Mwenye uzoefu wa biashara ya almonds anijuze

Mwenye uzoefu wa biashara ya almonds anijuze

chibe dayo

Member
Joined
Jun 25, 2022
Posts
63
Reaction score
63
Kwema wakuu
Kwa mwenye kufahamu upatikanaji wa almonds kwa bei ya jumla anijuze popote mm nafika
Msaada tafadhali
 
Hivi huwa zinalimwa wapi?
Combo yake na korosho,karanga mbichi, mbegu za maboga na nazi ni noma
 
Sana sana USA upatikanaji ,,, Upatikanaji wake bongo ni wa shida
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom