bodaboda

Boda bodas are bicycle and motorcycle taxis commonly found in East Africa. While motorcycle taxis like boda bodas are present throughout Africa and beyond, the term boda boda is specific to East Africa. In Kenya, they are more frequently called piki pikis. Their ubiquitous presence in East African cities is the result of a number of factors including an increasing demand for public transit, the ability to purchase motorcycles on credit, and an influx of cheap imports from Indian manufacturers like Bajaj. In the countries where they are present, boda bodas can provide transportation options to riders and job opportunities to drivers while at the same time resulting in an increase in road hazards and collisions and unnecessary injuries and deaths.

View More On Wikipedia.org
  1. SIPENDI SIASA

    JamiiForums Tanzania Kwanini Bajaj na Pikipiki hazina "number plates" kwa mbele kama magari? I'm just asking out of curiosity

    Mambo vp wadau wa JF. Ninaomba kuelimishwa kwa maana elimu haina mwisho. I'm just asking this out of curiosity (Curiosity once killed the 🐈 cat) Je, ni takwa la kisheria au ni uamuzi tu wa watu wachache kwa maana Magari, Bajaj na Pikipiki vyote ni vyombo vya moto.. ~ SIPENDI SIASA ~
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kati ya bodaboda au Bajaji ya mzigo kipi kinafaida?

    Kati ya bodaboda au Bajaji ya mizigo kipi kinafaida endapo mtu akiamua kokomaa kabisa wakuu
  3. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kuna members hapa jamiiforum hawajawahi kupanda usafiri wa bodaboda

    Je kuna watu kabisa katika maisha yao hawajawahi kupanda boda ?
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kawaida amjibu Lema kuhusu 'boda boda ni kazi ya laana'

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Mohammed Kawaida amemjibu aliyekuwa mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema akisema kazi ya usafirishaji abiria kwa kutumia bodaboda si laana, bali ni kazi iliyoajiri vijana wengi. Machi 2023 baada ya kurejea nchini akitokea...
  5. Smart Contract

    JamiiForums Tanzania Usipande boda usiemjua usiku mwezenu yamenikuta

    Wakuu heri ya Christmas, japo kkwangu ilikuwa mbaya. Huwa Sina tabia ya kutoka usiku sikukuu yoyote ila saa 3 usiku nikapata mwaliko wa pilau mahali Fulani, nkaenda nkala safi, vikaanza vinywaji mdogo kuja kushtuka saa6 na madakika kumpigia boda wangu hapokei mwingine akapokea ila kashalala...
  6. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kijana aliyegonga gari la Mkuu wa Mkoa wa Mwanza anunuliwa pikipiki mpya

    Wakuu, Wakati mnaendelea kujadili mchuano kati ya Lissu na Mbowe, viongozi wa CCM wameendelea kutustaajabisha! ================================================= Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda, amemkabidhi pikipiki mpya kijana Kusana Lumambo, aliyegonga gari la mkuu huyo wa mkoa na...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Bodaboda: Pikipiki ipi ni nzuri kwa biashara

    samahani wadau naomba kujuzwa kuhusu pikpiki ipi nzuri kwenye biashara ya bodaboda kati ya hizi hapa;- 1. Sanlg 2. Tvs 3. Boxer Nasubiri kutoka kwenu jamani asanteh.
  8. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Unawezaje kuishi Kwa kutegemea kuendesha bodaboda

    Huwa
  9. mlinzi mlalafofofo

    JamiiForums Tanzania KERO Bodaboda wa Tanzania wameshindikana kwa tabia zao barabarani au wameendekezwa?

    Sasa hivi jamaa wanaleta vitimbi vyao hadharani na hamna kitu unaweza kuwafanya. Ni kama wana utawala wao wapo Dunia yao isiyo na Sheria. Wao ndio mabingwa wa kubebana mishikaki na kuchomekea wengine kwa mbele kwa kisingizio cha wana haraka. =========== Bodaboda sehemu nyingi hawakai kwenye...
  10. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi kuhusu shambulio la gari la watumishi wa TRA eneo la Tegeta, Dar es Salaam

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inasikitika kuutarifu Umma kwamba gari yake yenye namba za usajili STL 9923, ikiwa na Watumishi watatu katika doria za kawaida za udhibiti na ukamataji wa magendo na magari yaliyoingia nchini kinyume na taratibu za Forodha na kutolipiwa ushuru, imeshambuliwa na...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Bodaboda ni wapiga kura wako; Rais Samia waondolee adha ya kunyanyaswa na SUMATRA

    Jana nimeshuhudia vurugu za kutisha mtaani wakati wa kilichodaiwa kuwa zoezi la kukamata pikipiki zinazodaiwa malipo ya SUMATRA. Hali ilikuwa ya kutisha baada ya bodaboda kuanza kurusha mawe ovyo na kuzua taharuki kwa wapita njia. Bodaboda kisheria wanatakiwa kulipa kodi hiyo kila mwaka kwa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Bodaboda wamekuwa msaada sana kwa watu wanaohitaji msaada

