bila

The Battalions of Light Infantry of Africa (French: Bataillons d'Infanterie Légère d'Afrique or BILA), better known under the acronym Bat' d'Af', were French infantry and construction units, serving in Northern Africa, made up of men with prison records who still had to do their military service or soldiers with serious disciplinary records.

View More On Wikipedia.org
  1. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Je, mtu unaweza kufunga ndoa kanisani bila kusaini lile karatasi?

    Tunaambiwa kwamba kuendelea kuishi pamoja na kuzaa watoto bila kufunga ndoa kanisani ni uzinzi na kumchukiza Mungu. Sasa na mimi nauliza, naweza kwenda kanisani kufunga ndoa bila kusaini chochote? Yaani taratibu zoote za kanisa na mashahidi wawepo kushuhudia ndoa, ila sitaki kusaini chochote...
  2. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Nimehamisha meseji za simu ya binti niliedhamiria kutoka nae, hayupo kama nilivyodhania. Ni mzinzi anayepanga wanaume bila wao kujua

    Binti anawapanga Wanaume zaidi ya watatu kwa mpigo bila wao kujuana na kujua kwamba wapo wenyewe. Ipo hivi wakuu, huyu mwanamke ni binti anauza duka la karibu na ofisi yangu (mimi ni seremala ) ambae si tu kwangu ila ni wengi huwa tunamuona katulia, basi nami nikaona nijaribu kumtupia...
  3. tang'ana

    JamiiForums Tanzania Wife katoka out bila kunijulisha

    Niko mjini Dublin-Ireland kikazi, so hii sikukuu ya pasaka haijanikutia huko bongo. Juzi ijumaa tuliongea kwa kirefu tu na wife aliyeko huko bongo na nikawatumia kama pound 1000 hivi kwa ajili ya sikukuu coz aliniambia kuna wageni wake wangemtembelea. Leo siku nzima hajanitafuta, jioni hii kwa...
  4. figganigga

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli ilikuwa Lazima yamkute. Tsh bilioni 8.26 za washtakiwa alibeba Biswalo bila kuwepo na 'Plea bargaining’

    Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere amebaini kuwa aliyekuwa Mkurugenzi wa mashitaka (DPP), Biswalo Mganga na maafisa wake walikiuka taratibu za mchakato wa kisheria wa makubaliano ya kukiri kosa (plea bargaining). CAG amesema mchakato huo ulikuwa na matumizi ya...
  5. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Tanzania haijapate Mwinjilisti Mwingine mwenye nguvu kitaifa kama Moses Kulola sababu aliondoka bila kukabidhi mtu kipawa alichokuwa nacho

    Viongozi wote wakubwa wenye vipawa vikubwa kwenye Biblia kabla kuondoka duniani walikabidhi vipawa vyao kwa watu wengine specific.Musa alikabidhi kwa Joshua na Eliya alikabidhi kwa Elisha na baada ya kukabidhiwa wakabidhiwa walifanya maajabu makubwa Moses Kulola alikuwa Mwinjilisti...
  6. wajingawatu

    JamiiForums Tanzania Barabara za mitaani ndani ya Manispaa ya Morogoro ni miaka mitatu sasa bila matengenezo: Je, TARURA Morogoro Mpo?

    Barabara za mitaani ndani ya Manispaa ya Morogoro zimeharibika hadi kero. Ndugu zetu wahusika, yaani TARURA, wanavuta mpunga tu na kuotesha vitambi bila kujali wakazi wa Manispaa hi pendwa wanateseka kwa barabara zetu kukosa matengenezo. Ubovu wa barabara hizi ni wa muda mrefu, yapata miaka...
  7. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Simba SC haiwezi kuwa kubwa bila kupigana na wakubwa

    Lazima tukiri kuwa tumepata mpinzani mgumu kwenye hatua ya Robo Fainali, na pengine ni mpinzani mgumu zaidi tangu tuanze kushiriki hatua hii. Hapa unamzungumzia bingwa mtetezi, unamzungumzia mshiriki wa Club World Cup, unazungumzia timu yenye wachezaji waliotoka Nusu Fainali ya Kombe la Dunia...
  8. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Lengai Ole Sabaya aachiwa Huru kwa sharti la kutofanya kosa la Jinai kwa kipindi cha mwaka mmoja

    Aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya, ambaye amekuwa akikabiliwa mashtaka saba ikiwemo uhujumu uchumi, matumizi mabaya ya madaraka na kuongoza genge la uhalifu leo Aprili 05, 2023 ameachiliwa huru. Taarifa zaidi zitakujia hapa hapa baadae. Chanzo: Jambo...
  9. NAFIKIRE

    JamiiForums Tanzania Rais Samia usipite bila kusoma ujumbe huu

    Mama Hongera tena hongera sana sana. Ninaamini bado sijachelewa sana kukupongeza kwa kazi kubwa uliofanya ndani ya miaka miwili iliyopita ya kuiongoza nchi yetu kwa uongozi wako uliotukuka. Hongera sana. Mama ninakupongeza kwa kukamilisha miaka miwili ya uongozi wa nchi yetu ukiwa kama rais na...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya wadada ukiwatongoza, wanajibu kikatili bila sababu?

