bila

The Battalions of Light Infantry of Africa (French: Bataillons d'Infanterie Légère d'Afrique or BILA), better known under the acronym Bat' d'Af', were French infantry and construction units, serving in Northern Africa, made up of men with prison records who still had to do their military service or soldiers with serious disciplinary records.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Postal wamenikatalia kusafirisha nusu kilo ya kahawa mpaka kibali bila kuniambia kibali Cha nini

    Habari wakuu? Kuna rafiki yangu aliniomba nimkaangie buni ya kahawa ya Kilimanjaro nimtumie ujerumani,sasa nimeenda pale postal EMS wamesema hawatumi kahawa mpaka kibali na wenyewe hawajui kinapatikana wapi. Msaada wakuu kama kuna mtu anakijua hicho kibali Cha Nini na kinapatikana wapi...
  2. JamiiForums Tanzania Picha: Watanzania mnakula sana mbwa bila kujua. Usijitapishe ukiona hii picha

  3. T

    JamiiForums Tanzania Je, Mei Mosi bila uwepo wa Rais wa JMT itanoga?

    Kuna uwezekano mkubwa ikafika jumapili Mei Mosi raisi akiwa hajarejea ama kama atarejea akatoa udhuru kuwa kachoka. Je, makamu wa raisi atatimiza hamu na gamu ya watumishi wa umma? Tumeshuhudia maadhimisho ya miaka 58 ya muungano bila uwepo wa Rais. Tarehe 28 ni uzinduzi wa Royal Tour pale...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Marekani kutumia nguvu zote ili kuishinda Urusi, bila kuhatarisha damu ya askari yeyote wa Marekani hadi tone la mwisho la damu ya watu wa Ukraine

    Wamarekani ni wabaya! Wameamua kuingia vitani na Urusi kwa kutumia nguvu zao zote kwa maana ya zana za kivita na pesa, lakini hawako tayari kumwaga hata damu ya mtu mmoja wa Marekani hadi tone la mwisho la damu ya watu wa ukraine!! Marekani hawajali Ukraine ikiangamizwa na Urusi, wanachohitaji...
  5. JamiiForums Tanzania Morogoro: RTO Tafadhali Shughulikia Trela Lililotelekezwa Mbugani Mikumi Bila Alama Zozote za Tahadhari

    Napenda kumtaarifu RTO wa Morogoro kuwa kuna trela la semi limetelekezwa tangu Jumamosi last week mpaka jana usiku mbugani mikumi kama kilomita 15 kutoka mjini, trela hilo halina alama zozote za tahadhari, halina reflective stickers wala triangle, tumepita hapo jana majira ya saa 2 na bus nusura...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kusherehekea Muungano wa JMT bila kujua alipozikwa shujaaa Kassim Hanga ni unafiki

    Kassim Hanga alikuwa shujaa mwanamapinduzi na alikuwa mmoja wa waasisi wa Smz. Ikumbukwe kuwa bila ya SMZ kuungana na Tanganyika leo kusingukuwa na JMT. Kwa nini alipozikwa Kassim Hanga hapajulikani mpaka leo hii ili iwe kumbukumbu kwa taifa letu?
  7. JamiiForums Tanzania Sherehe za Muungano bila Amiri Jeshi Mkuu ni sawa?

    Kama ibara ya kwanza ya katiba ya JMT inavyotanabaisha ni kuwa Tanzania ni dola huru ambayo ni jamhuri ya muungano. Jamhuri ya muungano wa Tanzania ilizaliwa mwaka 1964 siku ya tarehe 26 mwezi wa nne. Ibara ya 33 ya katiba ya JMT inatanabisha wazi kuwa rais ndie mkuu wa nchi na amiri jeshi...
  8. JamiiForums Tanzania Ona wanavyokuwa na adabu wakiwa nje ya nchi bila akina Sirro

    Hapo ingekuwa ni Tanzania hakuna ambaye angethubutu kumbebea mabango Rais. Na angejitokeza aliye jasiri wa kufanya hivyo, angechezea kichapo ambacho asingekisahau. Lione li Mwigulu linavyojifanya linyenyekevu. Usanii mtupu! Ila heko kwa hao waandamanaji. Wamemfanya Samia ale kona. Sasa sijui...
  9. JamiiForums Tanzania Ramani ya fundi Maiko, inachorwa bila proportions lakini nyumba inasimama

  10. JamiiForums Tanzania Hivi unaweza kuitwa kwenye interview Sekretarieti ya Ajira bila 'ku-certify' vyeti?

    Habari wakuu, Kwa mliowahi kutuma maombi ajira portal ya sekretarieti ya ajira. Hivi unaweza kuitwa interview sekretarieti ya ajira bila kusatifai vyeti.
  11. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa namna ya kuangalia video bila kutumia data

