binadamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Tamaa ya binadamu hubeba hatari inapobebwa dhidi ya kina

    Mnamo Machi 2022, manowari ya Felicity Ace iliyokuwa imebeba magari ya kifahari tupu ilishika moto na kuzama karibu na Azores, na kupeleka maelfu ya magari hayo ya kifahari kuzama kwenye sakafu ya bahari. Miongoni mwa magarii hayo ni baadhi ya brand zinazopendwa zaidi ulimwenguni na matajiri au...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Binadamu unapataje GPA below 4.8 chuoni?

    Binadamu wa kawaida unapataje GPA below 4.8 we ni binadamu wa kawaida? Hivi mniambie binadamu hasa unapata GPA below 4.8 wewe utakuwa binadamu au mnyama sasa unatofuti gani na kuku ambae wanasema Hana akili? Serikali ipige marufuku kuwaajiri hawa watu wanaleta ufanisi mdogo serikali nyie ndiyo...
  3. kiss ov love

    JamiiForums Tanzania Hawa ndiyo binadamu

    NRNE Nimekaa najiuliza hivi binadamu wa siku hizi wamekuwaje, wakati wa raha watakuwa na wewe, lakini ukipata shida hutawaona kabisa. Just imagine mtu unamwambia akukopeshe siyo unamuomba anaibluetiki hiyo msg na status anaweka kama kawaida. Ngoja niishie hapa nirudi kifungoni🥲
  4. Marco Seth

    JamiiForums Tanzania Kila mtu ana kichaa chake

    Katika saikolojia, kauli ya “kila mtu ana kichaa chake” wewe Fanya observation utaona Kila mtu ana tabia, fikra, au hisia zisizo za kawaida au tofauti na wengine, hata kama si ugonjwa wa akili. Inaweza kumaanisha pia kuwa hakuna mtu mkamilifu kiakili kila mtu ana mapambano yake ya ndani...
  5. S

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Je kuna mahindi maalumu yanayofaa kuliwa na binadamu na mengine kwa ajili ya wanyama?

    Nimekutana na hii Taarifa wakuu imenishtua kidogo, kwahiyo sisi huwa tunakula mahindi ya wanyama?
  6. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Binadamu akifariki hupendwa sana kuliko nyakati za uhai wake

    Nimefatilia binadamu wengi wabaya tena waliokuwa wakichukiwa sana huanza kupendwa na kuonekana wema pale tu wanapofariki sijui hii inatokana na nini? Kuna wakati nachukiwa na watu mpaka natamani nife ili nianze kupendwa,. Je kwanini binadamu tumekuwa tukipenda sana marehemu na kuwaona wema...
  7. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Kuna baadhi ya binadamu huwa wanamzungumzia Shetani kana kwamba wanawazungumzia baba zao vizee

    Kuna baadhi ya binadamu huwa wanamzungumzia Shetani kana kwamba wanawazungumzia baba zao vizee vilivyojichokea Binadamu wote kuanzia wa kwanza mbele za Shetani ni sawa na kuku au mende na ana uwezo wa kufanya lolote na hatuna chakufanya Kwanza kabisa kabla ya kumzungumzia Shetani tizama Umri...
  8. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Kufugwa kwa akili ya binadamu; Kelele ya ukimya Duniani kama Jehanamu.

    Hakika tunapita katika kipindi ambacho janga kubwa la kibinadamu siyo vita wala majanga ya asili ila ni janga lisilotajwa mara kwa mara ambalo nimelipa kichwa kufugwa kwa akili ya Binadamu. Hili ni janga kubwa kuwahi kufikia hatua lilipofikia. Mifumo mikubwa ya kidunia na kijamii (Dini, Elimu...
  9. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania KWELI Ulaji wa mayai ya nyoka yasiyopikwa vizuri unaweza kuwa hatari kwa afya ya binadamu

    Mdau wa JamiiForums.com ametaka kupata uhalisia endapo mayai ya nyoka ni salama kwa bonadamu. "Inasemekana Mayai "Egg's" yote yakiwa fresh ni salama,Sasa swali linakuja jee hata Mayai "Egg's" ya Nyoka "Snake" yakiwa fresh yanafaa kwa binadamu kula na asipate madhara yeyote?Kwa wale wataalamu wa...
  10. Uhuru24

    JamiiForums Tanzania Kama hizi biashara zingekuwa na mdomo,basi zingezungumza kwamba binadamu ni mnafiki sana

    Katika maisha ndio hivyo kuna vitu haviwezi kuzungumza tu,ila laiti vingepata nafasi basi vingezungumza:_ 1:SIGARA Hii ni moja ya biashara kubwa kila pembe ya Dunia,huvutwa na watu tofauti tofauti,wake kwa waume,wazee kwa vijana. Pamoja na kutoa huduma kwa jamii hiyo lakini imekuwa biashara ya...
  11. kakakwetu

    JamiiForums Tanzania Mipaka ya maarifa ya binadamu: safari ya uelewa wa ulimwengu na yale yasiyoguswa

    Binadamu ameendelea kufanya ugunduzi mkubwa kuhusu ulimwengu anaouishi. Kupitia sayansi, teknolojia, falsafa na dini, tumeweza kuelewa kwa sehemu baadhi ya siri za asili, maisha, na mazingira yanayotuzunguka. Hata hivyo, pamoja na maendeleo hayo, bado kuna maswali ambayo yanabaki bila majibu ya...
  12. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Wanaku-Delude Kuwa Umeelimika, Ila Wewe Ni Robot Lao Tu, Maana Nje Ya Mfumo Wao Vyeti Vyao Vya Degree Ni Vifungashio.

