Msafara wa Rais Ruto wagonga Bodaboda šŸ¤”

Msafara wa Rais Ruto wagonga Bodaboda šŸ¤”

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
27,751
Reaction score
63,052
Boda Boda amegongwa na gari ya msafara wa rais huko Kenya na walikufa papo hapo na gari ikaingia huko kwenye maporomoko

Magari hayo yalikuwa yakimsindikiza Rais William Ruto na Gavana Cecily Mbarire baada ya kuhudhuria ibada ya kanisa katika Chuo cha Kigari.
IMG-20250706-WA0142.jpg
IMG-20250706-WA0143.jpg
 
Chanzo cha ajali ni kipi?
Boda boda kaingilia msafara au msafara haukua na escort ya piki piki mwanzo?
 
gen Z walikuwa wapi wangeuvaa msafara
 
Poleni sana jamaa zangu.
Kesho show show tu
KAZI ni kipimo cha utu
 
Uongozi wa RUTO umeandamwa sana na bundi mweusi. Yani vitimbi havikauki
 
Back
Top Bottom