Mexico: Chimbuko la Biashara Haramu Duniani

bless on

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2026
Posts
899
Reaction score
2,178
Ukienda Mexico, mzee baba, acha kabisa! Yaani kule hakunaga cha biashara ya reja reja wala nini, kule ndio chimbuko, kiwanda kikuu na jikoni kwenyewe ambako kila aina ya mzigo haramu unapikwa na kusambazwa Marekani na dunia nzima.

Hii biashara inalipa sana kule Mexico, mzee baba Yaani huko mzunguko wa hela sio wa kitoto, tunazungumzia mabilioni ya dola yanayotembea kila uchao.

Mexico Mexico Mexico Wanachimba mamia ya barabara za siri chini ya ardhi kuelekea Marekani. Handaki linaweza kuanzia chumbani kwa mtu kule Mexico na linaenda kuishia ndani ya stoo ya bidhaa upande wa Marekani .
ndani kukiwa na umeme, viyoyozi, na reli kabisa ya kusukuma maboksi ya unga.
 
Unga kama unga
 
Mji kama Culiacan uliopo kwenye state ya Sinaloa,ni mji wa kutengeneza hela ila usiogope Jela wala kifo,
Tijuana ipo karibu kabisa na border ya kuingia California,hapo ndio mizigo inapitia,

Huko ndio kwenye makundi ya wazee wa kazi,kama vile Sinaloa Cartel na Jalisco New Generation Cartel CJNG.
 
Uongoooo!!
Hatupo kwenye zama za mtu kukudanganya jambo,hiyo simu yako ukijua kuitumia itakufanya ubadili huo mtazamo wako,

Zipo underground tunnels nyingi tu,zinaanzia Mexico mpaka US ili kuvusha Drugs,tena humo ndani ya hizo Tunnels kuna mpaka rail or track,kuna Tunnels kibao zinaanzia miji ya Tijuana Mexico na San Diego California.
 
Ukienda Mexico, mzee baba, acha kabisa! Yaani kule hakunaga cha biashara ya reja reja wala nini, kule ndio chimbuko, kiwanda kikuu na jikoni kwenyewe ambako kila aina ya mzigo haramu unapikwa na kusambazwa Marekani na dunia nzima.

Hii biashara inalipa sana kule Mexico, mzee baba Yaani huko mzunguko wa hela sio wa kitoto, tunazungumzia mabilioni ya dola yanayotembea kila uchao.

Mexico Mexico Mexico Wanachimba mamia ya barabara za siri chini ya ardhi kuelekea Marekani. Handaki linaweza kuanzia chumbani kwa mtu kule Mexico na linaenda kuishia ndani ya stoo ya bidhaa upande wa Marekani .
ndani kukiwa na umeme, viyoyozi, na reli kabisa ya kusukuma maboksi ya unga.
Mh🤔🤔🤔
 
OYa we c ndo kw kina tekash uko!!.....mnafer wap sa fursa km izo..kila kitu ninacho mchaw connection tu,gear ya chopa mpk mexico...tukaongee kiparmando kalpito,..eenh mamb ya dispanyora salvdoh....
 
Back
Top Bottom