Mpira wa bongo unachekesha sana. Cheki hii ya Singida BS na Mbeya City

Mbona hii penalty waliyopewa Singida Ina nafuu kuliko waliyopewa Simba dhidi ya Geita. Au Ile waliyonyimwa Azam dhidi ya Simba pale chamanzi baada ya Kibu ku udaka mpira wakati anapigwa kanzu.

Hii inaitwa Soka letu kivyetuvyetu
 
Mwongezee na ile penalty dhidi ya Tz prisons kule Taifa.
 
Tuache ushabiki maandazi. Huwezi kusema haikuwa penati Kwa ushahidi wa hii video ya Azam maana haiko clear kama hakuguswa. Vile vile kama unasema goli la pili ni offside basi Bora ushabikie rede.
Makosa yanayofanywa na Azam tv ni kutia mkazo/nguvu ya video kwenye mechi kati ya simba na Yanga, ukiangalia setting za camera zinazofanywa kwenye mechi kati ya simba na Yanga ni tofauti kabisa na mechi zingine. Yani hizi mechi zingine hasa zinazofanywa nje ya Dar aisee haiziridhishi.
 
Back
Top Bottom