Na Thadei Ole Mushi.
Bodi ya Mikopo acheni kucheza na watanzania....huyu ni mnufaika wa Bodi ya Mikopo kwenye salary slip ya mnufaika huyu inaonekana mshahara wake baada ya kukatwa 141,000 Balance ya Deni lake lilikuwa 2,727,860. Hivyo kama angelikatwa Mwezi wa Sita Tena 141,000 balance...