    Katika jamii ya leo, elimu imekuwa kama kipimo cha thamani ya mwanadamu. Certificate, Diploma na Degree vimechukua nafasi ya heshima, ajira na hadaa kubwa ya kijamii. Hata hivyo, ukweli ni kwamba hiyo ni chicanery tu, unaambiwa na unajiona umeelimika kwa sababu umepokea uthibitisho wa...
  13. Logikos

    JamiiForums Tanzania Kwenye Shamba la Wanyama kinachohitajika Sio Kumfukuza Binadamu, bali kuondoa Mentality kwamba baadhi ni Bora kuliko Wengine

    Bila kufanya hivyo tutakuwa tunabadilisha wanyonyaji na sisi wabadilishaji kuendelea kunyonywa..., hivyo basi kuliko kusubiri siku tukishawabadilisha labda tutaacha kunyonywa, tuanze kuwasihi wa leo wasitunyonye na wao waache kunyonya (wajifunze kula na vipofu). Kinachoendelea sasa katika...
  14. Mmanu

    JamiiForums Tanzania Ni nini sababu ya binadamu kuletwa Duniani?

    Habari wanaJf Nimekuwa nikijiuliza swali moja la msingi sana lakini majibu thabiti nimekuwa nikikosa kabisa... Kwa wale wanaoamini kuhusu uwepo wa Mungu naomba wanijuze kwanini tumeletwa hapa duniani ambako tunaishi maisha mafupi na kupita, je Mungu hakuona namna nyingine ya kutufanya tufike...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Wengi wanatumia wema wako kama udhaifu kukutumia kwa maslahi yao, ukigundua hilo wafukuze bila huruma

    Wakijua wewe ni mwema wataanza majaribio kukupima kama una weza kusema HAPANA wakigundua huna huo uwezo basi huo utakuwa ndio mlango wao kujipatia wanayohitaji kutoka kwako . Sio kwamba bila misaada yako hawawezi kuishi la hasha wanaweza kuishi vizuri tu ila wakija kwako wanajifanya kama vile...
  16. Knock life

    JamiiForums Tanzania Wakuu hivi Popoma ni nini je ni aina ya binadamu au ?.

    Wakuu hivi Popoma maana yake ni nini ? ni MTU wa aina gani .?
  17. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Binadamu hatufani kitabia kutokana mazingira yanatengeza tabia za watu

    Usitake watu wengine wawe kama ww ulivyo , kila mtu amekulia ktk mazingira yake , ana mapito yake , uzoefu wake , heshimu utofauti wa wengine . Mtu yeyote mgeni kwako mpe muda wa kumsoma tabia yake na kumzoea
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwasaga: Udukuzi sio tu wa mifumo, kuna udukuzi wa Akili za Binadamu

    Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya TEHAMA, Dkt. Nkundwe Mwasaga amezungumzia kuhusu matumizi ya Artificial Intelligence (Akili Unde), msikilize akifafanua jinsi gani suala hilo linavyoweza kuwa hatari kwa Jamii... Korea ya kusini kupitia taasisi ya usalama mtandani ya korea- KISA,inatarajiwa kuendesha...
  19. Joshua Mbezi

    JamiiForums Tanzania Tanzania Yaonywa Uminywaji na ukiukwaji wa Haki za Binadamu

    Tume ya Afrika ya Haki za binadamu ya watu yenye makao yake makuu Banjul Gambia, imesema kwamba vitendo vya uvunjifu wa amani vinavyoendelea nchini Tanzania, vinalichafua taifa hilo katika uwanja wa kimataifa. Taarifa iliyochapishwa kwenye tovuti ya tume hiyo imevitaja baadhi ya vitendo hivyo...
  20. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Maduu: kilio kikubwa cha Asasi za kiraia ni ulinzi wa haki za binadamu

    Ndugu Wakili Maduu William Afisa uchechemuzi kutoka kituo cha sheria na haki za binadamu (LHRC) kwa niaba ya kituo cha sheria na haki za binadamu akitoa salamu katika mkutano wa CHAUMMA Amesema kilio kikubwa cha Asasi za kiraia ni ulinzi wa haki za binadamu kwa nguvu zote na ulinzi wa utawala...
Back
Top Bottom