binadamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Vien

    JamiiForums Tanzania Binadamu: Walivyoniita mbinafsi, niliwakaribisha kwenye maisha yangu na kuwashirikisha matatizo yangu... ajabu ni kwamba wote walikimbia

    Kuna kipindi nilikuwa naamini kwamba ili watu wakukubali ni lazima uwe karibu nao, uwashirikishe kila jambo na uzingatie maoni yao. Nilikuwa nahofia kuitwa mbinafsi, mwenye maringo au mtu anayejiona. Kadri nilivyojaribu kuwafurahisha watu, ndivyo nilivyozidi kugundua kuwa huwezi kamwe...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tanzania yasisitiza UNESCO kuhama kwa hiari Ngorongoro ni kulinda utu na Haki za Binadamu

    Kikao cha 48 cha Kamati ya Urithi wa Dunia (WHC) ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu Sayansi na Utamaduni (UNESCO) kilichoanza Julai 19, 2026 kinaendelea jijini Busan katika Jamhuri ya Watu wa Korea. Mkutano huo unahudhuriwa na takriban watu 3,000, akiwemo Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO...
  3. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi: Majibu yangu kwa Dkt. Emmanuel Nchimbi baada ya kunitaja katika hotuba yake akiongea na Asasi za Kiraia za Haki za Binadamu

    Kwako Dr Emmanuel Nchimbi; Nimechukua muda kutafakari uliyoyasema nchimbie lakini sasa acha nikujibu: Leo umeonyesha uungwana kwa maneno maana umesema kuwa uanaharakati si uhasama - na ulinitaja kabisa pamoja na kwamba ninajua kuwa jina langu akilisikia kimama chenu hukasirika ile mbaya - so...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dkt. Nchimbi: Taifa haliwezi kuwaza kila kitu pamoja binadamu sio maroboti, kama kuna tofauti lazima ziendelee kuzungumzwa

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema taifa haliwezi kuwaza kitu pamoja katika kila kitu, ikiwa hivyo hao watakuwa maroboti siyo binadamu, na kwamba kama kuna tofauti lazima ziendelee kuzungumzwa, amesema hayo leo Julai 24, 2026.
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DKT. NCHIMBI: Haki za Binadamu ni pamoja na Mwananchi anayetaka kutoa maoni bila hofu

    https://www.youtube.com/watch?v=PAgUqKix-FA DKT. NCHIMBI: Haki za Binadamu ni pamoja na Kijana anayetaka kusikilizwa, Mwananchi anayetaka kutoa maoni bila hofu Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel John Nchimbi ameyasema hayo leo, Julai 24, 2026, akiwa Mgeni Rasmi...
  6. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kuna kitu naweza kusema kipo ila kitakuwa kigumu ila kipo kuthibitisha kwa biashara viungo vya binadamu.

    Kuna nchi unatakiwa kuwa makini na kuanzia mazoea,msosi, vinywaji mpaka unapofikia na ili swala lipo. Ila tanzania bado tujaweza sasa kuhusu na maswala ya biashara ya viungo kama figo maana ndio bidhaa ambayo naogopa kuingiza mada hapa. Je wale ambao wamenusurika au kuomba uchunguzi wa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kuna wimbi la kuwaaminisha vijana wa Kiafrika kuwa serikali zao hazifati haki za binadamu

    Tais Samia amesema kuwa Tanzania wanafuata haki za binadamu kikamilifu. Hayo ameyasema Rais Samia leo, 13 Julai, 2026
  8. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Kiuhalisia hakuna hata haja ya binadamu kuja duniani...

    Binadamu tunajiona viumbe waliobarikiwa kwa akili na maarifa. Tumegundua teknolojia, tumeandika vitabu, tumejenga miji mikubwa, na tumeunda tamaduni nyingi. Lakini tukichunguza kwa undani, yote haya hayajabadilisha ukweli wa msingi,,,, binadamu hakuja duniani kufaidika kwa namna ya kudumu. Kwa...
  9. Fbn

    JamiiForums Tanzania Binadamu wana tatizo moja ndio maana Yesu alikataa kuwapa nafasi japo walijifunza mengi.

    Nyerere kuna nukuu yake alisema " Yesu kuna mda hakutoa majibu ya maswali sababu Wanafunzi wake walikuwa kama marofa" Neno Rofa tumeliona mfano hapo bungeni angalia walivyokuwa wakimsifu magufuri baada ya kufa hata hawa elewi wanaanza kusifia samia. Kesho hakija mtu mwengine hata kwa mapinduzi...
  10. Killing machine

    JamiiForums Tanzania Je, binadamu ni chakula cha anayeitwa Mungu?

    Habari za sikunyingi ndugu Zangu jukwaani? Mtu akifuga mbuzi Faida yake ni nyama na maziwa Kadhalika ng'ombe ninyama na maziwa kuku kondoo na vinginevyo navyo vina faida juu ya mfugaji wake. Je umewai jiuliza ni ipi Faida aipatayo mfugaji wa Hawa viumbe wanao itwa bin Adam/ mimi na wewe ...
  11. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Kila binadamu anamtegemea binadamu mwenzake. Usijione una akili sana

    Kuna tabia imeenea siku hizi ya watu kujiona wanajua kila kitu. Ukweli ni kwamba hakuna anayejitosheleza kwa maarifa au ujuzi. Unaweza ukawa bingwa wa hesabu kiasi cha kutatua milinganyo migumu kwa dakika chache, lakini kuna kijana ambaye hajafika chuo anapiga solo la gitaa mpaka ukabaki...
  12. de Gunner

    JamiiForums Tanzania Hivi binadamu ni kiumbe wa namna gani?

    Yaani ni binadamu pekee anaye weza kufanya kitu kile kile kwa zaidi hata ya miaka 50.. Chukulia mfano waajiliwa, Yaani mtu unarudia kufanya kitu kile kile kwa zaid ya miaka 40 bila kukinai kweli? Huu si wendawazimu? Alaf unasema umeishi? Umeishi au imemsaidia mwajiri wako kuishi? Ifike...
  13. Tomaa Mireni

    JamiiForums Tanzania Kwa hali hii siwezi kuiamini VAR inayoongozwa na binadamu. Goli la Iran ni halali kabisa

    cha kushangaa ili ionekane ni offside anaonyenyeshwa mwenye jezi no. 9 wakati kule mwisho kuna mchezaji mwingine wa Misri. Jamani hii offside kivipi au mimi ndio sioni au sijui? Wachambuzi karibuni mnieleweshe hapa mana tutakesha. Nashukuru sana naona media kubwa imeona kama nilivyoona mimi...
  14. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kuna haja gani ya kwenda kusikiliza mafunzo ambayo si mageni kwako?

    unaamka asubuhi, unatumia pesa, muda na nguvu kwenda sehemu fulani kusikiliza mtu akikuambia mambo ambayo tayari unajua.Unaenda kanisani, mchungaji anasema tuwe waaminifu, tusameheane, tusiibe, tusizini na tupendane. Unatikisa kichwa kwa nguvu huku ukisema "Amen!" wakati ukweli ni kwamba hayo...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rasmi Bunge la Ulaya lapokea ushahidi kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu Tanzania

    Kamati ya Bunge la Ulaya ya haki za binadamu imepokea ushahidi kuhusu madai ya ukiukwaji wa haki za binadamu nchini Tanzania katika kikao maalum. Soma: Mke wa Lissu abubujikwa machozi akitoa taarifa Kamati ya Haki za Binadamu EU Ushahidi huo umetolewa na mke wa mwanasiasa wa upinzani Tundu...
  16. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kwa nini waislamu wanaona mbwa ni haramu kuishi nae ila historia inasema mbwa ndio kaishi na binadamu kuliko paka.

    Kuna tafiti na zilishakuwepo sana ila uwezi kusema mbwa ni haramu kuishi nao. Jamii ya mbwa tokea kuwepo mwanadamu walianza kuwa marafiki au kutafuta urafiki ulianza hivi. Mbwa walikuwa ni jamii iliyoshindwa kukabiliana na wanyama wenye nguvu kwenye kundi lao la jamii kama simba na wote wenye...
  17. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Binadamu wanapitia mengi usiwe sababu ya kuwakwaza watu

    Usiwe sababu ya kuwakwaza watu / mtu , mioyo ya watu imebeba mengi. Kuna watu wanakesi nzito mahakamani , kuna watu wanamagonjwa mazito , kuna watu wamepoteza wapendwa wao . Jitahidi ufanyike faraja na baraka katika maisha ya wengine
  18. ShesRise_1

    JamiiForums Tanzania Je, Binadamu Hana Shukrani Kuliko Hata Tumbo?

    Ukiachana na msemo kwamba tumbo halina shukrani; hata lipewe chakula kizuri na kitamu kiasi gani, ni lazima baadaye litahitaji tena, Ni kitu gani kingine unadhani hakina shukrani? Umewahi kukutana na mtu asiye na shukrani? Umetenda wema kwa uwezo wako wote, ukajitolea kadiri ulivyoweza Lakini...
  19. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Tusemeni tu ukweli ndege wanatupita akili na maarifa baadhi ya sisi binadamu?

    Tuanze ba uaminifu ndege wengi Huunda couple za muda mrefu, na baadhi yao hubaki na mwenza mmoja kwa miaka mingi au maisha yote. Mfano hata njiwa ambao wanajulikana kwa mahusiano ya kudumu..hapo tukubali maadili wametupita Tuje kwenye ujenzi ona bila ya shule ya uhandisi wala kuwa na vifaa vya...
  20. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Ujinga ni kitu hatari. Huyu mama ntilie anawalisha watu kinyesi cha binadamu

    Kaambiwa na mganga eti ndiyo atavuta wateja. Sijui na kwa mama ntilie wa bongo tunakula vya ajabu vingapi? https://youtube.com/shorts/63gg9mJ6Qug?si=qo837u5581p7h0-q
Back
Top Bottom