Boda bodas are bicycle and motorcycle taxis commonly found in East Africa. While motorcycle taxis like boda bodas are present throughout Africa and beyond, the term boda boda is specific to East Africa. In Kenya, they are more frequently called piki pikis. Their ubiquitous presence in East African cities is the result of a number of factors including an increasing demand for public transit, the ability to purchase motorcycles on credit, and an influx of cheap imports from Indian manufacturers like Bajaj. In the countries where they are present, boda bodas can provide transportation options to riders and job opportunities to drivers while at the same time resulting in an increase in road hazards and collisions and unnecessary injuries and deaths.
Baadhi ya Bodaboda wa Bongo ni miyeyusho sana. Ukiwa katika pitapita zako karibu na kituo chao,ukiinua kichwa kutazama upande wao, bam! ,Wamewasha pikipiki zao zote,chapu kukufuata, kabla hata hujawaita ,ukiwaambia nipo around sihitaji usafiri,tena chapu kwa haraka pikipiki zao zinarudishwa...
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake Jinsia na Makundi Maalum Mwananidi Ali Khamis amesema Serikali imeanzisha mchakato wa kuwasajili madereva wa vyombo vya magurudumu mawili, maarufu kama bodaboda, katika mfumo maalum ili waingizwe katika utaratibu rasmi kwa ajili ya kuwawezesha...
Bodaboda akivusha mitihani eneo la Mto Mzinga maarufu Kwa Kichwa, Kata ya Zingiziwa, Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam baada ya kufurika maji kutokana na mvua zilizonyesha kuanzia jana.
Mitihani hiyo ni ya wanafunzi wa darasa la nne ambao leo Jumanne Aprili 29, 2025 wanafanya mtihani wa majaribio...
Risk wanayotake bodaboda ni kubwa sana, bodaboda anatake risk kila siku kwa kuotafuta elfu 1.
Kwa kila safari moja ya sh. Elfu 1, 2, 3 n.k bodaboda anaweka rehani roho yake.
Baadhi ya wanachama wa Umoja wa Waendeshaji Bajaji, Bodaboda na Wajasiriamali Jijini Dar es Salaam wametangaza kutoshiriki maandamano yaliyoitishwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), yaliyopangwa kufanyika Aprili 24, 2025, kuelekea Mahakama ya Kisutu, ambako kesi ya Mwenyekiti wa...
Bodaboda ni Nguzo Muhimu ya Uchumi, Si Chombo cha Maandamano
Katika jamii yetu ya sasa, waendesha bodaboda wamekuwa mhimili mkubwa wa usafirishaji, ajira, na ustawi wa kiuchumi kwa mamilioni ya Watanzania. Wakiwa na mchango mkubwa katika kutoa huduma ya usafiri mijini na vijijini, sekta hii...
Maafisa Usafirishaji (Madereva bodaboda) wametakiwa kupambana dhidi ya vitendo vya rushwa kwa kutokuwa tayari kutumika kwa namna yoyote katika vitendo vya rushwa katika kipindi hiki kuelekea Uchaguzi mkuu 2025.
Wito huo umetolewa leo Aprili 17, 2025 na Mkuu wa Dawati la Elimu kwa Umma TAKUKURU...
Kama Bajaji moja ni 10M means unaweza pata Pikipiki 3 ndani ya Bajaji Moja.
Kuwa na pikipiki tatu au Bajaji moja Biashara ipi hapo inaweza rudisha pesa yako kwa Haraka.??
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Iringa Vijijini, Elia Juma Kidavile, ametoa wito kwa vijana wa kuwanenea viongozi wao mazuri kutokana na juhudi kubwa wanazozifanya katika kuleta maendeleo kwa wananchi. akiongeza kuwa viongozi hao wamekuwa mstari wa mbele...
Kasi ya kuongezeka bajaji na bodaboda ni kubwa sana. Serikali kupitia jeshi lake la polisi walitakuwa kuona hii kitu tokea mapema sana. Sahivi ni kama vile wamekubali kushindwa.
Hawa jamaa wanavunja sheria zote unazozijua za barabarani, wanahatarisha maisha ya watumiaji wengine wa barabara...
Mimi siwezi kufanya kazi ya kubeba zege mpaka naingia kaburini na usomi wangu huu eti nianze kupandisha ngazi na ndoo lenye ujazo wa kokoto simenti na mchanga juu gorofani bora nilale geto tu aisee kuliko kushusha brand mademu kibao mtaani
nishachapa wanione nahangaika na zege kulitoa chini...
watu wengi hudhani wamemaliza wakishanunua pikipiki na kuisajili, wasilolijua kuna gharama ya ziada ya kuingia kwenye kijiwe cha boda boda.
mfano kwenye vijiwe vya stendi na sokoni ada zipo juu mno zinafikia mpaka laki 8, na hapo ubahatike kuwe na nafasi ya wazi maana kuna limit ya idadi ya...
Habari Wana JF,humu ndimo tunapita habari mbalimbali,mawazo mapya,Burudani faraja na Elimu kwa ujumla wake.
Katika maisha kila mtu ana njia zake za kupata fedha,hapa nazungumzia fedha halali.
Nilimdhamini kijana mmoja pikipiki kwa mtafutaji mmoja kwa mkataba, kijana kapambana, pamoja na...
Katika ziara ya Kamati ya Utekelezaji ya UVCCM Mkoa wa Geita, imeeleza kuwa Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan inathamini kazi za Vijana wa Bodaboda kama chanzo cha kipato na maendeleo ya uchumi wa nchi.
Soma: UVCCM Geita: Hakuna atakayezuia Uchaguzi Mkuu Oktoba...
Wakuu hamjambo??
Niende Moja kwa moja kwenye mada...Mimi nipo Kanda ya ziwa nilikuwa nafanya kazi sehemu kwa bahati nzuri nilijikusanya kwa mshahara wa 400,000 nikafanikiwa kununua pikipiki
Nataka kuacha kazi hii ya ualimu niende Dar kuendesha boda hasa bolt...make naona kama nachelewa...
Pichani anaitwa Kevin Charles.
Jina la maarufu hapa kibaha maili moja anaitwa Masai.
Ni kijana mzaliwa wa Arusha alikuja kibaha kwa harakati za kutafuta pesa KELVIN CHARLES alipata ajali ya pikipiki na kufariki dunia kipindi anakimbizwa katika hospital ya Tumbi majuzi Jumatatu jioni.
Mpaka...
Taifa lina utani sana hili yani watu wenye matatizo wananmchangia mtu mwenye pesa akaendelee kuzichota pesa. Na hawa wamefanya hivi kwa sababu hiyo maboboda yenyewe wamepewa na Tulia huyo huyo
===
Leo tarehe 4 Machi, 2025 Umoja wa Madereva wa bodaboda Mbeya Mjini umemwomba Mbunge wa jimbo hilo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.