bongo

Neno lisilo rasmi / la mtaani likimaanisha Tanzania. Linatumika badala ya neno Tanzania.
  1. JamiiForums Tanzania Hivi hapa bongo kuna benki ya Kuwait?

    Wakuu naomba kujuzwa kama hapa Bongo kuna benki ya Kuwait kama ilivyo benki ya India! Kama ipo, utaratibu wa kufungua akaunti upoje?
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini ukiwa nchi za wazungu husikii njaa hovyo kama ukiwa bongo?

    Hello jf.. Nimebahatika kutembea nje ya bara la africa sehemu kama Sydney,London,Denver,New york,Istanbul,Melbourne na Madrid. Nimegundua ukiwa huko hata husikii njaa hovyo tofauti na bongo ukiamka tu asubuhi unaamka na ubao wa kufa mtu. Kwa nin iko hivyo?
  3. JamiiForums Tanzania Tamaa ya Pombe za bure inavyowaponza mabinti!

    Wewe binti Huna hela ya pombe, si utulie home? Kutwa kujichatisha WhatsApp na insta kwa waume za watu na kuomba hela ya Pombe, wengine tushachoka na stress za kwenye ndoa ukijichanganya sisi tunapiga tu Kama mwewe. Hakunaga habari ya kutulia na demu mmoja.
  4. JamiiForums Tanzania Mtendaji wa Kijiji cha Hydom amshindilia makonde mwanakijiji. Asimamishwa kazi kupisha uchunguzi

    Taarifa zinaonesha kwamba Mh Mtendaji anaitwa Adella na ni Mtendaji wa kijiji cha Hydom kilichopo Mbulu , mkoani Manyara. Cha kushangaza ni kwamba Mwananchi aliyedundwa ndiye ameshtakiwa mahakamani kwa kumshambulia Mtendaji. Nachukua nafasi hii kuwashukuru Wazalendo waliorekodi tukio hili la...
  5. JamiiForums Tanzania CHAN2021: Mchezo umemalizika kwa Taifa Stars kupoteza mchezo wake wa kwanza dhidi ya Zambia

    Taifa stars imeanza vibaya huko Cameroon dhidi ya Zambia kwa kulala 2-0. Nadhani rais atatekeleza ahadi Yake ya kutumbua waziri wa michezo ingawa hakucheza. === #CHAN2021 Mchezo umemalizika kwa Taifa Stars kupoteza mchezo wake wa kwanza dhidi ya Zambia. Zambia 2-0 Tanzania Sikombe 64' (P)...
  6. JamiiForums Tanzania Familia ya Diamond ilivyotawala entertainment industry ya bongo

    Pengine kwa wengine inaweza kuonekana familia ya ajabu au familia iliyokosa maadili mema ya kitanzania. Kwa lugha rahisi ni typical familia ya kiswahili. Lakini kwa watu walio kwenye industry ya burudani haswa media wanajua ukubwa wa hii familia kwa sasa. Content yao ni mali kama Almasi...
  7. JamiiForums Tanzania The Bongo Flava industry in Tanzania; Is still grow or decline?

    Tujadiliane kuhusu Bongo Flava industry ; Is still growing or declining industry? Ni nini Maoni yako kweny Tanzania music industry.
  8. JamiiForums Tanzania Moja ya kinywaji laini (soft drinks) kinachopendwa Bongo Pepsi inaongoza

    Naona Pepsi inazidi kupendwa sana na wabongo, sijui kwanini juzi kati nilikuwa Dar kama unavyojua Dar jua kali sana sehemu za vinywaji laini wengi walikuwa wanaagiza pepsi na maji. Sasa hivi mkoa niliopo kulikuwa na sherehe mahali nami nikawepo hapo kulikuwa hamna pombe bali ni aina zote za...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini P Funk Majani mmiliki wa Bongo records hajihusishi sana na siasa?

    Huyu P Frank Majani nimemuona kati ya watu smart sana, walianzisha mziki wa Bongo na ana miliki studio ya Bongo records, cha ajabu huyu bwana hajawahi onekana kwenye majukwaa ya kisiasa, je ameona mbali au ana maono ambayo ni zaidi ya siasa, je kumudu biashara zake na kutohusisha na siasa...
  10. JamiiForums Tanzania Njoo tu umize bongo ze(brain storm here) ^_^

    This a thread for making you storm and disturb your brain. Come storm your brain and make other storm it also . :) :) :) :) ^_^ :) :) :) :) WELCOM
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bongo mwendo wa viboko tu, panazidi kunoga, huyu naye mwingine

    Halafu ni waziri, mtanyooka sana nyie watu, mumekua mdebwedo siku nyingi na kupenda kulialia....hehehe watawala wenu wamedhamiria mtafundishwa kwa mboko. https://www.jamiiforums.com/data/video/2654/2654963-c25c8ae6c2cee0b1bdb0d36425691e96.mp4
  12. U

