bilionea

  1. LUKAMA

    Howard Hughes: Bilionea wa ajabu aliyekaa akiwa utupu na kujaza mkojo wake kwenye chupa

    'Kumbuka jambo moja, hakuna mtu ambaye siwezi kumnunua au kumharibu nikitaka.' Haya ni maneno ya mfanyabiashara tajiri zaidi Marekani wakati mmoja. Jina lake ni Howard Hughes na ulimwengu unamfahamu sio tu kama mfanyabiashara wa viwanda, mtafiti, mtengenezaji wa filamu, shujaa wa zama mpya...
  2. U

    Tanzania Bilionea ni mmoja tu ,wengine ni Oligarchy

    Kwanza lazma tujue oligarchy ni nani , na bilionea ni nani. Kiufupi oligarchy ni kikundi Cha watu/mtu wenye feza nyingi sana yaani matajiri ambapo utajiri wao unatokana na serikali iliyopo madarakani kuwapa nguvu huyo na wanatumia na serikali kujipatia utajiri either kwa kupeana mikataba kwa...
  3. The Assassin

    Baada ya Trump, Bilionea Namba Moja Duniani Elon Musk anafikiria kuja na mtandao wake wa kijamii

    Baada ya Trump kuzundua mtandao wake wa kijamii mwezi uliopita, Tajiri Elon Musk anafikiria kuzindua mtandao wake mpya ambao utawapa watu uhuru kamili wa kutoa maoni. Ikumbukwe kwamba hata Trump analaumu kwamba mitandao iliyopo inaminya uhuru wa watu kujieleza, inapangia watu waandike nini...
  4. Masokotz

    Je unawezaje Kuwa Bilionea?

    Huwa ninaamini kwamba Humu JF wamo Mabilione hata hivyo napenda zaidi kuzungumzia uhalisia; Ukiwa katika Jiji la Dar es salaam ukabahatika kutembea katika maeneo ya watu matajiri kama Masaki,Mikocheni,Mbezi Beach na baadhi ya maeneo mengine ya watu wenye ukwasi unaweza kufikiri kwamba wewe...
  5. John Haramba

    Vikwazo vyaendelea, Ujerumani yazuia boti ya bilionea wa Urusi

    Mamlaka nchini Ujerumani zinashikilia boti ya kifahari ya bilionea wa Urusi, Alisher Usmanov yenye thamani ya Sh trilioni 1.4. Hatua hiyo imekuja siku mbili baada ya Umoja wa Ulaya (EU) kumuwekea vikwazo alivyodai vina lengo la kumchafua, na kwamba atapambana kulinda heshima yake. Vikwazo...
  6. John Haramba

    Presha ya Urusi, Bilionea Abramovich kupokea ofa tatu wiki hii za kuiuza Chelsea

    Mmiliki wa Klabu ya Chelsea, Roman Abramovich Mmiliki wa Klabu ya Chelsea, Roman Abramovich anatarajiwa kushawishiwa kukubali kuiuza klabu hiyo, ikielezwa kuna ofa tatu zitatolewa wiki hii. Kumekuwa na presha kubwa kwa bilionea huyo kuiuza Chelsea kutokana na ukaribu wake na Rais wa Urusi...
  7. J

    Tajiri Roman Abromavich akabidhi timu ya Chelsea kwa Bodi ya Wadhamini wa club hiyo

    Tajiri wa kirusi Roman Abromavich anayemiliki club ya Chelsea ya England ameikabidhi timu hiyo kwa Bodi ya wadhamini kufuatia vikwazo vya kiuchumi ilivyowekewa nchi yake. Source: BBC ---- Mmiliki wa Chelsea FC, Roman Abramovich ametangaza kujiweka kando na majukumu ya uongozi ndani ya klabu...
  8. YEHODAYA

    Wapenzi wa timu ya Chelsea na Bilionea wenu Roman Abromavich mnachangia mgogoro wa Ukraine. Bunge la Uingereza lataka mali za bilionea huyo zikamatwe

    Wapenzi wa timu ya Chelsea na Bilionea Tajiri wenu Roman Abromavich mnachangia mgogoro wa Ukraine bunge uingereza lataka mali za bilionea huyo zikamatwe na anyanganywe timu ya Chelsea kwa sababu yeye rafiki mkubwa wa Putin na ana uhusiano na biashara zake na Russia zinazotakiwa kuwa freezed za...
  9. JanguKamaJangu

    Maelezo jinsi Mke wa Bilionea Msuya alivyomuua wifi yake yasomwa mahakamani

    Mke wa aliyekuwa mfanyabiashara maarufu wa madini mkoani Arusha, marehemu Erasto Msuya, Miriam Mrita ameeleza sababu na namna alivyohusika na mauaji ya wifi yake, Aneth Msuya. Miriam ambaye ni mshtakiwa wa kwanza katika kesi ya mauaji hayo ya wifi yake huyo Aneth aliyeuawa Mei 25, 2016 kwa...
  10. John Haramba

    Mahakamani: Hatma maelezo ya mke wa Bilionea Msuya kujulikana leo Februari 21, 2022

    Hatima ya maelezo ya onyo yanayodaiwa kutolewa na mke wa aliyekuwa mfanyabiashara maarufu wa madini, marehemu Erasto Msuya maarufu kama Bilionea Msuya, Miriamu Mrita itajulikana leo Jumatatu Februari 21, 2022 wakati Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam itakapotoa uamuzi wake. Miriam ambaye...
  11. M

    GSM mliopo hapa JamiiForums tafadhali naomba Majibu yenu ya upesi sana kwa haya Maswali yangu yafuatayo

