Dar hadi Musoma kwa gari binafsi ni masaa mangapi?

Dar hadi Musoma kwa gari binafsi ni masaa mangapi?

Screenshot_20260206_180449_Maps.jpg
 
Wakuu Kwema?
Naomba aliyewahi kusafiri kwa gari binafsi Dar to Musoma au Musoma to Dar alitumia masaa mangapi? Nataka kupata experience. Maana nilisafiri kwa Bus nilitumia masaa 22 sio poa.

Inategemea
1. Aina ya gari na ubora wa hilo gari
2. Dereva anayeliendesha - Uzoefu wake na kama anapenda kukimbia barabarani
3. Muda wa safari/Usiku au Mchana

Hivyo vyote kwa pamoja ndio hutengeneza muda wa safari
 
Safiri usiku weka gari katikati ya msitari kanyaga wese. Omba Mungu usikutane na tractor limeharibika njiani limeziba barabara
 
Back
Top Bottom