bila

The Battalions of Light Infantry of Africa (French: Bataillons d'Infanterie Légère d'Afrique or BILA), better known under the acronym Bat' d'Af', were French infantry and construction units, serving in Northern Africa, made up of men with prison records who still had to do their military service or soldiers with serious disciplinary records.

View More On Wikipedia.org
  1. benzemah

    JamiiForums Tanzania Kukopesha bila kuwa na leseni adhabu faini milioni 20, jela miaka miwili

    Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imepiga marufuku kwa taasisi, kampuni na watu binafsi kufanya biashara ya kukopesha fedha bila kuwa na leseni ya BoT au taasisi zilizokasimishwa majukumu hayo. Wasiotii sheria inayowataka kuwa na leseni watakabiliwa na kifungo jela kisichozidi miaka miwili au kulipa...
  2. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Mgao wa Maji umerudi Dar?; Kunduchi-Mtongani wiki inaisha bila maji kutoka

    Salaam ndugu, Ni hatari kwa afya kumaliza wiki nzima bila kupata maji. Labda sijui walitangaza kutakuwa na mgao wa maji, lakini hakuna mgao unaokwenda mpaka wiki nzima bila maji kutoka. Tunajipa matumaini labda maji yatatoka usiku lakini wapi! Nilitegemea mvua nyingi zilizonyesha hivi karibuni...
  3. comte

    JamiiForums Tanzania Iko hatari ya bandari kubaki bandari bila mizigo

    Ukiingia kwenye mtandao wa SPLASH 247.COM utaona makampuni ya usafirishaji wa mizigo duniani yanavyoshidana kumiliki pia bandari maeneo mbalimbali duniani. Hii inaashiria kuwa kila mwenye mizigo atapeleka kwenye bandari zake tu labda alazimike kufanya pale ambapo hatakuwa na namna...
  4. Suley2019

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mahakama yaamuru aliyetolewa kwenye kundi la WhatsApp bila ridhaa yake arejeshwe

    Mahakama ya Jijini Kampala imetoa agizo kwa msimamizi wa kikundi cha WhatsApp (Admin), Allan Asinguza, kumrudisha tena mwanachama, Bwana Herbert Baitwababo, ambaye inasemekana aliondolewa bila ridhaa yake. Hakimu wa Mahakama ya Makindye, Bwana Igga Adiru, amemuagiza bwana Allan Asinguza, ambaye...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Mpangaji sema unataka kupanga wapi mwenye nyumba akujibu mmalizane bila udalali

    Kwema Wakuu, Mambo yasiwe mengi, changamoto za kutafuta nyumba na kukutana na madalali tunazijua, hivyo kama wewe ni mpangaji unatafuta nyumba au mwenye nyumba unatafuta mpangaji, njoo hapa sema hitaji lako na wenye uhitaji kupata anachohitaji. Mpangaji Aina ya nyumba: Appartment / stand alone...
  6. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Itawezekana kufika nchi ya ahadi bila uhuru?

    Wengi sana wamekua wakitazama nadharia ya uhuru katika sura ya kawaida tofauti kidogo na mimi,Mimi nautazama Uhuru kwa njia ya kifalsafa zaidi. Ili taifa liitwe taifa huru Kuna mambo makuu manne yanatakiwa kuzingatiwa ninaweza kusema pia ndio msingi wa maendeleo na jamii imara 1- Taifa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Bila aibu wala woga, CCM yaitangazia dunia kuwa hakuna Mtanzania mwenye uadilifu!

    Baada ya CCM kuitangazia dunia... Kwamba Watanzania hatuna mwenye uwezo wa kusimamia uendeshaji wa chombo kama Bandari kwa uadilifu! Kwamba Watanzania kwa ujumla wetu ni watu wasio na uaminifu katika utendaji wa kazi popote pale tulipo, Kwamba Watanzania kwa tabia sisi ni wadokozi, wala rushwa...
  8. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kwanini watanzania wanapuuza ndugu zao kwenye shida zinazowaua, lakini huwa na umoja misibani?

    Inaweza kuwa mtu hana chakula, kaomba msaada wa chakula kwa kaka, dada au ndugu zake lakini bila bila, afe sasa !! hata kama msiba upo mtwara, ndugu waliopo kagera watafika na kuchangia . Inaweza kuwa ni ugonjwa, mgonjwa kaomba msaada wa matibabu lakini anafungiwa vioo, ni mpaka afe ndio ndugu...
  9. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Hii nchi ni rahisi kupata pesa. Kijana usikubali kukaa bila pesa

    Mwone kijana mwenzako huyu ana pesa. Tanzania pesa kila sehemu zimejaa, shambani, sokoni, kazini, mitaani. Ni wewe tu kutumia akili kidogo unazipata.
  10. kavulata

    JamiiForums Tanzania Jiji bila timu ya ligi kuu ni kama kuvaa fulana bila bukta

    Mji kuitwa Jiji sio lelemama. Jiji huwa na vitu vingi sana kuliko mji na halmashauri. Unapoona jiji linashindwa kuwa na timu ya ligi kuu ni ama hilo Jiji limeharakishwa kuitwa Jiji kisiasa au viongozi wa hilo Jiji hawapaswi kuongoza hilo Jiji. Mpira unapendwa duniani kote na unatoa Burudani na...
  11. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Hivi bila kuwapo shetani Dini na Mungu zingekuwapo?

