaji.
  9. bahati93

    Wanawake hatari zaidi hapa Bongo

    Hatari na nusu. Ndugu zangu leo nawapatia majina ya wanawake hatari mmoja bada ya mwingine ili nanyi muweze kushuhudia jinsi wanavyotisha. Katika mtiririko ufuatao Kadiri navyo waorodhesha ndivyo ukali unazidi, yaan wa kwanza anakuwa mkali anayefwata mkali zaidi. Hivyo hivyo. Tunaanza sasa...
  10. B

    Mafundi wengi Bongo wanashindwa kufanya Overhaul ya Engine ya 1ZZ

    Ningependa tu kutoa ushauri, kufanya overhaul ni mara mia ununue mswaki ufunge. Mafundi tulionao wanaweza kukushawishi ufanye overhaul lakini tambua engine haiwez kuwa na the same performance+Life span ya engine is shortned.(Hapa unakua kama upo kwenye limp mode,Gari haina uwakika kwa safari...
  11. Thailand

    Kwa mnaotaka kusoma course za nje mkiwa hapa hapa bongo chekini hii scholarship ya Commonwealth Distance Learning (MA)

    Hii scholarship mwisho wa kufanya application ni 28/ 03/ 2023. Bado hujachelewa ku apply. https://cscuk.fcdo.gov.uk/scholarships/commonwealth-distance-learning-scholarships-candidates/
  12. M

    Marefa wa bongo hovyo sana

    Refa amekataa goli halali kabisa la singida big stars dhidi ya coastal union. TFF fungieni hawa marefa wanaharibu sana ligi.
  13. D

    Karibu asilimia 70% ya maswali ya baadhi ya waandishi wa habari Bongo ni ya ovyo; nina wasiwasi na ubora wa vyuo vya habari

    Nimefuatilia mahojiano (interview) nyingi za waandishi wa habari Tanzania! Wengi wao wanamaswali ya hovyo na kipuuzi kuliko mahitaji ya jamii inachohitaji kujulishwa! Maswali yao mengi yapo kwenye mlengo wa taharuki kwamba Flani kasema vile na vile almradi tu jambo lionekane la kuishangaza...
  14. OKW BOBAN SUNZU

    Nyota wa zamani wa Yanga afungua kijiwe cha mishkaki

    Mchezaji wa zamani wa Yanga SC na Singida United Kipanya Malapa amefungua biashara ya mishikaki na kachori maeneo ya nyumbani kwao Buguruni. Kipanya anamshukuru sana mchezaji mwenzie wa Yanga Said Maulidi Kalikula kwa kumuunga mkono na kuomba wadau wengi wapite maeneo ya Buguruni Kona kupata...
  15. crankshaft

    Kuna umuhimu gani wa kuwekeza katika mpira bongo?

    Singida united ilikuwa timu kubwa na uwezo wa kusajili wachezaji wakubwa bwana yule alipokuwa madarakani. Ila alipotumbuliwa tu timu ikaparanganyika mpaka kupotea kabisa kwenye ramani ya soka bongo. Baada ya kurudishwa tena madarakani wameibuka tena na timu singida big stars na inafanya...
  16. Kang

    Mwaka wa hatari kwa startups za Bongo zilizopata funds kutoka kwa VCs wa nje

    Startup kadhaa za Bongo katika miaka ya karibuni zilianzishwa kwa kupata funding kutoka kampuni za Venture Capital (VC) Marekani, kabla ya mfumuko wa bei (inflation) iliyotokea hivi karibuni interest rate ya banki Marekani ilikuwa karibia 0% hii ilikuwa na effect mbili, kwanza kukopa ilikuwa...
  17. Shujaa Mwendazake

    Mabondia wanaokuja Bongo wanafanyiwa Vetting?

    Huyu dogo anayepambana na Tony Rashid mbona sifa zilikuwa nyingi na anaonekana anakwenda kupoteza pambano. Hizi trends za wabongo kushinda , je ni wako bora sana Africa au tunamdanganya nani? Ni wakati sasa na wao kutoka kwenda S.Africa na sehemu nyingine kututhibitishia lakini si kwa hii...
  18. pantheraleo

    Dar: Show ya Heshima kwa Wakongwe wa Bongo Fleva si ya Kukosa

    Deiwaka World chini ya Joseph Mbilinyi “SUGU” kwa kushirikiana na Alliance Francaise (Kituo cha Utamaduni cha Ufaransa), imeandaa “Bongo Flava Honors” Concerts ambalo ni Jukwaa mahsusi kwa Wakongwe wa Bongo Flava. Concerts hizi zitafanyika Alliance Francaise, Upanga, Dar Es Salaam. Kila mwezi...
Back
Top Bottom