    1. Ni kwanini mlianza Kudhamini kabla ya Kuingia Mkataba na TFF tarehe 23 Novemba, 2021? 2. Kama mliingia rasmi Mkataba na TFF tarehe 23 Novemba, 2021 ni kwanini mpaka hii Leo mnasitisha nao Mkataba hamjawalipa Pesa ya Awali na hata Vilabu vyote husika (ukiiondoa Simba SC yenye Akili na Watu...
  12. Analogia Malenga

    Vijana wamshinikiza bilionea Aliko Dangote kuwania urais Nigeria

    Kundi la vijana nchini Nigeria, chini ya mwamvuli wa Bunge la Vijana wa Kaskazini, limetoa wito kwa mfanyabishara tajiri zaidi Afrika Aliko Dangote, viongozi wengine wa wafanyabiashara na wataalamu kuingilia kati uchaguzi wa rais wa 2023. Vijana hao wanasema kuwa uzoefu wao itasaidia kuleta...
  13. Bowie

    Lazaro Nyarandu na Bilionea kutoka Uingereza Katika Sakata Wilson Airport Nairobi

    Wakati joto la uchaguzi wa Kenya likipanda Aliyekuwa Waziri wa Utali wa Tanzania Nyarandu ameonekana akiwa na Bilionea wa Uingereza pamoja na msaidizi wa Ruto kwa jina Sudi wakizuiwa kwenye uwanja wa ndege Nairobi. Inasemekana Nyarandu na Bilionea huyo walitokea Tanzania kwa ndege ya kukodi na...
  14. Frumence M Kyauke

    Bilionea Saniniu Laizer achangia Tshs. Milioni 5 kwenye ujenzi wa ofisi ya chama cha walimu Tanzania (CWT)

    YALIYOJIRI SIMANJIRO: Mfanyabiashara wa madini ya Tanzanite nchini Tanzania, Saniniu Laizer amechangia Sh5 milioni za ujenzi wa ofisi ya chama cha walimu Tanzania (CWT) ili kuboresha utendaji kazi wa walimu. Laizer maarufu bilionea Laizer ametoa fedha hizo Jumamosi Oktoba 30, 2021 kwenye...
  15. OMOYOGWANE

    Mtu mmoja akiwa bilionea, watu elfu moja huwa masikini

    Utajiri ni hali ya kuwa na mali au pesa nyingi . Mara nyingi utajiri hupimwa kwa wingi wa pesa alizonazo mtu mfano , kiwango kikianzia milioni 100 mtu huyo huitwa milionea, kikianzia milioni 1000 mtu huyo huitwa bilionea, Mtu mwenye utajiri huitwa TAJIRI na mtu asiye na utajiri (mali au pesa...
  16. The Mongolian Savage

    Millard Ayo: Bilionea mstaarabu

    One of the richest bloggers in Africa Forbes ilinukuu. Ukimuona simple tu wa kawaida lakini ana hela ndeefuuu na nyingi sana. Utajiri wake unakadiriwa 3-5 Millions US dollars. Vyanzo vingine vya uhakika na kuaminika vinadai anaweza kuwa na utajiri hata zaidi ya iyo dollar million 5. Ni kwa...
  17. IKUNGURU IJIRU CHUKU

    Kwamba pesa siyo kila kitu, sawa lakini hakikisha unazipata kwanza ndipo uongee huo upuuzi wako - Warren Buffet

    Pesa bila mikakati sio kila kitu ni pesa. Ili muamini;hoja yangu,tokea tumekusanya za Tozo kipi kimefanyika tukaanbiwa hiki ni Ile Tozo yenu? Mbona mwananchi moja moja anazidi kudidimia? Gesi juu Petroli juu, mafuta ya kula juu. Sasa kuanzia tarehe 8/09/2921 ukihamisha tu pesa benki kwenda benk...
  18. MNGONI ORG

    Diamond Platnumz mali anazotambia akizigeuza fursa atakuwa bilionea wa kwanza kijana Afrika

    Na Andrew Chale(MNGONI ORG) Msanii wa muziki wa kizazi kipya Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz ambaye kwa sasa amekuwa akizidi idadi kubwa ya mashabiki amekuwa ndo msanii anayezungumziwa kila kukicha kufuatia kupost vitu vya kifahari. Msanii Diamond amekuwa akipost magari na majumba pamoja na...
  19. Pascal_TZA

    Bilionea wa mpunga mkulima aliyeitwa na Bill Gate, gari za kifahari, jumba kiwanda

    Karibu nikukutanishe na mkulima kutoka Jijini Mbeya Rafael Saimon Ndelwa, Mmiliki wa Kampuni ya Rapha Group iliyo Uyole Mkoani hapo. Rapha ni miongoni mwa Mabilionea wa Mkoa wa Mbeya na utajiri wake unatokana na Kilimo cha mpunga, kilimo ambacho kilimfanya Bilionea Bill Gate amuite ili waweze...
  20. J

    Freeman Mbowe ni bilionea pekee aliyebakia kwenye siasa za majukwaani. Je, atapigania Katiba Mpya hadi mwisho?

    Mabilionea wengine walishaachana na siasa za rejareja wakiwemo Rostam Aziz, Mo Dewji, Yusuf Manji na Mkono na sasa amebakia " MWAMBA" Freeman Mbowe wa Chadema. Je, Mwamba atatuvusha kwenye katiba mpya au atatuacha njiani? Nawasalimu kwa jina la JMT.
Back
Top Bottom