bila

The Battalions of Light Infantry of Africa (French: Bataillons d'Infanterie Légère d'Afrique or BILA), better known under the acronym Bat' d'Af', were French infantry and construction units, serving in Northern Africa, made up of men with prison records who still had to do their military service or soldiers with serious disciplinary records.

View More On Wikipedia.org
  1. H

    Hivi watu wanaozama ndani ya maji na kukaa zaidi ya dakika 1 bila mashine wanatumia mbinu gani?

    Heri ya sikukuu ya Iddi Jamani. Tusahau kidogo mada ngumungumu na mada za mmu. Leo sikukuu angalau tupunzishe akili na kusahau kidogo shida. Nimewahi kusikia kuna wajuvi wanaweza kwenda ndani ya maji zaidi ya nusu saa,Mimi sijawahi kushuhudia hiyo kitu Sasa sijui Kama ni kweli au story za...
  2. F

    Tusinunue ndege bila kuwa na business plan. Rwanda Air waanza safari za Paris

    Tumekuwa tukifurahia kununua ndege za gharama kubwa na serikali yote kufurahia kwenda kuzipokea uwanjani kwa bashasha na sherehe kubwa. Kinachofuata baada ya hapo ni kupaki ndege viwanjani miaka kadhaa baada ya kuzinunua. Lakini jirani zetu Rwanda wana business plan na ndege zao. RwandAir to...
  3. Wakuu naombeni msaada juu ya kuagiza Alibaba, bila kutumia njia zao za usafiri

    Nimekuwa nikiagiza mizigo AliExpress kwa muda Sasa ,, nataka tumia alibaba kwa baadhi ya mizigo Nimechat na seller kanitumia link na nili inquiry logistics company akanipa cheapest Ni Dola 30USD Njia za Alibaba zinaonekana Ni fast Sana Ila Zina Bei Sana Nasikia Kuna silent ocean nisaidieni...
  4. Kigwangalla: Sisi Wabunge tuliopita bila kupingwa tunatembea kifua mbele kwakuwa tupo Bungeni kihalali

    Mbunge wa Nzega na Waziri wa zamani, Hamis Kigwangalla amesema haoni tatizo kwa Wabunge kipita bila kupingwa kwa kuwa wapo Bungeni kihalali kabisa licha ya uamuzi wa Mahakama Kuu wa hivi karibuni kueleza kuwa utaratibu huo uko kinyume na sheria.
  5. R

    Mbunge anataka uwazi kwenye ajira Bila kutafakari mfumo wa uwazi katika Teuzi za Rais?

    Usiri uliopo kwenye ajira Tanzania unatokana na usiri uliopo katika mfumo wa uteuzi. Kama wakubwa wanapatikana Bila kuwepo mfumo rasmi basi hata wadogo nao watapatikana Kwa usiri mkubwa. Kama tunataka uwazi katika ajira na kama tunataka ajira ziwe by merits basi tumshauri Mhe. Rais afanye...
  6. R

    Namtafuta fundi Mtaalamu wa kufungua combination lock bila kuvunja

    Habari za muda huu wakuu. Nina sanduku linatumia combination lock system, bahati mbaya nime sahau hizo code namber. Najua humu kuna watu walisoma topic ya Permutation katika advanced maths enzi hizo, sijui sasa kama bado ipo. Tafadhali naomba usaidizi wenu au 'tricks' za kufungua sanduku...
  7. Maisha haya bila kuwa na mahusiano, utaona dunia ni chungu

    Kila utakayekutana naye, utakuwa unamkasirikia; atakaye kusemesha neno dogo tu, unamjibu kwa ukali; ukiona uzi wa masham sham unakasirika: hii ni ishara ya kukosa mahusiano sahihi. Ndio, ni kweli hapa duniani kuna changamoto nyingi, hasa za kiutafutaji ili kuweza kupata mkate wa kila siku; zipo...
  8. Serikali yaongeza bajeti ya elimu bila ada kwa asilimia 15

    Elimu bila ada kwa shule za shule za msingi na sekondari imeongezewa kwa asilimia 15.34 kwa mwaka ujao wa fedha 2023/24 ikilinganishwa na bajeti iliyoidhinishwa katika mwaka wa fedha wa unaomalizika wa 2022/23. Hotuba ya Makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2023 /24...
  9. Je, mtu unaweza kufunga ndoa kanisani bila kusaini lile karatasi?

    Tunaambiwa kwamba kuendelea kuishi pamoja na kuzaa watoto bila kufunga ndoa kanisani ni uzinzi na kumchukiza Mungu. Sasa na mimi nauliza, naweza kwenda kanisani kufunga ndoa bila kusaini chochote? Yaani taratibu zoote za kanisa na mashahidi wawepo kushuhudia ndoa, ila sitaki kusaini chochote...
  10. Nimehamisha meseji za simu ya binti niliedhamiria kutoka nae, hayupo kama nilivyodhania. Ni mzinzi anayepanga wanaume bila wao kujua

    Binti anawapanga Wanaume zaidi ya watatu kwa mpigo bila wao kujuana na kujua kwamba wapo wenyewe. Ipo hivi wakuu, huyu mwanamke ni binti anauza duka la karibu na ofisi yangu (mimi ni seremala ) ambae si tu kwangu ila ni wengi huwa tunamuona katulia, basi nami nikaona nijaribu kumtupia...
  11. Wife katoka out bila kunijulisha

