Boda bodas are bicycle and motorcycle taxis commonly found in East Africa. While motorcycle taxis like boda bodas are present throughout Africa and beyond, the term boda boda is specific to East Africa. In Kenya, they are more frequently called piki pikis. Their ubiquitous presence in East African cities is the result of a number of factors including an increasing demand for public transit, the ability to purchase motorcycles on credit, and an influx of cheap imports from Indian manufacturers like Bajaj. In the countries where they are present, boda bodas can provide transportation options to riders and job opportunities to drivers while at the same time resulting in an increase in road hazards and collisions and unnecessary injuries and deaths.
Watu wawili wanaodaiwa kuhusika na mauaji ya kijana mmoja, jinsi ya kiume ambaye awali hakutambuliwa huku kiwiliwili chake kikiwa kimetenganishwa na kichwa chake kwa kukatwa na kitu chenye ncha kali (panga) na kupelekwa kusikojulikana, wameuawa baada ya kushambuliwa na wananchi wenye hasira kali...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan ambaye ni mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi amepewa Mbuzi kwa ajili ya supu atakayotumia baada ya kuchukua Fomu ya Kugombea urais.
Mbuzi hiyo iliyotolewa na Madereva Pikipiki za miguu mitatu (bajaji)na miwili...
Nimeuza kiwanja changu jana kilichokuwepo Kibaha nimepata milioni 10 nikaona nifanye biashara ya bodaboda. Nizinunue 3 halafu niwape vijana waniletee hesabu. Je itanilipa wakuu Kwa mliowahi kufanya hii biashara au nitaingia loss?
Humphrey PolePole ni kama vile alikuwa akiwahutubia vijana wa bodaboda ambao wengi wao hawakuwepo wakati wa Nyerere, Mzee Mwinyi, Mzee Mkapa na Mzee Kikwete na namna walifanikiwa kuwa Marais wa Tanzania.
Pia alifanikiwa kutuambia kuwa nyuma yake wako pia akina Mzee Warioba na wazee wenzake wa...
Wakuu,
Hivi hapa duniani kuna kitu ambacho bodaboda hawezi kubeba?
Maana hawa jamaa wanabeba hadi mafriji na ukiwaita wabebe futniture wanabeba
Yaani pamoja na udogo wa bodaboda lakini hawa jamaa wanaweza kubeba kila kitu.
Habari wanadau,
Naandika kwa tumaini kubwa kuwa wote tunaendelea vizuri. Ni mchana na kuna kajoto hapa Morogoro. Nashukuru Mola kwa nafasi nyingine ya kupigana. Tuendelee kupambana, kwani iko siku.
Mwezi Mei mwaka 2018, nilikaribishwa na mwandishi mmoja maarufu ambaye alikuwa ameombwa na...
Leo nimeingia center hapa Mvuti nashangaa bodaboda karibu wote wako na barakoa zenye picha na maandishi ya mi 5 TENA.
Mmewatengeneza wajinga na wapumbavu na sasa wanaogelea kwenye bwawa la umaskini hawaoni mbele wala nyuma, option yao ya mwisho ni kufukuza upepo.
Mmeshindwa kuondoa bodaboda au...
Kila nikipata daraja la Kijazi pale Ubungo kwenye mataa ndio sehemu pekee nawakuta bodaboda wanatii sheria ya taa za barabarani.
Nadiriki kusema ndio sehemu pekee yenye mataa ambayo bodaboda wanatii.
Unajua siri ya mchezo?
Katika kuhakikisha Uchaguzi Mkuu 2025 unafanyika kwa usalama na amani Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe kupitia watendaji wake wa kata limeendelea kutoa elimu kwa makundi mbalimbali katika jamii, wakiwemo wasafirishaji wa abiria kwa kutumia Pikipiki maarufu kama bodaboda, kuhusu umuhimu wa...
Boda Boda amegongwa na gari ya msafara wa rais huko Kenya na walikufa papo hapo na gari ikaingia huko kwenye maporomoko
Magari hayo yalikuwa yakimsindikiza Rais William Ruto na Gavana Cecily Mbarire baada ya kuhudhuria ibada ya kanisa katika Chuo cha Kigari.
"Habari yako kaka George,
Mimi ni mfuatiliaji sana wa post zako. Naomba unipostie na mimi ili watu wasijue kuwa ni Mimi ila nitasoma comments.
Mimi kuna jambo linanitatiza naomba ushauri wako na hata ukipost kweye page zako itakuwa vizuri pia na nitakuja kusoma ushauri kutoka kwa wadau...
Salamu waajukwaa,
Utangulizi
Niliwahi kutamka hapa kuwa Mheshimiwa David Ernest Silinde ni mfano wa kiongozi mwenye ushawishi mkubwa, anayekubalika na kuungwa mkono na jamii yake.
Kukubalika kama Kiongozi
Kitendo cha madereva bodaboda na bajaji kumchangia na kumlipia fomu ya kugombea ubunge...
Ukimkuta bodaboda hospitali amevunjika viungo chake vya mwili utamwaga machozi mengi sana.
Lakini pindi unapomwaga machozi yako usijaribu kukumbuka fujo zao za mtaani/barabarani, hakika machozi yako yatakata papo hapo, utaanza kucheka kitu ambacho si kizuri kama binadamu.
Aisee hawa jamaa...
Hasa maeneo ya Kisutu na kariakoo bajaji na bodaboda wamekuwa kero sana hawafauti foleni wala alama za barabarani na huko wakisababisha foleni zisizo na sababu tunaomba hatua dhidhi zichukuliwe ku punguza hii kero.
Hatuna na shida na biashara yao lakini ni lazima wapewe elimu ya kuendesha kwa...
Wakuu
Uzinduzi wa C4C ya CHAUMMA Mwanza, Uwanja mweupe hakuna watu, yaani kuna bodaboda tu ambao ni kama wamewekewa mafuta ya bure.
Maandalizi yakiendelea katika uwanja wa Furahisha kikundi Mwanza.
Uzinduzi wa kampeni hiyo utafanyika baadae leo na kisha itapelekwa katika mikoa mbalimbali kwa...
Kwa sasa hatari kubwa ni kuwa hawana Elimu, Akili. Na wanarisk maisha kwa vitu vya kijinga. Lakini hawa siku wakipata akili wakakubali kutumika kwa manufaa. Ni Jeshi kubwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.