McLaren JF-Expert Member Joined Feb 19, 2025 Posts 1,135 Reaction score 3,632 Aug 2, 2025 #1 Wakuu, Hivi hapa duniani kuna kitu ambacho bodaboda hawezi kubeba? Maana hawa jamaa wanabeba hadi mafriji na ukiwaita wabebe futniture wanabeba Yaani pamoja na udogo wa bodaboda lakini hawa jamaa wanaweza kubeba kila kitu.
Wakuu, Hivi hapa duniani kuna kitu ambacho bodaboda hawezi kubeba? Maana hawa jamaa wanabeba hadi mafriji na ukiwaita wabebe futniture wanabeba Yaani pamoja na udogo wa bodaboda lakini hawa jamaa wanaweza kubeba kila kitu.
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,946 Reaction score 67,476 Aug 2, 2025 #2 Wanabeba mpaka wake za watu hakun kinacho washinda
Kazanazo JF-Expert Member Joined Aug 16, 2023 Posts 7,413 Reaction score 11,901 Aug 2, 2025 #4 Boda hadi maiti wanasafirisha mtu anasimamishwa kama gunia la mkaa na kupigwa mipira mwili mzima
kiss ov love JF-Expert Member Joined Jan 21, 2025 Posts 9,388 Reaction score 16,184 Aug 19, 2025 #5 Mh! Hapo wakidondoka sasa
B Bush Dokta JF-Expert Member Joined Apr 11, 2023 Posts 41,689 Reaction score 72,458 Aug 19, 2025 #6 Kazanazo said: Boda hadi maiti wanasafirisha mtu anasimamishwa kama gunia la mkaa na kupigwa mipira mwili mzima Click to expand... Hahaha
Kazanazo said: Boda hadi maiti wanasafirisha mtu anasimamishwa kama gunia la mkaa na kupigwa mipira mwili mzima Click to expand... Hahaha