    Niko mjini Dublin-Ireland kikazi, so hii sikukuu ya pasaka haijanikutia huko bongo. Juzi ijumaa tuliongea kwa kirefu tu na wife aliyeko huko bongo na nikawatumia kama pound 1000 hivi kwa ajili ya sikukuu coz aliniambia kuna wageni wake wangemtembelea. Leo siku nzima hajanitafuta, jioni hii kwa...
  12. Hayati Magufuli ilikuwa Lazima yamkute. Tsh bilioni 8.26 za washtakiwa alibeba Biswalo bila kuwepo na 'Plea bargaining’

    Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere amebaini kuwa aliyekuwa Mkurugenzi wa mashitaka (DPP), Biswalo Mganga na maafisa wake walikiuka taratibu za mchakato wa kisheria wa makubaliano ya kukiri kosa (plea bargaining). CAG amesema mchakato huo ulikuwa na matumizi ya...
  13. Tanzania haijapate Mwinjilisti Mwingine mwenye nguvu kitaifa kama Moses Kulola sababu aliondoka bila kukabidhi mtu kipawa alichokuwa nacho

    Viongozi wote wakubwa wenye vipawa vikubwa kwenye Biblia kabla kuondoka duniani walikabidhi vipawa vyao kwa watu wengine specific.Musa alikabidhi kwa Joshua na Eliya alikabidhi kwa Elisha na baada ya kukabidhiwa wakabidhiwa walifanya maajabu makubwa Moses Kulola alikuwa Mwinjilisti...
  14. Barabara za mitaani ndani ya Manispaa ya Morogoro ni miaka mitatu sasa bila matengenezo: Je, TARURA Morogoro Mpo?

    Barabara za mitaani ndani ya Manispaa ya Morogoro zimeharibika hadi kero. Ndugu zetu wahusika, yaani TARURA, wanavuta mpunga tu na kuotesha vitambi bila kujali wakazi wa Manispaa hi pendwa wanateseka kwa barabara zetu kukosa matengenezo. Ubovu wa barabara hizi ni wa muda mrefu, yapata miaka...
  15. Simba SC haiwezi kuwa kubwa bila kupigana na wakubwa

    Lazima tukiri kuwa tumepata mpinzani mgumu kwenye hatua ya Robo Fainali, na pengine ni mpinzani mgumu zaidi tangu tuanze kushiriki hatua hii. Hapa unamzungumzia bingwa mtetezi, unamzungumzia mshiriki wa Club World Cup, unazungumzia timu yenye wachezaji waliotoka Nusu Fainali ya Kombe la Dunia...
  16. Lengai Ole Sabaya aachiwa Huru kwa sharti la kutofanya kosa la Jinai kwa kipindi cha mwaka mmoja

    Aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya, ambaye amekuwa akikabiliwa mashtaka saba ikiwemo uhujumu uchumi, matumizi mabaya ya madaraka na kuongoza genge la uhalifu leo Aprili 05, 2023 ameachiliwa huru. Taarifa zaidi zitakujia hapa hapa baadae. Chanzo: Jambo...
  17. Rais Samia usipite bila kusoma ujumbe huu

    Mama Hongera tena hongera sana sana. Ninaamini bado sijachelewa sana kukupongeza kwa kazi kubwa uliofanya ndani ya miaka miwili iliyopita ya kuiongoza nchi yetu kwa uongozi wako uliotukuka. Hongera sana. Mama ninakupongeza kwa kukamilisha miaka miwili ya uongozi wa nchi yetu ukiwa kama rais na...
  18. B

    Kwanini baadhi ya wadada ukiwatongoza, wanajibu kikatili bila sababu?

    Utakuta unamu-approach mdada kistaarabu uanzishe naye mahusiano ya kimapenzi, ambayo pengine yataishia kwenye ndoa, sometimes unachukua namba yake unachat nae kistaarabu, aloo majibu anayojibu unajiuliza sababu ya kukujibu hivyo huoni, useme labda alikukataa halafu unaendelea kumsumbua hakuna...
  19. B

    Ni Tanzania tu, tunakotaka mabadiliko bila vitendo

    Watanzania wamekereka kweli kweli na wanataka mabadiliko. Wanataka katiba mpya. Wanataka wabadhirifu wawajibishwe. Wanataka utawala bora, hawataki uwakilishi wa walamba asali au wa wahuni nk. Yote mema kabisa. Tatizo kubwa ni kuwa wanayataka mema hayo wakiwa unorganized. Matokeo yake wamekuwa...
  20. Rais Magufuli ampongeza Marehemu Askofu Chengula kwa kukemea ushoga na mapenzi ya jinsia moja

    Ilikuwa leo katika ibada maalum ya kumuaga Marehemu askofu wa Jimbo kuu la wakatoliki Mbeya iliyofanyika Makao makuu ya baraza la maaskofu Tanzania Kurasini jijini DSM. Alipopata fursa ya kutoa salam Mh Rais Magufuli alisema sitamumunya maneno, Nampongeza marehemu askofu Chengula kwa mema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…