bodaboda

Boda bodas are bicycle and motorcycle taxis commonly found in East Africa. While motorcycle taxis like boda bodas are present throughout Africa and beyond, the term boda boda is specific to East Africa. In Kenya, they are more frequently called piki pikis. Their ubiquitous presence in East African cities is the result of a number of factors including an increasing demand for public transit, the ability to purchase motorcycles on credit, and an influx of cheap imports from Indian manufacturers like Bajaj. In the countries where they are present, boda bodas can provide transportation options to riders and job opportunities to drivers while at the same time resulting in an increase in road hazards and collisions and unnecessary injuries and deaths.

View More On Wikipedia.org
  1. voicer

    JamiiForums Tanzania Bodaboda wa Tanzania wanafiki kama Wajumbe CCM

    Hawana tofauti na zile kampuni za kukodishwa kulia na kuomboleza misibani! Ambao huweza kulia kwa machozi tosha,ilhali hata Marehemu mwenyewe hawakuwahi kumuona kavla ya kufariki. Achilia mbali hata unasaba! Kwao Boda oda, huangalia ujazo wa matenki ya Pikipiki(Bodaboda) zao! Wako tayari...
  2. kocha Nabi

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa madereva bodaboda na wapanda bodaboda

    Habari wakuu Lengo la uzi huu ni kupeana mbinu mbalimbali za --kuendesha boashara hii -changamoto zake -kupeana taarifa za kiusalama -maduka yanayouza pikipiki kwa bei rahisi -upatikanaji wa spare -changamoto za kiufundi -vituko vya barabarani Mbinu wanazotumia wezi kuiba pikipiki Kwa...
  3. RoadLofa

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Bodaboda wawili wafariki dunia kwa kugongwa na Lori

    Aisee maisha ni mafupi nimepita Bwawani -Moro mida hii ya saa 1 jioni kuna bodaboda wawili wamekanyagwa vibaya sana na lorry, kiufupi wamekufa, yaani vichwa havieleweki. Msinidai picha nimeshindwa kupiga
  4. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Aweso apanda bodaboda kukagua vyanzo vya maji, wenzake wanatumia Chopa

    WAZIRI wa Maji, Jumaa Aweso kijana wa watu asiye na mbeleko anahangaika kwa usafiri wa bodaboda ili mradi afike ajionee mwenyewe changamoto za maji zinazowakabili wananchi. Wengine watoto wa wakubwa wanatumia Helkopta kukagua vyanzo vya maji vilivyokauka kwa ukame na kusababisha mgao wa umeme...
  5. Ubungo Mataa

    JamiiForums Tanzania Biashara ya bodaboda vs biashara ya duka la nafaka na mahitaji ya nyumbani

    Wanabodi.. Heshima mbele! Moja kwa moja kwenye msada, kuna 10M iko mahali, nawaza niiweke wapi kati ya kununua bodaboda nne niwape watu wakuleta hesabu kwa siku/ week ama nifungue duka ambalo roughly litakuwa kama la 8M maana 2M itaendwa kwenye running cost na kodi. Msaada!
  6. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Haiwezekani pikipiki kwa ajili ya bodaboda zikiwa ni maalum kwa kuwa na speed isiyozidi 70?

    Hili ni wazo ambalo nimelitafakari kutokana na ndugu zetu hawa kuendelea kuangamia kwa kasi ya kutisha. Je, haiwezekani pikipiki kwa ajili ya bodaboda zikawa zinatengenezwa kwa mfumo maalum usiozidisha speed 70 kph, kwa usalama wao, pia kuondosha kabisa tatizo hili?
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Lema adai Gambo anaficha ukweli kuhusu Tsh. Mil 400 za Bodaboda, Kingai aingilia

    Siku moja baada Mbunge wa Arusha Mjini (CCM), Mrisho Gambo kutoa madai ya kuwepo njama za kuuawa baadhi ya makada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na viongozi wa Serikali aliosema anawajua, Godbless Lema, mbunge wa zamani wa jimbo hilo amemshukia akisema analenga kuhamisha goli huku Jeshi la Polisi...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tsh. Milioni 400 za Bodaboda Arusha zayeyuka, DC na Mbunge watajwa

    Hali si shwari ndani ya chama cha waendesha bodaboda Jiji la Arusha (Uboja) baada ya kubainika zaidi ya Sh400 milioni zimetolewa kwenye akaunti ya chama hicho huku baadhi ya fedha hizo zikidaiwa kutumika kisiasa. Fedha hizo zinadaiwa kutolewa kwenye akaunti ya umoja huo kuanzia mwaka 2018 hadi...
  9. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Biashara ya bodaboda imeua ndoto za vijana wengi

    Habari! Hapa naomba tuelewane kuwa sizungumzii pesa bali nazungumzia ndoto za vijana katika kuliinua taifa na familia zao. Pamoja na kazi ya bodaboda kuwapatia kipato vijana na baadhi ya wazee ambao wanaifanya hiyo biashara lakini imechochea uchumi wa China na India kwa kiasi kikubwa. Hapa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kiteto: Wamuua bodaboda na kunyofoa viungo vya mwili

