biashara

  1. JamiiForums Tanzania Leo ni Sabasaba, siku inayojulikana kwa maadhimisho ya biashara nchini Tanzania. Kwa nini biashara nyingi zimefungwa na bodaboda hawajapata wateja?

    Ikiwa leo ni siku ya biashara, wengi wangetarajia shughuli za kiuchumi kushamiri. Badala yake, baadhi ya wafanyabiashara wamefunga maduka yao, huku waendesha bodaboda wakisema idadi ya wateja imepungua. Je, hali hii inatokana na watu wengi kuelekea kwenye shughuli za Sabasaba? Au ni ishara ya...
  2. JamiiForums Tanzania Biashara ya mitumba

    Wadau salami zenu habari za jpili nilikuwa nahitaji msaada kujua maeneo mazuri kwa hapa dar unayoweza kutembeza mtumba wako ukatoka Bei nzuri maana nimezoea sinza sahizi pameshavamiwa,nguo za kiume zile track nauza, maana naona Kama mtaji unataka kukata
  3. JamiiForums Tanzania Biashara ipi nzuri ya nguo au home decoration kwa Kahama

    Hello wapendwa Nataka nihamie Kahama sasa nataka kujua kama Biashara gani iko poa kwa Kahama Mimi nina uzoefu wa nguo za kike na watoto ndio nayoifanya kwa sasa hapa Dar es Salaam ila sasa malengo yangu sio kuuza nguo ni kuuza home decor na vitu vidogovidogo vya matumizi ya nyumbani sijajua...
  4. JamiiForums Tanzania Biashara ambazo huwezi toboa kamwe!

    Hii ni list ya biashara ambazo huwezi toboa kamwe labda upate hela ya kula tu 1; kuuza karanga 2; Machinga 3; Bodaboda 4; Kubet 5; Muuza Chipsi 6; Grocery 7; Kuchoma mahindi - Hadi upate hela ya IST utakuwa umechoka sana! 8; Speculation kwenye hisa kwa pesa ya kuungaunga etc(Hapa wengi sana...
  5. JamiiForums Tanzania Fursa za Kazi za Remote (Mtandaoni) kwa Wataalamu wa IT, Biashara na Anga: Jiunge na Alignerr ($30 - $100+/hr)

    Habari wakuu, Kwa yeyote anayetafuta fursa ya kufanya kazi mtandaoni akiwa nyumbani (Fully Remote), kampuni ya teknolojia ya Alignerr kutoka Marekani (inayomilikiwa na Labelbox) imefungua milango ya ajira kwa wataalamu wa fani mbalimbali nchini Tanzania ili kusaidia kuifundisha na kuinoa mifumo...
  6. JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya forex ilivyonifilisi na kuniacha na madeni

    ...
  7. JamiiForums Tanzania Kufungwa kwa baadhi ya bar kubwa Dar ni fursa ya kupanga upya jiji, si kuua biashara

    Hatua ya mamlaka kufunga baadhi ya bar zilizokuwa zikisababisha kelele na usumbufu kwa wakazi imezua mjadala mkubwa. Lengo halipaswi kuwa kupinga burudani, bali kutafuta namna bora ya kuifanya iendane na ustawi wa jiji. Kwa mtazamo wangu, badala ya kuruhusu kumbi kubwa za burudani kuendelea...
  8. JamiiForums Tanzania Acha kuuza mchanganyiko unapoteza muda, akili na Pesa zako, shtuka

    Wazeee twende speed muda wa salamu hamna tutasalimiana kwenye comment.. Asee Biashara ni nzuri sana kama ukiwa umetuliza akili ukajua unaingia kufanya biashara gani na biashara ya nini... Kuna mambo mawili naomba nirudie 1.Kufanya Biashara 2.Kujua naenda Kufanya biashara ya Kuuza nini Watu...
  9. JamiiForums Tanzania Unakutana na changamoto gani katika biashara / kazi inayoifanya sasa?

    Unazimudu na kuzitatua vipi? 🤔
  10. H

    JamiiForums Tanzania Biashara yako inahitaji mtaji wa kukua? SmartBusiness imekurahisishia!

