Yanayoendelea Marekani ingekuwa bongo watu wengi wangepotea

Analogia Malenga

Platinum Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,292
Reaction score
10,842
Marekani wanabishania budget ambapo imebidi fedha zisitishwe kwa mwaka wa fedha ambao kwao unaanza October 1. Hii ni kufuatia kutokubaliana na ile One big beatiful bill ya Trump.

Hii imepelekea balozi nyingi kuacha kutoa huduma kwa kuwa mishahara haitaingia hadi suala hilo la bajeti likifika muafaka.

Nawaza suala kama hili lingekuwa Tanzania watu wangapi wangeitwa wasaliti wangepigwa tindikali nk.

Demokrasia ni vitendo, kupingwa haina maana utumie nguvu bali tumia hoja
 
Yaani unalinganisha TZ na US hauuko serious
 
Back
Top Bottom