Biashara mpya Tanganyika: Majeneza used

Biashara mpya Tanganyika: Majeneza used

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
372,998
Reaction score
864,075
Majeneza ya Kukodi (Casket Rental).. Haya ni sawa na kusema ni 'used'

Kitu pekee kitu pekee sana na chenye faida kubwa lakini hakipatikani kwa urahisi nchini Tanganyika.. Hiki ni kile kinachojulikana kama Rental Caskets (Majeneza ya Kukodi), ambayo hutumiwa zaidi katika nchi za Magharibi:
  • Jinsi yanavyofanya kazi Familia hukodi jeneza la kifahari kwa ajili ya ibada ya kuaga mwili (viewing/funeral service).
  • Ndani yake: Mwili huwekwa ndani ya sanduku maalum la mbao hafifu au kadibodi (cardboard box/liner) ambalo ndilo huingizwa ndani ya lile jeneza kubwa la kifahari la kukodi.
  • Baada ya ibada: Lile sanduku la ndani lenye mwili hutolewa na kwenda kuzikwa au kuchomwa, huku jeneza la nje la kukodi likisafishwa na kusafishwa kwa dawa (disinfected) ili likatumiwe tena na mtu mmwingine
Je mnaonaje hii biashara wakuu.. Haina tofauti sana na magari ya kukodi kwenye sherehe ama magauni ya kukodi

CC: Muuza Majeneza Used

Pia soma:
(1,758) Majeneza ya kukodi na makaburi ya kupanga | Page 2 | JamiiForums Tanzania https://share.google/cLc9voUXgSsc4xVaEimage_3845fa12.jpg
8edd3315-8236-4365-ae27-a3c48b5e01b1.jpeg
 
Vinavunja matumaini kwa wasafiri wa hapa duniani
Soma hii itakupa faraja kubwa.. Na hutaogopa kufa tena😀

 
Tutakuwa pia tunatengeneza kulingana na mahitaji ya mteja
11112f3c-e10d-46d6-a6d5-002d13506231.jpeg
 
Back
Top Bottom