Wakuu Bado naendelea na maombolezi ya kuachwa na Mwanamke wa ndoto yangu Khadija kimodoo, maymivu ni makali sana nayopitia kuhusu huyu mwanamke siamini ,mpaka saivi hata kazini Leo Mchina amenipa likizo siku mbili nipumzike, nimeshindwa kufanya kazi natetemeka,homa Kali sababu ya mapenzi...