OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,242
- 103,943
Bila salamu!
Sifa nyingi anazo, msikivu, mtamu, ana tako, mpambanaji, ana heshima, mvumilivu na kadhalika. Na mimi hapa nimemuelewa, ila kwa sasa tatizo naloliona ni moja tu.
Anajaza ndugu sana kwake. Ananishi chumba na sebule lakini wageni hawakauki. Kwa wiki mara 2 mpaka tatu. Kuna nyakati wanaweza kuwa hata wanne, najiuliza wanalalaje pale.
Bado ni mtu anayejitafuta kimaisha naona kama atachelewa kufanya maendeleo kwa sababu matumizi ya kuhudumia ndugu ni makubwa kuliko kipato. Hata hela anazonichuna nyingi ni za kuzidiwa mahitaji ya nyumbani.
Sasa najiuliza kama tu hapo hana nafasi inakuwa hivyoz akihamia kwangu je si itakuwa kama zahanati?
Naambiwa hapa kwamba ndio tabia za waha. Ni kweli? Mnazimuduje?