Mambo vipi wadau,
Jamani naomba msaada kujua kampuni inayofanya shipping kwa bei poa kutoka kwenye maduka ya CHINA kama vile ALIEXPRESS AU ALIBABA au Maduka ya US kama Amazon.
Kwa mwenye kujua na utaratibu wake atakua amenisaidia sana.
Nawatakia siku njema.