    Dini zote nyemelezi zinatuaminisha kuwa Mungu aliumba kila kitu zikiwemo dhambi, shetani, kifo na mabaya yote. Je kwanini Mungu aliumba shetani kama lao siyo moja? Je bila shetani, dini na Mungu vingekuwa na mashiko au pa kujificha? Je shetani ni nani? Je ni mbaya kama tunavyoaminishwa? Yeye...
  12. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania SoC03 Hakuna haki bila uwajibikaji, Hakuna uwajibikaji bila uamuzi, Hakuna uamuzi bila uhuru

    HAKUNA HAKI BILA UWAJIBIKAJI, HAKUNA UWAJIBIKAJI BILA UAMUZI, HAKUNA UAMUZI BILA UHURU. Uhusiano kati ya Haki, Uwajibikaji, Uhuru na Uamuzi: Kuelewa umuhimu wake katika Maendeleo ya Jamii Na: MwlRCT I. UTANGULIZI Haki, uwajibikaji, uhuru na uamuzi ni mambo ambayo yanashirikiana kwa karibu...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Malalamiko ya magari ya Mwendokasi kwenda kwa kasi Kariakoo bila kujali kuna idadi kubwa ya watu

    Mdau wa Jamii Forums ameandika malalamiko yake kuhusu mabasi yaendayo haraka Jijini Dar es Salaam Magari ya Mwendokasi yanapita kwa kasi kubwa sana hapa Kariakoo, na nature ya Kariakoo ni watu wengi ndani ya huu mwezi magari hayo yameua zaidi ya watu wanne hapa kwenye Barabara inayotumiwa na...
  14. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Ni bidhaa gani naweza kuziuza nikiwa na gari au Bajaji, Gari Duka

    Wanakijiji wa JamiiForums mimi nipo Dar saivi ninafikiria jambo fulani la kujikwamua kiuchumi ila hii kidogo naipigia mahesabu kitofauti nataka ninunue ka-ist au bajaji then ukiachilia mbali sijui kusafirisha watu sijui uber au bolt nataka hicho chombo nitakachonunua kiwe ndio duka lenyewe...
  15. and 998 others

    JamiiForums Tanzania DP World amepata Bandari bila kupingwa

    Kama mjuavyo sheria ya manunuzi ya Umma (nimeambatanisha) inataka tenda itangazwe, wachujwe wenye sifa kabla ya kupewa mkataba, Ila haielewek DP World kashindaje hii tenda/deal? Handpicked?
  16. D

    JamiiForums Tanzania Amos Makalla amshambulia Freeman Mbowe mbele ya Rais Samia

    Picha: Kushoto ni Freeman Mbowe, Kulia ni Amosi Makalla Katika hatua ya kuonesha kujipendekeza kulikopitiliza, RC Amos Makalla amesema: "Rais Samia Kuna watu eti wanakukosoa kwa maboresho ya Bandari zetu ilhali umefanya jambo hilo kwa uwazi Bungeni kama Azimio. Yeye Mbowe (Freeman) hasemi kama...
  17. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kubadili simu yangu bila kuathiri data zangu zote za WhatsApp na vyote toka simu ya awali?

    Nawezaje kubadili simu yangu bila kuathiri data zangu zote za WhatsApp na vyote toka simu ya awali? What can I do? Help?
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mkurugenzi wa zamani wa Manispaa ya Temeke, Lusubilo Mwakabibi yafikisha siku 660 bila upelelezi kukamilika

    Upelelezi katika kesi ya Uhujumu Uchumi inayomkabili, aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke, Lusubilo Mwakabibi na Mratibu wa Mradi wa Uendelezaji Jiji la Dar es Salaam (DMDP) Edward Haule, bado haujakamilika. Mwakabibi na Haule, wanakabiliwa na mashtaka mawili ya matumizi mabaya ya...
  19. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Michael Jackson aliinama mbele digrii 45 mgongo ukiwa umenyooka kwenye ''Smooth Criminal Lean Dance'' bila msaada

    Kumekuwa na debate kubwa kuhusu uchezaji wa Michael Jackson kwenye wimbo wa Smooth Criminal, kuna ile dance aliinama digrii 45 akiwa sakafuni mgongo ukiwa umenyooka, alikaa sekunde kadhaa kabla ya kurudi wima. Wataalamu wa uti wa mgongo wanaonya wengine dhidi ya kujaribu hatua inayoweza...
  20. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Mbowe analaumiwa bila sababu

    Mbowe amesema rais huyu mwenye asili ya Unguja anauza ardhi ya Tanganyika nyingi kuliko marais ambao asili yao ni Tanganyika. Sasa amekosea nini? Siyo hivyo tu, rais huyu ambaye hakuchaguliwa na wananchi anauza mali za nchi nyingi kuliko rais waliochaguliwa na wananchi. Huyu ni rais ambaye ni...
Back
Top Bottom