    Habari njema kwa wajasiriamali na wafanyabiashara! 🎉 Sasa kupitia SmartBusiness, unaweza kuomba mkopo wa biashara kwa urahisi, moja kwa moja ndani ya app. Hakuna safari ndefu wala mchakato mgumu. 💼 Unaweza kutumia mkopo kwa: ✅ Kuongeza bidhaa dukani ✅ Kuongeza mtaji wa biashara ✅ Kuboresha...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Nauza kabati la biashara la Aluminium kwa bei rahisi

    Inafaa kwa wenye maduka ya vipodozi, dispensary, tigo pesa, m-pesa n.k Bei 170k Contact: 0779037093 WhatsApp: 0654537771
  12. R

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mapazia na vyomno vya nyumbani inalipa. Angalia nyumba za wafanyabiashara hao

    Mungu ni mwema. Twende China tulete vyombo vya nyumbani na mapazia. Mchongo mzuri FACT: SIMPLE:- UKITAKA KUJUA MCHONGO GANI ,PATA MAJINA YA YA WAMILIKI Video
  13. JamiiForums Tanzania Siasa kwa wengine ni Biashara, wengine ni Wito, wengine ni fursa ya kujipatia umaarufu

    Hamjambo! Mimi sijambo Unapoingia kwenye siasa usiingie kichwa kichwa kama panya kwenye shimo ambalo hakulichimba. Asilimia kubwa ya watu siasa kwao ni fursa ya kibiashara na kiuchumi. Wao siasa wameingia kwa sababu ya Maslahi Yao ya kiuchumi. Hivyo chochote anachokifanya ndani ya siasa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa 3.5Milioni biashara gani inafaa

    Kwa kijana mwenye umri wa 22yrs mwenye mtaji wa 3.5M apa mjini dsm ungemshauri ajikite kwenye biashara zipi zinakazomfanya atoboe kimaisha baada ya miaka michache?
  15. JamiiForums Tanzania Jamii imara hujengwa kupitia biashara za kurithishana, familia ilio stable na elimu inayokidhi uvumbuzi na ugunduzi. Jamii bora haijengwi kwa dini

    Kila unapopita unaona watoto wa mitaaani wamejaa kila kona. Kila unapopita unakutana na mdada aliezalia nyumbani na jamaa yake hawaelewani. Kila unapopita unakuta baba akifa na biashara ndio imekufa na siku ya msiba watoto na wamama wa nje nao wanaleta kashi kashi wapate mgao. Kila unapopita...
  16. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu usioambiwa kwenye biashara za mijini

    Ndoto Za Wengi Ni kuwa Na Biashara Mijini Hasa Kwenye Frame Ila Ukweli Mchungu Biashara Nyingi Hasa za Uchuuzi Haziendi Zimebaki Ni Za Misimu, Biashara Nyingi za MIjini Hazina Faida ya Moja kwa Moja Zimebaki ni Sehemu Za kutunzia Mitaji/Pesa Kwasababu Ya Gharama kubwa Za Uendeshaji Kama Frame...
  17. JamiiForums Tanzania Nawaonea sana huruma vijana na wanaotaka kuanza biashara maana, sehemu nzuri za biashara zimeshaisha

    Kwa miaka ya sasa hivi million 10 sioni kama ni mtaji tosha katika biashara, hasa hizi biashara za kukaa kusubiri wateja, kwasababu frame za biashara (mahali palipochangamka) ni kama zimeisha na ukipata basi Kodi itakua ni kubwa, au utahitajika kumuondoa mtu, ulipe wanaita kiremba, kwahiyo mtaji...
  18. JamiiForums Tanzania Hatua za kuanzisha biashara kisheria nchini Tanzania

    Elimu ya sheria: Kuhusu namna ya kufanya biashara yako iwe rasmi na inayoaminika kwa kufuata taratibu za kisheria. Kama unataka biashara yako iwe rasmi na ilindwe kisheria nchini Tanzania, fuata hatua hizi: 1: Chagua wazo la biashara. Tambua unataka kuuza nini au kutoa huduma gani. 2: Chagua...
  19. JamiiForums Tanzania Tujifunze biashara ya msosi ni kama ubunifu wa test

    Hii mada sikuweza kuwasilisha vizuri ila nitarudia ili kuachana na uchawi na akili za fulani kanifungulia. Biashara za misosi kitaalamu tunaita kemia ndio maana mtu anaweza kujua hii Pepsi na hii coca cola. Uwezi kwenda sehemu moja kila mtu wanapika kina fanana kama hupo gerezani. Yani leo...
  20. JamiiForums Tanzania Serikali yakana kuuza rasilimali za misitu kwa biashara ya kaboni

    Serikali imesema haijauza wala haijakabidhi rasilimali za misitu au maliasili za Tanzania kwa mataifa ya nje kupitia makubaliano ya biashara ya kaboni, ikisisitiza kuwa hatua zinazoendelea zinalenga kuongeza manufaa ya kiuchumi kwa taifa huku zikilinda maslahi ya wananchi. Akizungumza na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…