binadamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Equation x

    Kitu gani kilichosababisha kuwepo na binadamu wenye rangi tofauti tofauti?

    Kuna waarabu, wahindi, wazungu, waafrika. Na ukiangalia kitu kinacho watofautisha ni viwili tu; rangi ya ngozi na aina ya nywele, ila kimuundo wote wako sawa. Sasa ni kitu gani kilicho sababisha kuwepo na huu utofauti?
  2. Jack Daniel

    Magereza yapo kwaajili ya binadamu kuwa makini

    Habari jamii Africa Gereza linatisha, Stori zake zinatisha, Matendo ya huko yanaogofya, Lakini ikiwa upo Duniani kaa ukijua muda na saa yoyote unaweza kuangukia huko. Najua wengi tunajitajidi kuishi Kwa ukamilifu ikiwa ni njia ya kujiepusha na makosa mbalimbali,lakini niseme tu kama upo...
  3. Roving Journalist

    Sheikh Ponda: Sheria ni kinga ya Haki za Binadamu, si chombo vya kutesa Wananchi

    Akizungumza mara baada ya kutangazwa rasmi kuwa mwanachama wa Chama cha ACT Wazalendo Katibu wa Shura ya Maimamu Tanzania Sheikh Ponda Issa Ponda amesema kwamba amejiunga na Chama hicho kwa lengo la kuongeza wigo wa maeneo ambayo anaweza kupigania haki na utawala wa Sheria hususani Katiba Mpya...
  4. T

    Kwanini umri wa dunia unatofautiana sana na wa binadamu wa kwanza

    Kwa mujibu wa wanasayansi dunia toka kuumbwa kwake hadi sasa ni takribani miaka billion 4.5 iliyopita,(huo ndo umri halisi wa dunia). Mwaka 1935 ndani ya mamlaka ya hifadhi ya NGORONGORO katika eneo la olduvai george mwanasayansi Louis leakey na mkewe Mary leakey waligundua fuvu la...
  5. Comred Mbwana Allyamtu

    Binadamu walioacha alama kubwa duniani

    BINADAMU WALIO ACHA ATHARI KUBWA ULIMWENGUNI: DUNIA IKAWA YAO, KISHA WAO WAKAWA DUNIA MPAKA LEO. Na. Comred Mbwana Allyamtu. (CMCA) Saturday-03/12/2022 Marangu Kilimanjaro Tanzania Hii list hapa chini ni ya viongozi ambao wameacha "Athari" Ulimwenguni, athari yao imebaki kama chachu hapa...
  6. The redemeer

    Lijue kusudi la wewe kuzaliwa hapa duniani kama binadamu

    Wewe hukuzaliwa hapa duniani kama jiwe, mti, mdudu wala mnyama; ulizaliwa kimaalumu kabisa kama binadamu kwa LENGO au KUSUDI maalum; unatakiwa ulijue na ulitimize kabla hujaondoka kwenye uso wa hii dunia kurudi ulikotoka! Haupo duniani ili mradi hupo tu, la hasha, hupo kwa ajili ya KAZI AU WITO...
  7. The redemeer

    Hakuna binadamu aliyezaliwa masikini

    Siri Iliyofichwa Kwenye Ramani Yako ya Kuzaliwa Katika ulimwengu huu wa ajabu, uliojaa mwanga, giza, na misukosuko, kuna ukweli mmoja mkubwa ambao watu wengi hawajawahi kuambiwa Hakuna binadamu hata mmoja aliyezaliwa masikini. Masikini si hali ya fedha mfukoni. Masikini ni hali ya kutokujua...
  8. D

    Tulizani ni binadamu wenzetu kumbe baadhi yao ni wanyama kiasi hiki? Sakata la Gwajima limefunua roho mbaya za watu

    Sikutarajia kabisa kuona Mwanamke asimame kushangilia utekaji na mauaji! Mwanamke halisi anaejua uchungu wa mtoto hawezi kufurahi kuona watu wakiuwawa! Hata kama kuna makosa ndiyo maana kila nchi ina sheria na mahakama! Sasa unapoona mwanamke anasimama bungeni anasema ALIYETEKWA AKOME AKOME...
  9. H

    Tunaomba Dunia iongeze nguvu kuwasaidia Watanzania kupambana dhidi ya dhuluma ya Haki za msingi za binadamu

    Suala ya udhulumaji haki kwa wananchi wa Tanzania linalofanywa na watawala, lina uhalali na haki ya kupata msaada mkubwa kutoka jumuia ya kimataifa. Ni mwendawazimu pekee ndiye anaweza kutamka kuwa eti udhulumaji wa haki, ikiwa ni pamoja na utekaji na mauaji ya wakosoaji, ni suala la ndani ya...
  10. Tauceti Rigel

    Kwa Nini Wengi Hawahoji Maisha? – Safari ya Kifalsafa, Kisaikolojia na Kihistoria ya Udadisi wa Akili ya Binadamu

    Je, binadamu aliwekwa duniani kuishi tu kama mnyama mwingine yeyote—kula, kulala, kuzaa, na kufa bila kuuliza chochote? Je, maisha haya ni mkusanyiko wa matukio yasiyo na maana, au yana lengo ambalo linapaswa kuchunguzwa kwa undani? Hili ni swali la msingi ambalo kila binadamu anapaswa...
  11. Dalton elijah

