Serikali itoe pesa kujenga miundombinu ya kukidhi haja, sio kukaa kuwalipa buku 7Nazishauri mamlaka pale Kariakoo wangezuia gari zote za binafsi kuingia eneo lile. Waruhusu taxi mtandao (drop off & pick up), boda na gari za mizigo tu.
Raia wote wateja na wafanyabiashara wangetumia public transport kuingia Kariakoo.
Kwa nini??Nazishauri mamlaka pale Kariakoo wangezuia gari zote za binafsi kuingia eneo lile. Waruhusu taxi mtandao (drop off & pick up), boda na gari za mizigo tu.
Raia wote wateja na wafanyabiashara wangetumia public transport kuingia Kariakoo.
Hii ni dhahiri kabisaNazishauri mamlaka pale Kariakoo wangezuia gari zote za binafsi kuingia eneo lile. Waruhusu taxi mtandao (drop off & pick up), boda na gari za mizigo tu.
Raia wote wateja na wafanyabiashara wangetumia public transport kuingia Kariakoo.
Kariakoo makazi ya watu tangu mzizima,ngumu kufukuza watu ujenge parking, parking wajenge jangwani na ilala hukoMipango miji walishindwa tengeneza Public Parking ambayo ingetengeza mapato mara mbili ya reserved parking wanayotumia kupata mapato
Mbona mtemvu alitukataza kwenda na ndala postaSerikali itoe pesa kujenga miundombinu ya kukidhi haja, sio kukaa kuwalipa buku 7
Sasa dar yenyewe kama kijijini uanze kuzuia watu kuingia kkoo na mapira yao.
Vipi siku bongo ikija kuwa kama down town nu York???
Si mtasema kama hujavaa suti usiingie kkoo?
Peleka huu ushauri wako huko kwa bashalako Abdul. Usitusumbue .Nazishauri mamlaka pale Kariakoo wangezuia gari zote za binafsi kuingia eneo lile. Waruhusu taxi mtandao (drop off & pick up), boda na gari za mizigo tu.
Raia wote wateja na wafanyabiashara wangetumia public transport kuingia Kariakoo.
Kama watu walipigwa risasi ili mtu aingie ikulu.Kariakoo makazi ya watu tangu mzizima,ngumu kufukuza watu ujenge parking, parking wajenge jangwani na ilala huko
Mtu anaezuia maendeleo(watu kuingia Town na magari) kwa sababu ya foleni akili hana?Mbona mtemvu alitukataza kwenda na ndala posta
Gari binafsi zisiingie kkoo,ziishie magomeni,ilala,mivinjeni,shauri moyo
Hii ni workable na iko applicable miji mingi ya Ulaya. Jiji la Bremen huko Germany unakuta mjini kuna mabasi ya umma tu na watu kwenye baiskeli tuMbona mtemvu alitukataza kwenda na ndala posta
Gari binafsi zisiingie kkoo,ziishie magomeni,ilala,mivinjeni,shauri moyo