binafsi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania Kwa shule na vyuo binafsi, je umeandaa na kuwasilisha taarifa zako za fedha zilizokaguliwa za mwaka 2025 kwenda TRA?

    Kama umekuwa ukivutana na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) sababu ya kodi inayotokana na uandaaji wa hesabu za shule au chuo chako…Basi soma mpaka mwisho… UKWELI USIOPINGIKA…Zipo shule pamoja na vyuo mbalimbali hadi leo hii wamelemewa na madeni makubwa yatokanayo na kodi kutoka TRA. Hili siyo...
  2. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Serikali Iingilie Kati Mishahara Shule Binafsi

    Naomba SERIKALI ifuatilie maagizo kuhusu MSHAHARA KIMA CHA CHINI Kwa TAASISI binafsi hasa Kwa shule mbali mbali MFANO shule ya mchungaji mwema sec iliyoko NGARA KAGERA inalipa Watumishi TSH. 150000 badala ya 350000 Soma Pia Wafanyakazi kwenye Kampuni Binafsi tunapata shida sana kulipwa stahiki zetu
  3. G

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi Binafsi. Leo ningetimiza miaka 15 kaburini

    Hii ni kumbukizi ambayo natamani kusherehekea nanyi wana JF. Hili ni tukio binafsi lililonikuta miaka 15 iliyopita. Nitasimulia kwa ufupi nanyi mjifunze kitu, pia hata kama utakuwa unanifahanu au urahisi mi ni nani, acha haya mambo hukuhuku mtandaoni. Nikiwa nimemaliza chuo kikuu kimoja hapa...
  4. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mkurugenzi wa Manispaa ya Shinyanga anaficha Barua za Uhamisho zinazotoka Ofisi ya Rais Utumishi

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Shinyanga Amekuwa akificha barua za uhamisho zinazotoka kwa OR Utumishi kwa baadhi ya watumishi ambao ana chuki nao. Na pia amekuwa akifanya Hamisho za ndani kwa uonevu pindi anapopishana na watumishi hao. Mfano, Kuna dereva na Transport officer wamepelekwa...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kuna maafisa NACTVET wanacheza michezo kuvifelisha Vyuo vya Kati kwa maslahi yao binafsi

    Baadhi ya Maafisa wa NACTVET wanafelisha vyuo vya kati, kuchelewesha kua-prove maombi yao ili wasipate AVN Number kwa wakati washindwe kwenda vyuo vikuu, lakini wanafanya hivyo ili kupewa rushwa ndiyo waweze ku-approve maombi yao, funaomba mtusaidie. Kiulizeni Chuo cha St Joseph College, tawi...
  6. Dr. Mariposa

    JamiiForums Tanzania Mambo ya 50/50 binafsi mnitoe siyatakiiii

    Guys kuna raha kua Mwanamke na raha ya Mwanamke kuhudumiwa, acheni sasa niwaambie mimi ni yule mwanamke hata nikipata mshahara sasa hivi, bado nitapiga simu kwa kaka zangu (wananipenda sana lastborn wao) wanitumie hela ya chips au icecream, Siwezi kwenda lunch na kuna wanaume halafu mimi nilipe...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kilio cha wafanyakazi Keko Pharmaceutical: Wamtuhumu Mbia Binafsi Kuhujumu Uzalishaji na Maslahi Yao

    Wafanyakazi wa Kiwanda cha kuzalisha dawa za binadamu cha Keko (Keko Pharmaceutical Industries - 1997) wameipigia yowe Serikali wakilalamikia bodi na menejimenti, hususan mbia binafsi (kampuni ya Diocare Ltd), kwa madai ya kuhujumu mchakato wa ajira zao na kukwamisha uendeshaji wa kiwanda hicho...
  8. Fbn

    JamiiForums Tanzania Naijeria kuna majimbo inabidi kuitaji ulinzi binafsi na sehemu zengine kufika your own risk.

    Japo tunaelekea huko kwa huu utawala wa tokea kupata uhuru.Leo nchi hii unaogopa watekaji kuliko mungu na kifo. Maisha ya naijeria ni kama serikali iliyojifia siku nyingi ila maisha yapo yana endelea tu. Nchi imegawanyika kuanzia kikabira,udini,kitabaka mpaka kimaovu. Kuna majimbo mengine...
  9. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Rais Museveni; Africa iliachwa nyuma kimaendeleo na Asia kwa sababu ya kutaifisha biashara za sekta binafsi.