    Watatu wakazi wa Kiteto mkoani Manyara akiwemo mwalimu wa sekondari Lesoiti, wamefikishwa katika Mahakama ya wilaya ya Kiteto, kwa tuhuma za kumuua dereva bodaboda na kunyofoa baadhi ya viungo vyake kwa imani za kishirikina. Watuhumiwa hao wamefikishwa mahakamani leo Novemba 28, 2022, baada ya...
  11. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Mrisho Gambo apata kashfa nzito ya kupora Tsh Milioni 400 za madereva bodaboda

    Gazeti la Raia Mwemba, leo Novemba 28, 2022 limetawaliwa na habari kubwa kuhusu mwanasiasa Mrisho Gambo kudaiw akupora Tsh. Milioni 400 za madereva bodaboda. ====== Hali si shwari ndani ya chama cha waendesha bodaboda Jiji la Arusha (Uboja) baada ya kubainika zaidi ya Shilingi 400 milioni...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Madereva wa Bodaboda: Mazuri na vituko vyao

    Baadhi yao wana mazuri na wengi wao wana vituko vya hatari vya kuhatarisha usalama wao na abiria wanaowabeba baadhi nimeviona vituko ni kama hivi- 1. Nimemwona akiendesha kwa kasi huku akijiangalia kivuli chake wala haangalii mbele. 2. Mmoja alikuwa kasi huku akiangalia vumbia analotimua nyuma...
  13. Yofav

    JamiiForums Tanzania Taja sifa za hawa dereva bodaboda

    Habari wana Jamvi, Najua wengi wetu humu ni watumiaji wa usafiri wa bodaboda na kama sio basi tunawajua hawa madereva wa hivi vyombo vya moto. Okay, ebu kutokana na hiyo picha hapo juu, Huyo kijana alivyonyoa na muonekano wake kwa nyuma taja sifa zao hapa, na pia kuna wajuzi zaidi wanaoweza...
  14. 0897

    JamiiForums Tanzania Songwe: Mwendesha Bodaboda achinjwa mbele ya mke wake

    WATU wasiofahamika wamemchinja dereva wa bodaboda Sadick Mwashambwa (24) akiwa na mkewe na mtoto wao mchanga. Mauaji hayo yalifanyika usiku wa kuamkia jana saa 11.20 usiku katika kitongoji cha Kamficheni kata ya Hasamba wilayani Mbozi mkoani Songwe. Inadaiwa kuwa wanaume wawili walikwenda...
  15. naliwe

    JamiiForums Tanzania Mpwapwa: Askari adaiwa kumpiga risasi mwenzie wakati wa kumkamata bodaboda

    Kwa hali isiyo ya kawaida, Askari aitwae NANGU amepigwa risasi na kujeruhiwa vibaya na askari mwenzie kwenye harakati za kukamata bodaboda, tunaendelea kulifuatilia swala hili kwa ukaribu kwa maelezo ya kina.
  16. C

    JamiiForums Tanzania Zanzibar ilivyo ndogo, Waziri anaweza kufanya ziara kwa Bodaboda na akawafikia wananchi

    Nimawazo tu, Kama uholanzi Mawaziri wanafanya ziara kwa kutumia baiskeli kwa sababu wanabana matumizi ya pesa za walipa kodi. Zanzibar nayo iige mfano kama huo walau mawaziri watumie boda boda na wakuu wa mikoa, wilaya, wawakilishi na masheha ndio waamua watumie boda boda au baiskeli. Hii...
  17. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu huyu bodaboda

    .
  18. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania 70% ya wagonjwa wa ajali za barabarani waliopo MOI (Muhimbili) chanzo ni bodaboda

    Asilimia 70 ya wagonjwa wanaofikishwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) wanatokana na ajali za barabarani, huku ajali zinazohusisha bodaboda zikiongoza kwa idadi. Mkurugenzi Mtendaji wa MOI, Dkt Respicious Boniface ametoa takwimu hizo Jijini Dodoma amesema wengi wao wanakfikishwa...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Bodaboda Dodoma walalamika kupateliwa mafuta kikao cha RC Mtaka

    Kuna malalamiko makubwa kutoka kwa waendesha Bodaboda na Bajaji walioshiriki kikao baina ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Antony Mtaka kuhusiana na hamasa ya sensa lakini awali wakati wanajiandisha asubuhi waliahidiwa kupewa lita 2 za mafuta. Baada ya kumaliza mkutano baada ya Mkuu wa Mkoa wa...
  20. T

    JamiiForums Tanzania SoC02 Nguvu inayotumika kuingiza bodaboda nchini iwekezwe kwenye uingizaji wa zana bora za kilimo

    Ndani ya kipindi cha miaka kumi (10), usafiri wa kutumia pikipiki ulionekana kama mkombozi wa maisha ya vijana katika kuisaka ridhiki. Lakini kadri siku zinavyozidi kusogea mbele usafiri huu umegeuka kuwa tishio kwa usalama wa vijana kiafya, kimaadili na kiuchumi pia. Baada ya kuporomoka kwa...
Back
Top Bottom