    JamiiForums Tanzania Post ya Harmonize kuweka rekodi Instagram bongo

    Post ya Harmonize akimtakia heri ya mwaka mpya Diamond Platnumz inaweza kuwa ndiyo post yenye likes na comment nyingi zaidi bongo tangu kuanzishwa kwa Instagram. Mpaka sasa post hiyo ina likes zaidi ya laki na ishirini ikiwa na comment zaidi ya elfu 20 ndani ya masaa 14 tangu ilipo postiwa huku...
  13. JamiiForums Tanzania Connection ya namba za waganga wakali Bongo

    Mwaka ushausha huo, tupia hapa namba za mtaalamu wako unayemkubali kwenye ndumba zako 1. Waganga wa kupata likes nyingi 2. Waganga wa kupata ubunge wa kuteuliwa 3. Waganga wa kupata pisi kali ma- C.E.O 4. Waganga wa kula mgahawan bure 5. Waganga wa kupasua pepa 6. Waganga wa kutokuombwa hela na...
  14. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yataka majibu ya corona ndani ya saa 24

    Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Abel Makubi ameuagiza Uongozi wa Maabara ya taifa ya Afya ya Jamii kutoa majibu ya sampuli za Ugonjwa wa Covid-19 ndani ya saa 24, badala ya saa 72 kwa hospitali zinazopeleka Sampuli hizo au kwa wananchi wanaojitokeza kupima ugonjwa huo kwa nia ya kutaka kusafiri...
  15. JamiiForums Tanzania Je, inawezekana kutoa ruhusa kisheria kwa kituo cha TV kuzalisha pamoja na kurusha kipindi chako kwa muda fulani huku nao wakikulipa kwa makubaliano?

    Habari zenu wakuu. Najua JF kunama-expert kutoka katika kona tofauti tofauti za utaalamu. Leo nimekukwenu hapa nataka kujua kuwa Kibongo bongo inawezekana ku-license TV station Idea ya kipindi. Yani kwamba ukawapatia ruhusa kisheria, Ukawapa ruhusa ya kuzalisha pamoja na kurusha kipindi Hicho...
  16. JamiiForums Tanzania Hivi Bongo hakuna Tax Attorneys na Tax Consultants?

    Wakuu kilio cha kodi na kuhusu TRA kimekuwa kikubwa sana. Hii ni sababu wengi wengi hatujui mambo ya kodi. Huyu Rais amedhamiria kutokomeza mianya yote ya ukwepaji kodi na kukusanya kodi zote. Ni lazima wafanyabiashara tuwe na elimu ya kutosha ili tusijeonewa mahali. Haiwezekani eti TRA ndiyo...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Alicia Keys tribute ya Jay Z, Bongo kama hii unapata kwa Ruby na Grace Matata

    naomba mniambie zaidi ya Ruby na Grace Matata nani anaweza kupiga show ya hivi hata kama akipigiwa vyombo?nazungumzia hadi wanaume sitaki wale wa gospel kina joe lwaga au gosbert wale wanajua labda hapo nitamuweka Ben Paul kidooogoo sana otherwise tutachochereshana.
  18. JamiiForums Tanzania Falsafa nongwa za Heraclitus: Part Two

    Wanajamii habari gani Baada ya kutoa toleo la kwanza juu ya falsafa za gwiji huyu wa kale, sasa naendeleza maana naona dawa haikuingia ipasavyo, chukulieni hili toleo kama mwendelezo wa dozi. Baada ya kusikiliza yaliyojiri Zanzibari na siasa zake kwa haraka nimeona nitoe dawa, hii dawa ni...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi category za nyimbo Bongo huwa inategemea kaimba nani?

    Vipindi vingi vya miziki ni Bongo Fleva, utasikia top ten ya bongo fleva. Hutosikia wanapiga sebene la Nyosh El Sadat wala Patcho. Ila sasa ikitokea Alikiba kaimba sebene kama Chekecha au Mwanadar es Salaam, au Diamond na sebene lake la Waah, utalisikia linapigwa kwenye hivyo vipindi. Sasa...
  20. JamiiForums Tanzania Mahakama yazuia ombi la kampuni ya NSK kuifilisi Dangote Cement

    Tulidanganywa kuwa anafanya service ya week mbili kumbe anakusanya virago vyake aondoke uwekezaji bongo umemshinda. ===== Mahakama Kuu imezuia kufungwa kwa Kiwanda cha Dangote Cement Limited ambacho mdeni wake aliomba kifungwe. Kampuni ya NSK Oil and Gas Limited ilitaka Kiwanda cha Dangote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…