Mwaka 1961, mwanasaikolojia wa Chuo Kikuu cha Yale, Stanley Milgram, alifanya jaribio ambalo lilionyesha jinsi ubongo wa binadamu unavyofanya maamuzi unapokua chini ya mamlaka fulani na kuibua swali zito kuhusu utii wa binadamu kwa mamlaka.
Katika jaribio hilo linalojulikana kama Milgram...
Dhana ya Uongo imekuwa ni maisha yetu ya kila siku japo si jambo linalojadiliwa kwa upana sana ila athari zake zipo kila sekunde!.
Katika jamii nyingi uongo si jambo linalopendwa na vyombo vya sheria humtia hatiani mtu yoyote atakaebainika kusema uongo!, Hata hivyo ukiuzungumzia uongo basi upo...
Ssi binadamu hua tunaamini kuwa tunaona na kuielewa dunia kikamilifu kupitia macho, masikio, ngozi, pua na ulimi. Lakini ukweli wa kisayansi unaonyesha sense za binadamu zinaweza kugundua chini ya asilimia 1 ya physical reality inayotuzunguka.
Electromagnetic spectrum zinaanza kuanzia...
Baada ya kupotea mda mrefu nimerudi tena ndugu zangu.
Mniwie radhi kwa simulizi nilizoshindwa kuzimalizia.... sababu zilikua nje ya uwezo wangu.
Leo ningependa niwaulize watu ambao mnajiita kua mna ubini wa Adamu. Mnamjua Mungu aliyeumba au mnakariri hadithi na mapokeo. Mungu yupo ila asilimia...
https://www.youtube.com/live/wr4EWHjPnuE?si=71vzeEzsoV41J8sS
Akitoa taarifa kuhusu hali ya haki za binadamu nchini, Kaimu Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Wakili Fulgence Massawe, amesema kuwa kumekuwa na ongezeko la matumizi mabaya ya madaraka kwa baadhi ya viongozi...
Mashirika ya haki za binadamu nchini Tanzania, yakiwemo Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) na Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), yalikumbwa na changamoto za kiutendaji na kiusalama wakati na baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika...
Mfano Wanasiasa wa Tanzania wanaongoza kumtaja mungu na kumuhusisha katika harakati zao za kisiasa ila ni waongo, wadhulumaji wa haki, wala rushwa na mafisadi kuliko.
Fikiria watu wanajua kabisa wameingia madarakani kwa kupitia uporaji uchaguzi, kuumiza na kuua wengine ila kauli ya kwanza...
Wana jamii Forums hamjambo, hapa ni mahali pekee ambapo naweza kuongea kwa uwazi na bila kuficha chochote. Kuna muda nakuwa na mawazo nashindwa wapi pa kusemea.
Iko hivi kwa sasa nina miaka 44 sijaolewa na sina mwenza ila nina watoto ambao nilipata na mpenzi wangu, mahusiano hatufanikiwa...
Binadamu ana tabia ya kugeuza matumizi ya vitu na sijajua hii tabia inatokana na nini
Anaweza hata akavaa chupi kichwani au akajipaka mafuta ya kulainisha break ilimradi tu ageuze matumizi ndipo aridhike
Lengo la kuundwa kwa bunduki halikua kuonea watu bali lilikuwa kujilinda na maadui lakini...
Serikali ya mpito nchini Venezuela imeanza kuwaachilia watu wanaosadikiwa kuwa wafungwa wa kisiasa na mashirika ya kutetea haki za binadamu, katika kile maafisa walichoeleza kuwa ni ishara ya nia njema.
Wizara ya mambo ya nje ya Uhispania ilisema raia wake watano, akiwemo raia mmoja aliye na...
Bidhaa inapotengenezwa hasa ya afya huambatana na tafiti na uthibitisho wakutosha kabla ya kuruhusiwa kutumika katika shughuli maalumu iliyokusudiwa. Kubadilisha matumizi ya bidhaa ya afya sio jambo linaloshauriwa hata kidogo mara nyingi ni hatari na huweza kuambatana na madhara makubwa...
Kuna dokta mmoja kaja kunitembelea mtaalamu wa umeme wa mwili na uhai.
Kaniambia kitu ambacho sijaelewa yani binadamu kuwa na umeme mkubwa:
Ni kaona niende GPT kuthibitisha.
Umeme wa mwili” (static electricity) hauna volt moja ya kudumu, lakini kwa kawaida voltage yake inaweza kuwa kubwa sana...
Tangu Nicolás Maduro achukue hatamu za uongozi mwaka 2013, Venezuela imepitia misukosuko mikubwa ya kisiasa na kijamii ambayo imesababisha shutuma nzito za ukiukwaji wa haki za binadamu.
Mashirika ya kimataifa yamekuwa yakiandika ripoti mbalimbali zinazoonyesha mbinu za kimfumo zinazotumiwa na...
Hii ni falsafa ambayo iliandikwa karne ya kumi na sita na mwanafalsa John Locke wa uingereza .
Kwamba kwenye kutawala serikali huwekwa madarakani na wananchi . Serikali inapokuwa madarakani inatakiwa kulinda haki za msingi za raia wake; Haki za kuishi, uhuru wa kutoa maoni n.k
Huu ndio msingi...
Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Mpanda Eusebius Nzigirwa amesema katika kusherekea sikukuu ya Christmas siku hiyo inawakumbusha watu thamani na hadhi ya utu wa mwanadamu na kanisa limekuwa likisimama kukemea kwa sauti kubwa wale wanaojaribu kuuchezea utu wa mwanadamu.
Askofu Nzigirwa amesema...
Suala la lissu kuzuiwa kwa muda mrefu bila kupelekwa mahakamani wakati kesi yeke ni kubwa halikubaliki na nikinyume cha sheria na haki za binadamu.
Sheria za nchi hazipaswi kuchezewa na kupuuzwa na wapumbavu lazima watawajibika kwa matendo yao hakuna atakaye kwepa nguvu ya sheria.
Naam hili jambo nilikuwa nalichukulia poa...lakini baada ya kuamua kufuatilia kidogo naanza kupata uthibitisho pasi kuwa na shaka juu ya mzunguko wa maisha ya viumbe sisi bin adamu.
Kwa kifupi sana tafiti ni nyingi lakini......nilipata kuishi nyanda za juu kusini mwa Tanzania nikiwa kijana...
Parliament raises the alarm on human rights in Tanzania 🚨
Members of the European Parliament adopted two resolutions on the human rights situation in Tanzania following October’s elections.
• Members condemn the violent post-election crackdown, which left thousands dead or injured, with...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.