Happy Birthday Depal

Msanii

Platinum Member
Jul 4, 2007
22,606
29,754
Ninaye rafiki hapa jamvini ambaye sijawahi kuonana naye wala kusikia sauti yake lakini tunawasiliana kupitia PM.

Ninamtakia heri ya kumbukizi ya siku yake ya kuzaliwa. Naamini kwa wema wa Mungu ipo siku ataachia namba niweze kumuendea hewani.

Happy Birthday Depal , ishi maisha marefu yenye afya na furaha tele.
 
Depal nimekuzawadia range njoo kesho palm village saa 10 mchana
land-rover-range-rover-p400-se-lwb-2022-05-black-exterior-rear-angle-suv-scaled.jpg
 
Kuna vitu Kuna ishu Mwanaume hutakiwi kabisa kuzijua Wala kuzifanya.

Kwamfano Mimi mambo ya Birthday siyajui kabisa Hata Tarehe ya kuzaliwa natamani Ingefutika kabisa KICHWANI.

Mwanaume MZIMA unasherekea.
Haya ni mambo ya Wanawake.

AMA KWELI WANAUME TUNAPUNGUA KWA KASI KUBWA SANA.
 
Anapuliza mishumaa izimike!WondersAu anamung'unya keki kwa hisia kama anatazama Korean drama!😂😂😂😂
 
Kuna vitu Kuna ishu Mwanaume hutakiwi kabisa kuzijua Wala kuzifanya.

Kwamfano Mimi mambo ya Birthday siyajui kabisa Hata Tarehe ya kuzaliwa natamani Ingefutika kabisa KICHWANI.

Mwanaume MZIMA unasherekea.
Haya ni mambo ya Wanawake.

AMA KWELI WANAUME TUNAPUNGUA KWA KASI KUBWA SANA.
Jisemee wewe mwenyewe usisemee jamii. Kwa wazungu wanawake na wanaume birthday ni siku muhimu kwao, sisi tunaiga tu.
 
Sawa.Ila ungeandika "vocabularies"!
Jiongeze kidogo:

"Vocabulary is generally an uncountable, or mass noun in English. It's neither singular or plural, however it is treated as singular for the purposes of verb conjugation, as most uncountable/mass nouns are. You can use the word “vocabularies” but only when you are talking about different kinds/sets of vocabulary."
 
Umeanza ubishi wako wa uzeeni.Umechokozwa kidogo tu,umecharuka.😜😜👆
 
Kuna vitu Kuna ishu Mwanaume hutakiwi kabisa kuzijua Wala kuzifanya.

Kwamfano Mimi mambo ya Birthday siyajui kabisa Hata Tarehe ya kuzaliwa natamani Ingefutika kabisa KICHWANI.

Mwanaume MZIMA unasherekea.
Haya ni mambo ya Wanawake.

AMA KWELI WANAUME TUNAPUNGUA KWA KASI KUBWA SANA.
Siku ya kuzaliwa Simba wa Yuda ambayo hata wewe unaishiriki ingekuwa haramu basi Mungu angeshatumwagia moto wa Sodoma na Gomorah.

Mkuu, maisha ni kuyaishi, kuyafurahia na na hata kujimix na binadamu wenzako.

By the way, punguza wivu wa kinaniliu, haya nisaidie kumuwishi baby Depal happy birthday☺️
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom