bilionea

  1. D

    JamiiForums Tanzania Dozy Mmobuosi - Mnaijeria aliyetaka kununua Sheffield United kwa kujifanya bilionea

    Kama kuna watu wamesoma na wanajua mambo ila wanatumia elimu yao kutapeli ni wanaija. Dozy ni mnaija anayedai kuwa ni CEO na Mwanzilishi wa Tingo Mobile. Jamaa alianzisha tingo mobile ikiwa na model ya kuwakopisha wakulima wa naijeria smartphones, ila baadaye akaanzisha soko la kidijitali...
  2. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Bilionea Wilfred Tarimo Apewa tuzo ya mlipa Kodi mkubwa

    Wilfred Lucas Tarimo siyo jina geni kwa watu wa kaskazini hasa mkoa wa Kilimanjaro na Arusha kutokana na baba yao mzazi mzee Lucas Tarimo[Marehemu] kuwa na utajiri kumkaribia Reginald Mengi. Mtoto wa Mzee Lukas Tarimo aitwaye a Wilfred Lucas Tarimo ambaye sasa ni mmiliki wa Snow Crest lakini...
  3. Nyafwili

    JamiiForums Tanzania Bilionea Warren Buffett: Nikifariki mali zangu wapewe wenye uhitaji

    Bilionea namba 5 duniani kwa mujibu wa jarida la Forbes, Warren Buffett baada ya mwanahisa mwenzake ndani ya kampuni ya ''Berkshire Hathaway'' Bwana Charlie Munger kutangulia mbele ya haki 28/11/2023 Kwenye jarida la Fortune Magazine, linaeleza kuwa kwenye barua iliyochapishwa na kampuni ya...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Nitajie Msomi Bilionea

    Kibongobongo Kusoma Sana ni kukataa kuwa Bilionea Kwa makusudi
  5. O

    JamiiForums Tanzania Kesi ya mjane wa bilionea Msuya: Kampuni ya CMC Motors ilivyomtetea mjane wa Bilionea Msuya

    [Kampuni ya uuzaji magari ya CMC Automobiles Limited imeieleza Mahakama kuwa gari aina ya Ford Rangers yenye namba za usajili T307 CBH, inayohusishwa katika kesi ya mauaji ya Aneth Elisaria Msuya iko kwenye gereji yake tangu Mei 9, 2016. Maelezo hayo yametolewa na Meneja Utawala na Matengenezo...
  6. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Bilionea Chris Lukosi kuibadilisha Tanzania kuwa China kuanzia mwezi Disemba

    Baada ya Serikali ya Tanzania kushindwa kuibadilisha nchi yetu kwa zaidi ya miaka 60 hatimaye zee la Madungu Chros Lukosi ameamua kulichukua suala hilo mikoni mwake na kuifanya Tanzania kuwa kama China, mabonanza yatakuwa yanatengenezwa Tabata, charger na earphone Kigoma, spea arusha, Simu...
  7. O

    JamiiForums Tanzania Kesi ya mjane wa bilionea Msuya: Miriam, Mwendesha Mashtaka walivyochuana mahakamani

    Mjane wa aliyekuwa mfanyabiashara wa madini mkoani Arusha, marehemu Erasto Msuya, maarufu kama Bilionea Msuya, Miriam Mrita, ameingia katika hatua ya pili ya utetezi wake katika kesi ya mauaji ya wifi yake inayomkabili yeye na mwenzake, ya kuhojiwa maswali ya dodoso. Bilionea Msuya aliuawa kwa...
  8. O

    JamiiForums Tanzania Kesi ya mjane wa bilionea Msuya: Jinsi alivyojibu tuhuma za kumuua wifi yake

    Dar es Salaam. Mjane wa aliyekuwa mfanyabiashara wa madini mkoani Arusha, marehemu Erasto Msuya, maarufu kama Bilionea Msuya; Miriam Steven Mrita, ameieleza Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kuwa hakuhusika na mauaji ya wifi yake kwani hata sababu inayotolewa si ya kweli. Miriam alitoa...
  9. O

    JamiiForums Tanzania Kesi ya mjane wa Bilionea Msuya ngoma nzito

    Mjane wa Bilionea Erasto Msuya, Miriam Mrita (45) ameieleza Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam, jinsi alivyoshiriki katika mgao wa mali za mume wake kwenda kwa ndugu wa Erasto Msuya. Amedai mgawanyo wa mali za marehemu mume wake, Erasto Msuya ulifanyika Februari 2014, ambapo baba na mama wa...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Dar: Mke wa Bilionea Msuya akutwa na Kesi ya Kujibu mauaji ya wifi yake

    MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imemkuta na kesi ya kujibu aliyekuwa mke wa mfanyabiashara wa madini mkoani Arusha, marehemu Erasto Msuya, maarufu kwa jina la Bilionea Msuya, Miriam Mrita, anayetuhumiwa kumuua wifi yake, Aneth. Mbali na Mrita mshtakiwa mwingine aliyekutwa na kesi ya kujibu...
  11. O

    JamiiForums Tanzania KESI YA MKE WA BILIONEA MSUYA: Mamantilie alivyoshirikishwa gwaride kutambua mshtakiwa