    Mwanaharakati wa haki za Binadamu Agather Atuhaire, apatikana baada ya kutupwa mpaka wa Tanzania-Uganda, Mtukula

    Masaka, Uganda Kituo cha Utafiti cha Agora kimethibitisha kuwa mkurugenzi wao, Agather Atuhaire, ambaye tangu Jumatatu anashikiliwa na maafisa wa Tanzania, amepatikana asubuhi ya leo akiwa hai katika mpaka wa Uganda na Tanzania. katika taarifa hiyo wameelezea kuwa "Tunafarijika kuufahamisha...
  12. Yoyo Zhou

    Silaha mpya ya nyuklia ya Marekani yaleta tishio zaidi kwa ustaarabu wa binadamu

    Wizara ya Nishati ya Marekani hivi karibuni ilitangaza kukamilika kwa utengenezaji wa bomu jipya la nyuklia aina ya B61-13. Wakati dhana ya jumuiya yenye hatma ya pamoja ya binadamu inazidi kukubaliwa duniani, Marekani inaenda kinyume na kutishia usalama wa binadamu wote kwa kuboresha silaha...
  13. S

    HAKI za Binadamu na UHURU wa Kisiasa

    Mandhari ya haki za binadamu na uhuru wa kisiasa nchini Tanzania yanaweza kuathiri ikiwa Lissu atakabiliwa na mashtaka ya Uhaini, Njia ya nchi katika kukabiliana na upinzani na wapinzani inaweza kubadilika, na matukio mapya yanaweza kutokea ambayo yanaweza kusababisha mashtaka au taratibu...
  14. S

    Mpaka sasa binadamu hajajua alitokea wapi!

    Mpaka Sasa Binadamu Hajajua Alitokea Wapi . Je, Tutawahi Kujua? Na dhumuni la Kuishi ni lipi? Moja ya maswali makubwa yanayomkabili binadamu tangu mwanzo wa fikra ni: Binadamu alitokea wapi? Mpaka sasa, hakuna jibu la uhakika linalokubalika kwa wote. Wanasayansi wanasema binadamu ni zao la...
  15. Hemedy Jr Junior

    HAYA WIMBO WA WANAUME WATETEA HAKI ZA BINADAMU, THE LAST MAN TZ ASHIKA KIJITI CHA ROMA MKATO

    YouTube https://youtu.be/lr1WEEFWsR0?si=j7pi7_Rb-5u9jwcI Full video
  16. Stuxnet

    GROK: Mjue Faustin Mafwele na matendo yake dhidi ya binadamu

    Je Faustin Mafwele ni nani? Kwa nini analalamikiwa sana? Kwa mujibu wa AI ya GROK iliyopo mtandao wa X:- Faustine Mafwele ni afisa wa jeshi la polisi la Tanzania, ambaye kwa sasa ana cheo cha Kamishna Msaidizi wa Polisi (Assistant Commissioner of Police - ACP). Ameshikilia nyadhifa mbalimbali...
  17. Qs Cathbert

    Hivi kwanini sisi binadamu hatuna plate number kama yalivyo magari na vyombo vingine vya moto?

    Kila nikiwa idle akili yangu huwa inanipeleka kufikiria vitu ambavyo hata mimi nashangazwa navyo lakini kwa hili,, nmeona bora nililete tufikirie wote🫠
  18. Rorscharch

    Yafuatayo ni makundi ya watu (wengine siwezi kuwaita binadamu) ambayo sina huruma nayo kabisa

    Kuna mipaka ya ubinadamu ambayo baadhi ya watu huivuka kwa makusudi, wakiacha nyuma maumivu, mateso, na chuki inayowasha moto wa hasira moyoni mwangu. Kuna makundi fulani ya watu, hata wakilia mbele yangu, wakilia kwa machozi ya damu, bado sitaweza kusikitika. Na kama ningekuwa na lita 20 za...
  19. Introvert Music

    Leo nimeshangaa kumbe Kuna binadamu wanaishi kwenye kiwanja ukubwa wa mita 10x10 hivi unajengaje kwenye hiki kiwanja ukaishu

    Naomba kuuliza hivi unawezaje kuishi kwenye kiwanja Cha ukubwa huu yaani nashindwa kuwaelewa Hawa jamaa Leo nimepita sehemu nimekuta hiki kituko tena familia kubwa tu inafanya usafi kwenye kiwanja chao aisee tafuteni hela acheni ujinga viwanja vya 10x10 ni kiwanja kweli
  20. Manyanza

    Maoni ya mashirika ya haki za binadamu na jumuiya za kimataifa kuhusu kukamatwa kwa Tundu Lissu

    Kukamatwa kwa Tundu Lissu mnamo Aprili 9, 2025, kumezua ukosoaji mkubwa kutoka kwa mashirika ya haki za binadamu na jumuiya ya kimataifa. Mashirika haya yameelezea wasiwasi wao kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu na kudhoofika kwa demokrasia nchini Tanzania. Kauli za Mashirika ya Haki za...
Back
Top Bottom