    Mzuka wanajamvi! Hawa bodaboda wengi tunaowadharau wamekuwa msaada sana. Tumeona kwa Abdul Nondo na yule mama wa Chadema hata yule naibu waziri alipata ajali na mchepuko akimkimbia mke wake baada ya kufumaniwa. Mifano ni mingi tu boda boda wakihusika kama wasamaria wema. Mungu wabariki bodaboda.
  13. copyright

    JamiiForums Tanzania Je, ni sawa wachezaji wa Yanga SC kuondoka uwanjani kwa bodaboda?

    Habari! Naomba niende kwenye mada moja kwa moja. Jana baada ya kipigo cha 0-2 toka kwa Al Hilal ya Sudan, baadhi ya wachezaji wa Yanga wakiongozwa na Kibwana Shomari walionekana kuondoka uwanjani hapo kwa usafiri binafsi na sio wa pamoja kama timu ambapo Kibwana alionekana kuondoka na bodaboda...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mbunge Cherehani akabidhi Mabati kwa Bodaboda Nyamilangano

    Mbunge wa Jimbo la Ushetu Mhe. Emmanuel Cherehani akikabidhi Mabati bando 10 kwa ajili ya Ujenzi wa banda la kituo cha Madereva wa Pikipiki (Bodaboda) Kata ya Nyamialangano. PIA SOMA - Kuelekea 2025 - Mbunge Cherehani akabidhi baiskeli kwa wakulima 40 ziwasaidie kufatilia mwendo uzalishaji...
  15. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Gambo atoa Milioni 2 kulipia kodi ya chama cha bodaboda, awanunulia pia TV wafuatilie matukio duniani

    Wakuu, Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Mashaka Gambo, ameonesha kujali changamoto zinazowakabili waendesha bodaboda jijini Arusha kwa kuchangia shilingi milioni 2 kwa ajili ya kulipia kodi ya ofisi ya chama chao hadi kuanzia Februari hadi Disemba 2025. Hatua hiyo imekuja baada ya...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Bodaboda kupiga mziki kwa sauti ya juu nyakati za usiku

    Habari, Natumani tunaendelea vizuri katika ujenzi wa Taifa letu, pia ningependa kuwapa pole wale wote waliofikwa na maafa na watanzania wenzangu kwa ujumla kwa tukio la kuporomoka kwa jengo maeneo ya kariakoo. Moja kwa moja niende kwenye lengo la kuandika uzi huu; Kumekuwa na tabia ya baadhi...
  17. Just Pray

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Pambalu: Vijana wamesoma mpaka vyuo vikuu lakini ajira zao ni bodaboda na betting

    Mwenyekiti wa Baraza la Vijana CHADEMA taifa John Pambalu akiwa mkoani mwanza wakati wa kufanya kampeni kuwanadi wagombea wa chama chake kuelekea uchaguzi serikali za mitaa amesema vijana wamesoma mpaka vyuo vikuu lakini hawana ajira, ajira za zo ni mbili akiwataja bodaboda na wanaofanya michezo...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa Madrasa na Bodaboda wafikishwa kizimbani wakishutumiwa na Ulawiti

    HABARI: Mwalimu wa madrassa Abuubakar Mussa Hamisi (19) na mwendesha bodaboda Muhaji Mohamed Rajab 25 wote wakazi wa Dule B lililopo eneo la Bumbuli, wilayani Lushoto, wamepandishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi wilayani Lushoto kwa tuhuma za kuwalawiti wanafunzi wawili wa kiume na mmoja wa...
  19. Magical power

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa kijana anayetafutwa baada ya ajali ya jengo la Kariakoo

    Kaka habari za leo? Huyu ndugu yetu anaitwa Issa Issa, ni bodaboda hapa Kariakoo opposite na Msimbazi police. Siku ya jumamosi aliacha pilipiki yake kijiweni akaaga kuwa anaenda kuchukua nguo kwenye maduka yaliyopo kwenye jengo lililodondoka. Hata hivyo hakurudi. Tumemtafuta kupitia simu zake...
  20. KakaKiiza

    JamiiForums Tanzania Je, unawezaje kumfahamu mwendesha bodaboda mhalifu? Soma tips kumfahamu

    Wadau najua wengi tunatumia sana Bodaboda,swali je unafahamuje kuwa boda boda niliyemchukua ni mharifu? Basi ungana na mimi kujua ni jinsi gani walivyo na endapo ukiona yupo hivi jua huyo ni muharifu usipande bodaboda wake. Kwanza chombo chake lazima kiwe kikukuu! Bodaboda yake lazima iwe ni...
Back
Top Bottom