    Huyu mzee ana madini hatari. Msikilize https://www.facebook.com/share/v/18Z3GKN5RQ/
  10. C

    JamiiForums Tanzania Kwa mawazo yangu binafsi ipo hivi

    Najua kuna vituo vyenye watangazaji bora na wakubwa sana lakini EATV ina combination kubwa sana Kwenye burudani utakutana na Rich Msafi au mwanadada February Omary Kwenye Michezo utakutana na Wastara Masese Kwenye shiw za vijana na Gen-Z utakutana na Zeydan Thabit na Modoo ingawa pia dolly...
  11. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Heche: Sina Tatizo Binafsi na Rais Samia

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, John Heche amesema hana tatizo binafsi na Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan. Heche ameyasema hayo jijini Mwanza wakati akizungumza kwenye kongamano la Wasomi wa Vyuo Vikuu lililoandaliwa na Mtandao wa Wanafunzi wa...
  12. never-ending battle

    JamiiForums Tanzania Prof. Lettice: Kama mmeshindwa kuziba Mabomba tupeni sekta binafsi

    Profesa ataka sekta binafsi iokoe mamlaka za maji nchini Kongamano la Kitaifa kuhusu Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP) katika Sekta ya Maji lililofanyika Mei 9, 2026 jijini Dar es Salaam limeibua mjadala kuhusu changamoto za ufanisi, ucheleweshaji wa huduma na mianya ya rushwa...
  13. KiTanzania

    JamiiForums Tanzania Prof. Kamuzora: Sekta binafsi haiwezi kuvumilia mabomba yanayovuja ni wakati wa sekta binafsi kusimamia mamlaka za maji

    “Tuna Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anayeelewa umuhimu wa sekta binafsi” Msomi na mchambuzi wa sera za kiuchumi, Aurelia Kamuzora amesema changamoto ya upotevu wa maji na uchakavu wa miundombinu nchini inaweza kupungua kwa kiwango kikubwa iwapo sekta binafsi itapewa nafasi kubwa zaidi katika...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Mwana FA: Hoteli zetu hazitoshi wageni AFCON, tunataka kuhakikisha makazi binafsi yanaweza kuandikishwa yakatumika kama Airbnb

    Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma, ameeleza kuwa Serikali inatengeneza mfumo rasmi wa kusajili watoa huduma mbalimbali nchini ili kukidhi mahitaji makubwa ya wageni yanayotarajiwa wakati wa mashindano ya AFCON. Hatua hiyo inalenga kuhakikisha kuwa sekta zisizo...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Vijana wasio na adabu wachapwe bakora kwa Mujibu wa Sheria na sio utashi binafsi wa viongozi

    Hamjambo! 1. Kuwanyoosha vijana ni jukumu la wazazi, walezi na Mahakama. 2. Msingi Mkuu wa Malezi na kunyoosha Tabia ni kwa Viongozi na wazazi ambao hapa watakuwa role model kwa vijana wao 3. Kama Wazazi na viongozi wanafanya mambo yasiyo na uadilifu wanapoteza haki ya kuwanyooshea vidole...
  16. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mimi binafsi riport ya Tume ya Jaji Chande naona kama wamepoteza kodi zetu kuandaa ujinga

    Unaweza kudanganya lakini huwezi kudanganya miaka yote hiyo tume imepoteza kodi zetu na kuja na riport ya kijinga namna ile ? Uliona wapi mtu ambae ndo anatuhumiwa kwa mauaji anaunda Tume ya kujichunguza? Kwenye hiyo Tume...
  17. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Je tume ya Chande itakutana na wanahabari baada ya rais Samia kusema ripoti ni mali yake binafsi na hapaswi mtu kuidai?

    Tulisikia mwenyekiti wa tume ya matukio baada na wakati wa uchaguzi mzee Mohamed Othuman Chande ya kwamba tume imepanga kukutana na wanahabari ili kujibu na kutolea ufafanuzi wa hoja na maswala yaliyomo ndani ya ripoti. Cha kushangaza na kushitua ni pale Samia aliposema ripoti ya tume ni mali...
  18. Binadamu Mtakatifu

    JamiiForums Tanzania OllaBridge tool ambayo inaweza kusaidia kuadd AI features kwenye shared hosted website(Unaweza kuazisha chatbot yako binafsi bila risk privacy)

    Habari wana-tech, Leo nataka kuwashirikisha mradi wangu mmoja wa open-source unaitwa OllaBridge. Huu mchongo utawasaidia sana ma-developer wenzangu wanaotumia shared hosting (kama Hostinger, cPanel, n.k.) kutumia nguvu ya AI kwenye websites zao bila kulipia madola ya ChatGPT API wala kuhitaji...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Dkt. Nchimbi: Kosa tunalofanya viongozi wengi ni kutumia vibaya madaraka kwa maslahi binafsi

    Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk. Emmanuel Nchimbi, amewashukia viongozi wanaotumia vibaya dhamana ya uongozi kwa ajili ya kujinufaisha, badala ya kuwatumikia wananchi waliowachagua. Akizungumza Aprili 11, 2026, katika kuadhimisha miaka 104 ya kuzaliwa kwa Hayati Mwalimu Julius Nyerere. "Lakini...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania CAG: Viwanja vya Tsh. Bilioni 4.09 Manispaa ya Kibaha viliuzwa nje ya Mfumo, Tsh. Milioni 481 ililipwa kwa Watu binafsi wasio watumishi

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), CPA Charles Kichere ameeleza hayo Machi 30, 2026 wakati akisoma Ripoti ya ofisi yake ya Mwaka 2024/2025 kuhusu uuzwaji wa viwanja katika eneo la Pangani lililopo Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha. CPA Charles Kichere amesema Viwanja 168...
Back
Top Bottom