Stress Challenger
JF-Expert Member
- Feb 24, 2022
- 1,778
- 4,282
Mama usiogope. Weka sahihi wale wote wamehukumiwa kihalali kunyongwa hadi kufa wanyongwe tena hadharani mbele ya kadamnasi.
Temana na hivi vikundi uchwara wa haki za binadamu. Tia sahihi waliohukumiwa kunyongwa wanyongwe hadi kufa. Tena wote kwa mkupuo iwe funzo. Watu wanaua hovyo hovyo tu wakidhani wataponyoka. Sheria hii ya kunyonga ikitekelezwa wauaji watashikwa na hofu. Na hii hali itapungua.
Kijana mdogo tu kafa kwa ajili ya simu tu. Anatembea anarudi nyumbani kwake vibaka wawili wakagonga kwa nguvu na jiwe kisogoni akaanguka na kufa na kumnyang'anya simu. Sasa hao wakishikwa si kuwanyonga tu.
Mama ukiletewa mafaili usiogope mwaga wino. Mungu atakubariki zaidi.