My precious daughter Maureen is 1 year old today. Happy birthday to her

Chance ndoto

JF-Expert Member
Mar 8, 2017
2,989
7,096
Kipindi cha siku, Mwezi au mwaka kwa bindamu mkamilifu ni muda mrefu sana wa maisha yake.
Mtoto wangu leo ametimiza mwaka mmoja tangu kuzaliwa kwake.

Mapito ya magonjwa, na kama binadamu mwingine unakwama kununua nguo mpya walau kila siku kwa mtoto, baby diapers, hata mara zingine hela ya chakula bora kabisa na mtoto anakula kawaida uji wa mchele😂😂😂, uji wa dona bila mixing yoyote. Ila leo mwanangu ametimiza mwaka mmoja akiwa salama na mwenye afya tele. 10.2 kgs body weight.

Asante Mungu. Asanteni wana JamiiForums wote tulioshare comments tofauti tofauti, wengine tunapitia mengi ila tunasuuzika moyo tukiingia humu jf.

Happy birthday to my precious daughter Maureen.

Happy birthday kwa wana jf wote mlioshare siku ya leo na mtoto wangu.
Asanteni.
 
Sorry nimechelewa kidogo umeme ulikatika. Niilete location ile ile au niitangulize ukumbini?

images.jpeg
 
...mtoto ndo zawadi kuu na bora kabisa kwa mwanadamu kutoka kwa Mungu, huna budi kumshukuru Mungu kwa uzima na afya bora ya mtoto ktk siku zote 365, hongera sana kwa malezi, safari ya malezi bado ndefu sana na yenye milima na mabonde hasa katika zama hizi za mmomonyoko wa maadili na unyanyasaji wa watoto, ongeza bidii na mbinu bora za malezi, once again congratulations, may God be with her, may God bless your family, happy birthday to our baby Maureen 💐🥂🎂.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom