Siri yafichuka Kumbe marekani inamiliki Hypersonic bomb miaka kibao iliyopita bila Dunia kujua:Kremlin wasema

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,636
30,004
Kremlin has a secret, undisclosed data repository that includes information collected about NATO and USA, on the issue of owning Hypersonic bomb many years before the world being aware of this KOMOVA said Thursday. While neither the USA nor NATO would disclose it

Weka reliable source sio vipost vya watu wa Twitter
 
Kwahyo Russia miaka yote hawajajua km USA anayo hypersonic hivi ww unajua kila nchi ina majasusi kwenye upande wa mwenzie hakuna project USA atafanya Russia asijue au Russia afanye project USA asijue double agents wanavusha taarifa daily kutoka kila upande hawezi USA awe na hyo silaha miaka yote Russia asijue
 
Russia ipo level moja na jeshi la Taliban. Hakuna namna atakua na intelligence ya kujua kinachoendelea USA
 
Kwahyo Russia miaka yote hawajajua km USA anayo hypersonic hivi ww unajua kila nchi ina majasusi kwenye upande wa mwenzie hakuna project USA atafanya Russia asijue au Russia afanye project USA asijue double agents wanavusha taarifa daily kutoka kila upande hawezi USA awe na hyo silaha miaka yote Russia asijue
Siyo kweli! Hayo ni maneno ya mashabiki kama wa yanga na simba kutetea hoja zao vinginevyo kila taifa lingetengeneza silaha sawa na lingine.
 
Kuna uzi nilisema mmarekani hawezi kosa silaha hii hata kidogo, japo huwa ni mzee wa kukana tu kila kitu, akiulizwa hata manati atasema ndio kwanza anataka aanze tafiti za kuunda manati
Na hii ndio mbinu muhimu sana, hata kwenye maisha yako ya kila siku. Usipende kumuonyesha adui yako uwezo wako wote kama anavyofanya yule kiduku kule Korea... Kama adui yako hana uhakika na uwezo wako hatokaa akusogelee.
 
Back
Top Bottom