    Habari ndugu wataalamu. Mwaka jana katika pitapita zangu nilifanikia kudownlod application ya kielimu katika simu yangu, hiyo application ilikua na video mbali mbali za masomo ya shule ya sekondari. Ilikua ni app ya kulipia monthly subscription ulikua unalipia shiling elfu 10. Sasa ilikua...
  12. JamiiForums Tanzania Usiyoyajua kuhusu Siasa; Hakuna Siasa bila uonevu

    Herehoa! Siasa zilianzishwa Kwa maslahi ya viongozi na watu wapendao utawala! Biashara zilianzishwa Kwa maslahi ya wafanyabiashara kujipatia faida! Mtu huanzisha kitu Kwa maslahi yake au kundi litakalomuunga Mkono! Mtu Fulani huweza kuamua kutaka kuongoza wengine na kupigania maslahi ya jamii...
  13. JamiiForums Tanzania Kila mwanamke ana jamaa ambaye anashiriki naye mapenzi bila kumpa chochote

    Ukweli ndio huo. wWnawake wengi wana watu wao wanaoshiriki nao mapenzi bila kupewa hela ama zawadi yoyote. Anaweza kuwa kwenye relationship na wewe na bado penzi lake likawa linapelekwa sehemu nyingine kwa gharama zake mwenyewe (mwanamke) NB: Msiende kuchunguza simu za wapenzi wenu mtaanguka...
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania wengi hufukuza ama kupiga wanyama bila sababu?

    Hebu chukulia mfano yanayoendelea Ukraine, mtu unamkuta anaenda kutafuta hifadhi pamoja na mnyama wake, leo hii sitashangaa hapa kwetu mtu akihamia hata mtaa wa nne basi atamtelekeza mbwa wake. kuwatesa wanyama ni kumtemea mate usoni Mwenyezi Mungu alieumba viumbe vyote, kuna hizi tabia...
  15. JamiiForums Tanzania Rafiki yangu anakaribia kuoa kimyakimya bila wazazi na ndugu zake kujua

    Baada ya wazazi wake kumkataa binti ambaye alikuwa ana mipango ya kumuoa kwa sababu wazazi wanazozijua wenyewe. Jamaa yangu sasa anakaribia kuoa kimya kimya bila wazazi na wala ndugu zake kuwashirikisha wala hawajui chochote kama anaowa na amefanya hivi sababu wazazi wake wamekuwa kikwazo...
  16. JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa “kula bila kuvimbiwa”

    Kwenye huu uzi nitakuwa naposti video pamoja na habari mbalimbali za kula bila ya kuvimbiwa pamoja na video na habari za kujipimia pia. Video zangu ni fupifupi ambazo zipo chini ya MB 1 ili hata akina sie ambao bando linasumbua sumbua baada ya serikali kupandisha gharama za bando tuweze...
  17. JamiiForums Tanzania Msiwe mnaumizana bure bila sababu wakati wa kujamiiana

    What is the refractory period? Reviewed by the medical professionals of the ISSM’s Communication Committee After orgasm, both men and women experience a resolution stage called the refractory period. At this time, their bodies “recover” from sexual excitement and return to their normal states...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia anapaswa kujua kuwa bila Magufuli asingekuwa Rais

    Kumekuwa na mfululizo wa mashambulizi makali ya maneno ya kisiasa kutoka kwa Rais Samia na wasaidizi wake wa karibu dhidi ya mtangulizi wake marehemu Magufuli. Binafsi sifurahishwi nayo kwa kuwa yamemlenga mtu aliyekufa (Magufuli) na yanasemwa na waliokuwa wasaidizi wa marehemu Magufuli, ambao...
  19. JamiiForums Tanzania Tuacha upotoshaji wa kudhani kuteseka sana mwishowe huwa ni kufanikiwa, watu wengi huteseka mpaka kifo bila kufanikiwa.

    Utaskia.. "Diamond aliteseka sana leo kafanikiwa" - hapa mtu anasahau kwamba kwenye muziki kuna ma elfu ya wasanii wameanza kuimba 2005 huko ila mpaka leo bado wanteseka. "Bakhresa alianzia chini kwa kujiajiri leo katoboa" - katika kundi hili kuna watu wengi sanaaa waliojiajiri kila siku...
  20. JamiiForums Tanzania Siri yafichuka Kumbe marekani inamiliki Hypersonic bomb miaka kibao iliyopita bila Dunia kujua:Kremlin wasema

    Kremlin has a secret, undisclosed data repository that includes information collected about NATO and USA, on the issue of owning Hypersonic bomb many years before the world being aware of this KOMOVA said Thursday. While neither the USA nor NATO would disclose it
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…