Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,247
- 6,615
Kuanzia suala Zima la imani, huku watu wengi hasa maeneo ya mjini na uswahilini hawana imani kabisa wako mbali na Mungu.
Suala la malezi ndio kabisaa mana watoto hujifunza kwa wanaowazunguka mtoto akikulia vingunguti Tabata au mbagala kazi ipo.
Suala la ajali ndo usiseme ajali za uzumbe kabisa kuanzia Bodaboda mpaka watembea kwa miguu. Ukikaa dar jiandae kuwa mlemavu mtarahiwa.
Uchafu, hapa sina maneno mengi kuanzia hewa mitaro mpaka makazi uchafu ndio uchafu.
Vyakula visivyo Bora kuanzia mboga za majani nk mambo hovyo kabisa
Pesa haina thamani kabisa, elfu 50k ya Dar sio sawa na Ile ya Tabora kabisa.
Kifupi ukitaka maisha ya amani raha na utulivu wa nafsi karibu mkoani ila kaam unataka shida na matatizo baki Dar.
Yani Dar es salaam ni mji wa matatizo TU
Kwahelini
Haya ni mawazo yangu ty kila mtu ana uhuru wake jamani msinitukane
,