Rais Putin anaongea sana bila vitendo

Nelson Jacob Kagame

JF-Expert Member
Dec 26, 2022
9,473
12,858
Mwanzo aliwatisha wale watakaoisaidia Ukraine kwenye vita kua watakiona cha mtema kuni na atawageuza kuni, ila mpaka leo yupo kimya na Ukraine inasaidiwa mpaka na majirani zake kama Poland, Lithuania, Germany and ect.

Juzi anasema ataipiga mahakama ya ICC pale the hague kwa hypersonic bomb,s.Putin kama kashindwa kuipiga Kiev kwa hypersonic bomb, na kuichukua kijeshi ni vipi ataipiga Uholanzi?

Putin ana tofauti na viongozi wa kidini wa Iran maana wao kila siku Oooh tutaipoteza Israel kwenye ramani ya dunia kwa makombora ya nyukilia ila mpaka leo ni ngojera tu".

Mwanaume waga haongei ngonjera anafanya vitendo kama alivyofanya Iddi Amini Dada kwa Tanzania mwaka 1978.

Putin anaongea sana ana tofauti na viongozi wa Korea Kaskazini nao wanaongea sana ngonjera za vitisho ila vitendo zero kuhusu kushambulia Seoul kwa makombora ya nyukilia.Putin akishakunywa vodka anaongea sana kama ana sonona kwenye moyo wake.
 
Temea mate chini,,!

Ulaya Magharibi, wanajua anachosema,,! Ila Wewe endelea kuota,,!
Afanye basi aache ngonjera kama Mahayatolah wa Iran au viongozi wa Korea Kaskazini.Mbona alisema watakaoisaidia Ukraine watakiona cha mtema kuni lakini mpaka leo Germany,Poland,Latvia na Finland zinaisaidia Ukraine na hawajakiona hicho cha mtema kuni msomi?????
 
Huoni kama wameona cha mtema kuni?uchumi WA nchi hizo sasa hivi umeterereka kila siku maandamano hayaishi nchi za ulaya,wafanyakazi wanagoma nchi nyingi za ulaya sio lazima vita mzee.nyie Team NATO kila siku nawaambia tumieni Akili.
 
Acha siasa mkuu sote watu wazima hapa🤣🤣🤣.cha mtema kuni alichomaanisha Putin alisema atawavamia kijeshi.
 
Huoni kama wameona cha mtema kuni?uchumi WA nchi hizo sasa hivi umeterereka kila siku maandamano hayaishi nchi za ulaya,wafanyakazi wanagoma nchi nyingi za ulaya sio lazima vita mzee.nyie Team NATO kila siku nawaambia tumieni Akili.
Mkuu ulisikia ile hotuba yake au unaleta ushabiki penye ukweli ??????
 
Tumia Akili mkuu kwani Russia avamie hizo nchi Kwa yenyewe imewamiwa?tumia Akili mkuu.atapigana na hizo nchi za NATO iwapo watajitosa moja Kwa moja kwenye vita vya ukraine.kwanini nyie Team NATO hamuwezi kufikiri kiasi hicho?
Tumia akili mkuu kwani Putin alipokua anazitisha nchi nyingine alikua anamaanisha nini.Mbona unakua msemaji wa putin kubadilisha alichokisema.Au msomi baada ya malengo yake kivita kutofikiwa basi anazikana kauli zake adharani???
 
We bwege ni nchi gani mpaka sasa imeingiza jeshi lake ukraine kupigana na urusi? kutuma siraha ni mtindo wa kawaida kwa kila nchi rafiki kusaidia taifa rafiki lishinde vita..
ikitaka kujua Putin hatanii... wambieni hao nato watume jeshi nchini Ukraine ndo utakapopata jibu sahihi la swali lako
 
Mimi bwege tena mkuu.Msaada wa kijeshi au mchango wa kivita wewe unajua ni askari wa miguu tu au kutuma silaha???.Putin hana tofauti Mussolini maneno meengi vitendo zero.Afu mkuu mbona huko very emotional kuliko sisi tulioishi urusi na kujua hali halisi ya siasa za kule.
 
Jamaa alikuwa na ndaro sana mpaka Finland na Sweden waliogopa lakini kumbe akiona kweli anaufyata balaa, sasa Finalnd na Sweden zinaenda zake NATO mchana kweupe
 
Jamaa alikuwa na ndaro sana mpaka Finland na Sweden waliogopa lakini kumbe akiona kweli anaufyata balaa, sasa Finalnd na Sweden zinaenda zake NATO mchana kweupe
Si alisema Finland na Sweden zikijiunga na NATO zitakumbana na matokeo mabaya na anaweza kuzivamia.Tatizo la watawala wa sasa wa Russia wanaongea sana bila vitendo.
 
.
Screenshot_20230324-125334.jpg
 
We bwege ni nchi gani mpaka sasa imeingiza jeshi lake ukraine kupigana na urusi? kutuma siraha ni mtindo wa kawaida kwa kila nchi rafiki kusaidia taifa rafiki lishinde vita..
ikitaka kujua Putin hatanii... wambieni hao nato watume jeshi nchini Ukraine ndo utakapopata jibu sahihi la swali lako

tuanzie hapa
“yeyote atakae ingilia oparation hii. jibu la rusia litakua ni lahapo kwa hapo. bila kuchelewa na matokeo yake yatakua ni ambayo hajawahi kukutana nayo katika historia yake. “

kauli ya putin ilikua hio apo. hayo mengine mnayoleta ni kuhamisha magoal tu.
 
Back
Top Bottom