    Utakuta unamu-approach mdada kistaarabu uanzishe naye mahusiano ya kimapenzi, ambayo pengine yataishia kwenye ndoa, sometimes unachukua namba yake unachat nae kistaarabu, aloo majibu anayojibu unajiuliza sababu ya kukujibu hivyo huoni, useme labda alikukataa halafu unaendelea kumsumbua hakuna...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Ni Tanzania tu, tunakotaka mabadiliko bila vitendo

    Watanzania wamekereka kweli kweli na wanataka mabadiliko. Wanataka katiba mpya. Wanataka wabadhirifu wawajibishwe. Wanataka utawala bora, hawataki uwakilishi wa walamba asali au wa wahuni nk. Yote mema kabisa. Tatizo kubwa ni kuwa wanayataka mema hayo wakiwa unorganized. Matokeo yake wamekuwa...
  12. hugochavez

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ampongeza Marehemu Askofu Chengula kwa kukemea ushoga na mapenzi ya jinsia moja

    Ilikuwa leo katika ibada maalum ya kumuaga Marehemu askofu wa Jimbo kuu la wakatoliki Mbeya iliyofanyika Makao makuu ya baraza la maaskofu Tanzania Kurasini jijini DSM. Alipopata fursa ya kutoa salam Mh Rais Magufuli alisema sitamumunya maneno, Nampongeza marehemu askofu Chengula kwa mema...
  13. Mnaa200

    JamiiForums Tanzania Hivi itachukua miaka mingapi Tanzania ijiendeshe bila misaada?

    Wajuzi na watabiri wa mambo naombeni mnisaidie itachukua miaka mingapi nchi yetu ijiendeshe yenyewe. Ni aibu kwa taifa lilopata Uhuru zaidi ya miaka sitini tunaagiza chumvi,sukari na mchele n.k nje ya nchi.
  14. Mystery

    JamiiForums Tanzania Tumsaidie Rais wetu kwa kuwazomea hawa wezi wa Mali ya Umma bila kuchoka

    Tumesikia madudu ya kutisha, kama yalivyobainishwa na CAG, namna watanzania wenzetu, wasio na uzalendo hata kidogo, namna wanavyotafuna fedha zetu za Umma bila woga, Kwa kutuibia mabilioni ya pesa. Hivi Hawa watumishi wachache wa Umma, wanatuona watanzania wote kuwa ni wajinga? Hivi hizi...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Ruvuma: Nguzo za Daraja la Mto Muhuwesi zadaiwa kufikisha miaka minne bila kufanyiwa marekebisho

    Hizi picha hapa chini zinadaiwa ni za daraja la mto Muhuwesi wilayani Tunduru mkoani Ruvuma. Inadaiwa kwamba inakaribia mwaka wa nne sasa tangu nguzo zake zicheze na halijafanyiwa marekebisho hivyo inalazimika gari zote zipite upande mmoja. ====== UPDATES ======= Ufafanuzi wa Mkuu wa Wilaya...
  16. Q

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio Wabunge waliopita bila kupingwa (2020) ambao Mahakama imesema ni batili

    Wabunge waliopita bila kupingwa (2020) na majimbo yao kwenye mabano. 1. Hamis Kigwangalla (Nzega Vijijini) 2. Kassim Majaliwa (Ruangwa) 3. Nape Nnauye (Mtama) 4. Vita Kawawa (Namtumbo) 5. Sagini Abdallah (Butiama) 6. Alexander Mnyeti (Misungwi) 7. January Makamba (Bumbuli) 8. Elias Kwandikwa...
  17. Q

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu: Kutangaza Washindi wa Uchaguzi waliopita bila kupingwa ni Kinyume cha Katiba

    Mahakama Kuu Tanzania imeamuru hakuna wagombea Ubunge, Udiwani wala Wenyeviti wa S/Mitaa/Vijiji/Vitongoji kupita bila kupingwa. Imetamka vifungu hivyo ni BATILI vinakwenda kinyume na Katiba. ---
  18. The Boss

    JamiiForums Tanzania Taifa Stars, kwanini tunataka kuvuna bila kupanda?

    Kila mara inapocheza Taifa stars huwa nashangaa jinsi watu wazima wenye akili wakiwa busy kusubiri kuvuna sehemu ambapo hatujawahi kupanda kabisa. Binafsi huwa sifatilii kabisa mechi za stars na huwa sishangai tukifungwa, hata kama tukiweza kubahatisha kwenda AFCON tutaenda kufungwa nyingi na...
  19. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mwita Waitara amwaga machozi mbele ya Wanahabari

    Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, Mwita Waitara ameilalamikia Serikali ya mkoa wa Mara kwa kutomshirikisha katika zoezi la uwekaji wa vigingi vya mipaka katika hifadhi ya Serengeti. Waitara ametoa malalamiko hayo leo mach 28, 2023 jijini Dodoma wakati akizungumza na waandishi wa habari...
  20. Nyamwage

    JamiiForums Tanzania Dynamic island feature ambayo ipo kwenye iPhone 14 pro sasa inafanya kazi kwenye android yoyote bila kuwa na usumbufu wa ADs

    App inaitwa dynamic spot hii inawafaa wale wanaopenda kulemba mionekano ya simu zao
Back
Top Bottom