    Dar es Salaam. Mkulima kutoka Songea mkoani Ruvuma, Sophia Amir Shemzigo, ameieleza Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kuwa alikuwa mmoja wa watu walioshiriki katika gwaride la utambuzi wa mshtakiwa wa kwanza, Miriam Steve Mrita katika kesi ya mauaji ya Aneth Msuya. Mkulima huyo alieleza...
  12. Mathanzua

    JamiiForums Tanzania Maneno ya mwisho kuhusu maisha ya Steve Jobs, bilionea ambaye alikufa akiwa na umri wa miaka 56

    Maneno ya mwisho ya Steve Jobs, bilionea ambaye alikufa akiwa na umri wa miaka 56 “Nimefikia kilele cha mafanikio katika ulimwengu wa biashara. Katika macho ya wajinga, maisha yangu ni mafanikio. Hata hivyo, kando na kazi yangu, nilikuwa na furaha kidogo sana. Mwishowe, utajiri ni ukweli tu...
  13. O

    JamiiForums Tanzania KESI YA MKE WA BILIONEA MSUYA: Shahidi askari ayakana maelezo yake

    Dar es Salaam. Shahidi wa 16 katika kesi ya mauaji inayomkabili Miriam Mrita, mjane wa aliyekuwa mfanyabiashara tajiri maarufu wa madini mkoani Arusha, marehemu Erasto Msuya, maarufu kama Bilionea Msuya; ameyakana maelezo yanayodaiwa aliyaandika kuhusiana na kesi hiyo. Shahidi huyo, Askari...
  14. O

    JamiiForums Tanzania Mahakama yapokea kisu kinachodaiwa kumchinjia mdogo wake Bilionea Msuya

    Dar es Salaam. Kisu kinachodaiwa kutumika katika mauaji ya Aneth Msuya, mdogo wa aliyekuwa mfanyabiashara maarufu wa madini mkoani Arusha, Erasto Msuya maarufu kama Bilionea Msuya, kimewasilishwa mahakamani na kupokewa na mahakama kama sehemu ya vielelezo vya upande wa mashtaka katika kesi ya...
  15. MK254

    JamiiForums Tanzania Bilionea mwingine mndani wa Putin afa ghafla, wataisha hawa jameni

    Matajiri wa Urusi wapo kwenye hali ngumu sana, wanauawa kama senene.... 40-year-old millionaire, suspected of having connections to Alisher Usmanov, dies in Russia On July 22, businessman and CEO of "IKS Holding," Anton Cherepennikov, passed away at the age of 40 in Moscow. The initial cause of...
  16. Zacht

    JamiiForums Tanzania Bilionea Mwislamu ashinda kibali cha kugeuza mojawapo ya maeneo maarufu ya London kuwa msikiti

    Trocadero Ilijengwa mwaka 1896, ni mojawapo ya majengo ya burudani maarufu zaidi ya London Tajiri Asif Aziz anajenga msikiti huo wa gorofa tatu ndani ya jengo la Trocadero Msikiti huo ambao utakuja kuitwa 'Piccadilly Prayer Space' utafunguliwa ndani ya miezi kadhaa. Iakini upango huo...
  17. O

    JamiiForums Tanzania Shahidi alivyotoa majibu ya kufikirisha kesi ya mjane wa Bilionea Msuya

    Dar es Salaam. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara (RPC), George Katabazi ni miongoni mwa mashahidi katika kesi ya mauaji inayomkabili Miriam Mrita, mjane wa aliyekuwa mfanyabiashara maarufu na tajiri wa madini Mirerani, mkoani Arusha, Erasto Msuya, maarufu kama Bilionea Msuya. Leo Jumatatu...
  18. O

    JamiiForums Tanzania RPC, Wakili Kibatala walivyochuana kesi mjane wa Bilionea Msuya

    Dar es Salaam. Wakili wa utetezi, Peter Kibatala katika kesi ya mauaji ya Aneth aliyekuwa dada wa mfanyabiashara wa madini Mirerani mkoani Manyara, marehemu Erasto Msuya (Bilionea Msuya), amechuana vikali na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Richard Mchomvu...
  19. Suley2019

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bilionea wa Ubelgiji atuma bilioni 1 kwa mpenzi wake, Mahakama yataifisha

    Mahakama kuu Nchini Kenya imeiruhusu Serikali ya Nchi hiyo kutaifisha zawadi ya pesa za Kenya milioni 102 milioni (TSH. Bilioni 1.74) iliyotumwa kutoka Ubelgiji na Bilionea aitwae Marc De Mesel kwenda Kenya kwa Mpenzi wake ambaye ni Felista Nyamathira Njoroge (23) baada ya kubainika kuwa huenda...
  20. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Ni mambo gani yanakwamisha safari yako ya mafanikio?

    Wanasema kupanga ni Kama kuichungulia kesho yako, Nami Kama mwana harakati katika utafitaji nikajiwazia kuwa Kuna baadhi ya vitu au watu ni chanzo Cha kutuchelewesha au kuwa Kama vizingiti katika safari ya mafanikio. Je, ni Mambo, vitu, au watu gani unahisi wanakuzuia au kukuchelewesha...
Back
Top Bottom