Ualimu/kuajiriwa halmashauri.
Wazee wa tgs brother hapa usipokuwa mwizi, usipofikiria nje ya box, usipokuwa na determination kali nafasi ya kutoboa itakuwa ni ndogo, kwasababu maisha yatakuwa magumu mpaka utakapostaafu. Ukibadilika ukawq smart ukaongeza ujuzi wako unaweza kupunguza ukali kidogo...
🏪 BIASHARA YA STATIONERY
1. 📚 Nini maana ya biashara ya stationery?
Biashara ya stationery ni biashara inayohusika na uuzaji wa vifaa vya shule, ofisi na uchapishaji, pamoja na kutoa huduma mbalimbali zinazohusiana na nyaraka na huduma za mtandaoni.
2. 🛍️ Vitu vya kuuza katika biashara ya...
Waziri wa Hazina wa Marekani, Scott Bessent, ameeleza kwa undani kuhusu mkakati mkali wa kuibana kiuchumi Iran. Ameonya kuwa serikali ya Trump inaweza kuzinyima benki, makampuni, au taasisi nyingine zinazofanya biashara na utawala huo fursa ya kutumia mfumo wa kifedha unaotegemea Dola ya...
Rais William Ruto ameagiza hatua zichukuliwe dhidi ya raia wa kigeni wanaoendesha biashara ndogo ndogo nchini Kenya, akisema nafasi hizo zinapaswa kuwa kwa Wakenya.
Akizungumza na wafanyabiashara wa Micro, Small and Medium Enterprises (MSMEs) katika Ikulu ya Nairobi Jumatano, Septemba 2, Rais...
Naam kwa mtu unayetaka kuishi kiungwana bila makuu,
Yaani mtu usiye na tamaa na anasa.
''Decent kind of life,''
Wazo ni nje ya mji pahala kwenye makazi mapya ya raia.
KImsingi usubuhi unafungua unafanya uswafi unafyagia fyagia then unarusha tumaji kuondoa vumbiy...kama ni tumaji twa upako nayo...
Mimi namwamini Mungu katika Yesu kristo na President ambitionist
SINA KANISA HUDUMA YANGU NI ONLINE
Anzia page ya 5 post ya 100 ndo mistari inapoanzia na itakupa mambo yafuatayo
Itakupa wazo jipya kwenye fikra zako na mbinu za kufanya ili utoke hapo ulipo
Kama kuna roho chafu itaziondoa...
Biashara ya vifungashio ni miongoni mwa fursa zinazokua kwa kasi nchini Tanzania. Ukuaji wa viwanda vidogo na vya kati (SMEs), pamoja na ongezeko la wajasiriamali wanaozalisha vyakula, vinywaji, vipodozi na bidhaa za matumizi ya nyumbani, umeongeza kwa kiasi kikubwa mahitaji ya vifungashio bora...
Unaweza kununua mahindi, mpunga, maharage, karanga, alizeti, mihogo au mazao mengine kutoka maeneo yenye uzalishaji mkubwa na kuyapeleka kwenye masoko yenye uhitaji. Lakini bila mpango mzuri, biashara hii inaweza kukuletea hasara badala ya faida.
Biashara ya kununua na kusafirisha mazao ni...
Huwa kuna stori nyingi ambazo sio halisia au tuseme wanaosimulia wanaongeza chumvi nyingi lakini inapokuja kwenye uhalisia mambo yanakuwa tofauti kwa muhusika.
Embu tukumbushane wakuu tuliyopitia kwenye biashara na kilimo katika harakati za kujikwamua kiuchumi.
Kuna wale waliambiwa ukilima...
Utangulizi: Mapinduzi ya Fedha za Kidijitali
Katika karne ya 21, ulimwengu umeshuhudia mapinduzi makubwa ya kiteknolojia na kifedha yaliyobadilisha namna tunavyoelewa pesa, umiliki na uhamisho wa thamani.
Moja ya uvumbuzi muhimu zaidi ni Cryptocurrency (fedha za kidijitali). Tangu kuanzishwa...
Timothy ‘Tim’ Cook Draper, bilionea kutoka Marekani, anayejulikana sana kwa uwekezaji wake katika makampuni makubwa ya teknolojia na sarafu za kidijitali (cryptocurrency), ametangaza kuuza kisiwa chake kilichopo Ziwa Tanganyika, Tanzania. Anasema hakitumii vya kutosha. Bei ni $7.9 million (zaidi...
biashara
boss
kisiwa chake kilichopo ziwa tanganyika
kitima
kuuza kisiwa chake
matamko
mtanganyika
mwaka
nyaraka
sababu
timothy ‘tim’ cook draper
wakati
Nahitaji msaada seriously niliweza kua na biashara mahali na ilikua kiasi cha kuweza kuitegemea na kua na ndoto. kwa bahati mbaya wakati wa maandamano mwaka jana niliibiwa kila kitu. Hio hali ilinipelekea kwenye frustration mbaya. Namshukuru Mungu baada ya kukaa sawa kisaikolojia na kukubali...
Biashara ya kuuza carpets rejareja ni moja ya biashara yenye fursa nzuri, hasa kwa sababu watu wanahitaji carpets kwa ajili ya nyumba, ofisi, hoteli, saluni, maduka na maeneo mbalimbali.
Lakini kama ilivyo kwa biashara nyingine, kuwa na bidhaa pekee haitoshi. Unahitaji kujua soko lako, kupata...
Natoa ushauri wa biashara na namna ya kukabiliana na changamoto kwenye biashara
Kujua kama nyota yako ni ya biashara, kiongozi au kuajiriwa kupitia biblia na kujua nyota yako hakuondoi uwajibikaji
Namna ya kupata utajiri kwenye biashara
Namna ya kupata wateja
Namna ya kulinda biashara kikawaida...
Nimekuwa nikifatilia matangazo ya magari kwenye platforms mbalimbali na kuna jambo ambalo linahitaji mabadiliko makubwa.
wauza magari hawatoi taarifa muhimu za magari, kwenye tangazo wanaongea maneno mengi ambayo hayana umuhimu, na kwenye muda wote wanaoongea vitu vya muhimu kuhusu hilo gari...
Habari za muda Huu wadau, Mwenye uzoefu au anayefanya biashara ya Dry cleaner anijuze.
Changamoto za biashara iyo
Faida za biashara
Soko linapatikana vipi (wateja)
nakadhalika...
Asante..
TANZANIA, EU KUIMARISHA USHIRIKIANO WA BIASHARA NA UWEKEZAJI KUELEKEA DIRA 2050
Tanzania na Umoja wa Ulaya (EU) wamekubaliana kuimarisha ushirikiano wa biashara na uwekezaji ili kuchochea ukuaji wa uchumi na kufanikisha utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050.
Hayo yamejadiliwa katika...
abdul hafidh
biashara
binafsi
entebbe
hafidh ameir
hizi
ikulu
kujadili
matairi
mbili
mtoto
mtoto wa
mtoto wa rais
mtoto wa rais samia
na rais
nchi
rais
rais samia
rais wa uganda
samia
sekta
sekta binafsi
uganda
ujumbe
wake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.